Niwazi kuwa Rais wazanzibar ajaye ni Dr Husein aly hasani mwinyi.
Leo katika viunga vya ofisi za ccm Dodoma na Zanzibar leo wamechukua form.
Hii niwazi kuwa zanziber hakuna cha mbarawa wa samia hasan suruhu.
Wewe unasemaje.
Jiwe ndiyo nani?Jiwe pia alikataa kuongea na waandishi wa habari wakati anachukua fomu
USA ipo hiyo pia.. kila mtu ana hakiIngekuwa amri yangu ningepiga marufuku mtu ukiwa Rais na mtoto wako aje kuwa Rais. Hii nchi sio ya kifalme na kuna watu milioni 60. Angalia Karume kaka mtu nae anataka kuwa Rais!.
Najua kuna watakao sema nao ni watanzania wana haki kugombea ila ni lazima tuwe realistic.
Mkuu kachukue form tuku sapoti!Ingekuwa amri yangu ningepiga marufuku mtu ukiwa Rais na mtoto wako aje kuwa Rais. Hii nchi sio ya kifalme na kuna watu milioni 60. Angalia Karume kaka mtu nae anataka kuwa Rais!.
Najua kuna watakao sema nao ni watanzania wana haki kugombea ila ni lazima tuwe realistic.
Ni kweli. Aliandaliwa sasa anapikwaNa ndie Rais wa JMT ajaye huko zenji anaenda kupata uzoefu kwanza. Tutaendelea kuwapa taarifa taratibu.
Hili ndilo nimelifikiria, siyo haki kwa Wanzanzibari maana inakuwa ni kurithishana madaraka! Watakuambia ana vigezo kama wengine, ni kweli lakini hao wengine nao wapewe nafasi.Ingekuwa amri yangu ningepiga marufuku mtu ukiwa Rais na mtoto wako aje kuwa Rais. Hii nchi sio ya kifalme na kuna watu milioni 60. Angalia Karume kaka mtu nae anataka kuwa Rais!.
Najua kuna watakao sema nao ni watanzania wana haki kugombea ila ni lazima tuwe realistic.
Kiongozi wa malaika
Hili ndilo nimelifikiria, siyo haki kwa Wanzanzibari maana inakuwa ni kurithishana madaraka! Watakuambia ana vigezo kama wengine, ni kweli lakini hao wengine nao wapewe nafasi.
Usigeuze habari mkuu, hili jina halina asili hiyo! Hili jina alijipa mwenyewe kwenye hotuba yake moja alisema yeye ni 'jiwe kweri kweri'............Jiwe... ni magufuri john pombe joseph Rais mpendwa wa tanzania.
Maana ya jina hili jiwe....... huyu alifananishwa na aliyekuwa mwanafunzi wa YESU aitwaye petro ambaye Yesu alisema UMEKUWA JIWE KUU LA PEMBENI au Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni .
Hakuna ane bisha magufuri wengi walimkataa hata ndani ya ccm, ila ndiye amekuwa mtu muhimu kuivusha nch.
George Bush na George W. BushIngekuwa amri yangu ningepiga marufuku mtu ukiwa Rais na mtoto wako aje kuwa Rais. Hii nchi sio ya kifalme na kuna watu milioni 60. Angalia Karume kaka mtu nae anataka kuwa Rais!.
Najua kuna watakao sema nao ni watanzania wana haki kugombea ila ni lazima tuwe realistic.
Sioni uhusiano wa ulichonijibu na nilichoandika. ByeWaambieni wamarekani tena watoe tamko.
Dr mwinyi ni tishio kwa...
ACT wazarendo
CHADEMA..na wazungu wao.
Hata wakiungana haa wapi wataweza kweliii ... ha wapi.
Kenyata Sr na Kenyata Jr..George Bush na George W. Bush
Haya mambo bhana sijui.
Sioni uhusiano wa ulichonijibu na nilichoandika. Bye
Usigeuze habari mkuu, hili jina halina asili hiyo! Hili jina alijipa mwenyewe kwenye hotuba yake moja alisema yeye ni 'jiwe kweri kweri'............
hakuna cha jiwe la pembeni la waashi wala Petro mwanafunzi wa Yesu.
Dynasty mkuu sio "destiny"Kenyata Sr na Kenyata Jr..
Labda tuseme ni destiny😁