Allency
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 13,881
- 13,269
Umeongopa mkuu, ishu ya jiwe alijiita yeye mwenyewe akisema yeye hababaishwi, sasa sina uhakika kama umepotosha makusudi au ni kwasababu wewe ni matanga basi umatanga wako unautumia kama justification ya kuwa mjinga, amka mkuu wewe uko timamu.Jiwe... ni magufuri john pombe joseph Rais mpendwa wa tanzania.
Maana ya jina hili jiwe....... huyu alifananishwa na aliyekuwa mwanafunzi wa YESU aitwaye petro ambaye Yesu alisema UMEKUWA JIWE KUU LA PEMBENI au Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni .
Hakuna ane bisha magufuri wengi walimkataa hata ndani ya ccm, ila ndiye amekuwa mtu muhimu kuivusha nch.