Dr.zero
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 964
- 434
Akili yako na avatar yako vinashabihiana!
Chama
Gongo la mboto DSM
Ndo zetu
Akili yako na avatar yako vinashabihiana!
Chama
Gongo la mboto DSM
MAREHEMU ALIZALIWA 05.02.77,ENZI ZA UHAI WAKE lijishughulisha na kuua mazao ya biashara😛amba,tumbaku,kahawa.korosho,na katani pia marehemu atakumbukwa kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa bidii ya kutaifisha nakuua viwanda na makampunibinafsi,kuua vyama vya wakulima,kuua na kuuzamakampuni na viwanda vya umma,Atakumbukwa kwa ufisadi na ubadhilifu wa fedha na kodi za serikali,pia aliwaleta na kuwapa wageni mali za wa Tz,Ameacha wachina kariakoo,makaburu mererani na wazungu wa kila aina kwenye.na chanzo cha umauti wake ni GESI YA MTWARA.OOH JINA LA MAREHEMU NI CCM.
Hapa ndipo wanaponishangaza Waislamu wa CCM, wao CCM safi ila muasisi wake Mkristo No!! mjiandae kisaikolojia JK anaondoka CCM anakuja Mkristo sasa sijui mtaamia CUF?Nani aliyetaifisha mali za watu kama si Azimio na baba'ke?
MAREHEMU ALIZALIWA 05.02.77,ENZI ZA UHAI WAKE lijishughulisha na kuua mazao ya biashara😛amba,tumbaku,kahawa.korosho,na katani pia marehemu atakumbukwa kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa bidii ya kutaifisha nakuua viwanda na makampunibinafsi,kuua vyama vya wakulima,kuua na kuuzamakampuni na viwanda vya umma,Atakumbukwa kwa ufisadi na ubadhilifu wa fedha na kodi za serikali,pia aliwaleta na kuwapa wageni mali za wa Tz,Ameacha wachina kariakoo,makaburu mererani na wazungu wa kila aina kwenye.na chanzo cha umauti wake ni GESI YA MTWARA.OOH JINA LA MAREHEMU NI CCM.
Marehemu ameacha mke m1 aitwaye CUF na watoto wawili wanaoitwa NCCR na TLP.Marehemu ameacha MKE na WATOTO wangapi??
Au mke ni yule naniliu wa NGANGARI??
upele nimeikubali hiimarehemu alizaliwa 05.02.77,enzi za uhai wake lijishughulisha na kuua mazao ya biashara😛amba,tumbaku,kahawa.korosho,na katani pia marehemu atakumbukwa kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa bidii ya kutaifisha nakuua viwanda na makampunibinafsi,kuua vyama vya wakulima,kuua na kuuzamakampuni na viwanda vya umma,atakumbukwa kwa ufisadi na ubadhilifu wa fedha na kodi za serikali,pia aliwaleta na kuwapa wageni mali za wa tz,ameacha wachina kariakoo,makaburu mererani na wazungu wa kila aina kwenye.na chanzo cha umauti wake ni gesi ya mtwara.ooh jina la marehemu ni ccm.
kaua elimu kwa kiwango kibaya sana!darasa la mkoloni la nne ni zaidi ya mwanafunzi wa kidato cha sita kwa ccm
Nani ana mpango wa kumrithi mke wa marehemu???Marehemu ameacha mke m1 aitwaye CUF na watoto wawili wanaoitwa NCCR na TLP.
Marehemu ameacha MKE na WATOTO wangapi??
Au mke ni yule naniliu wa NGANGARI??
Teh naona mkuu unataka kumuharibia siku "MZEE WA HOJA BINAFSI YA ELIMU".....Ameacha wake wawili, au umemsahau Kiti maalumu?
Wasifu huu ungeenda mbele kidogo japo hatua mbili kueleza jinsi marehemu magamba alivyo sababisha udhaifu wa kwenye sekta ya elimu kwa kuwaacha watoto wake 5200 walio faulu bila kujua kusoma na kuandika! Huku idadi ya wasiojua kusoma na kuandika ikipanda kutoka 18% mwaka 1975 hadi 33 mwaka 2011.
Nimewaona wajukuu wa marehemu wakipiga jaramba na maneno ya shombo kama kawaida yao! Poleni sana kina macha na tzri.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Marehemu ameacha MKE na WATOTO wangapi??
Au mke ni yule naniliu wa NGANGARI??