Jamaa amewahi kuwa DC wakati wa mwinyi nadhani, sasa uzarendo fani unautaka? Mtubakiwa tofauti na we we tu ndio anakuwa sio mzarendo?Siyo Mzalendo yule. Ni mnafiki kama Zitto. Ana hasira na visasi sababu nchi yake ya asili karibu raia wake wote ni watu wa visasi vya kudumu tena wengine wanarithishwa.
Kuna kipindi nilisikia huyu jamaa ni mrundi ila bado sina uhakika maana ccm nawajua kwa fix
Ni raia mzalendo,na ana sifa kama ile ya "wanafalsafa"aliyoieleza Nyerere(uongozi wetu na hatima ya Tanzania),ana uwezo wa kuongoza ila hapendi kuongoza,ukimpa uongozi anakubali kwa taabu,ukimwambia acha,anaacha bila hata kufikiria,siyo kama wanaotafuta uongozi na kuung'ang'ania hata kwa kughushi.Siyo Mzalendo yule. Ni mnafiki kama Zitto. Ana hasira na visasi sababu nchi yake ya asili karibu raia wake wote ni watu wa visasi vya kudumu tena wengine wanarithishwa.
Kesi ya kikatiba sio ya Chama chochote, hivyo mtu ambaye ni muumini wautawala wa sheria anaweza kujiunganisha kwenye kesi za namna hiyo kwa nia ya kutafuta haki ambayo haki hiyo ikitamkwa na mahakama haitabagua mtu, chama, jinsia au vyovyote vile. Kuwashambulia watu wa chedema sio sawa.Chadema akili zenu fupi sana yaani mtu hata akiwa zuzu mtamwagia sifa zote ilimradi akija upande wenu,tatizo hata hamjiulizi kwa nini kaja kwetu mlivyo mazuzu
Kuna kipindi nilisikia huyu jamaa ni mrundi ila bado sina uhakika maana ccm nawajua kwa fix
Wenye kumbukumbu tunakumbuka sana ni kwanini aliitwa Mrundi. Natoa kama hints na wengine wazee wenzangu watamalizia; kuna mkubwa mmoja aliye wahi kua mkuu wa usalama wa taifa nadhani Enzi za Nyerere kama sio Mwinyi; bwana huyo aligombea Ubunge mwaka 1995 pale Iringa mjini na alitumia pesa za kutosha kwenye kampeni, wanafunzi wa Mkwawa na Iringa girls ndio walisababisha akakosa ubunge (of course na hela zangu walikula) yaelekea kama angeshinda angekua waziri but akapewa ukuu wa mkoa wa Tanga, Tumtemeke Sanga mbunge wa Makete akaitwa mbele za haki huyo bwana akapata ubunge huko and then akachuguliwa kua waziri kwenye wizara moja nadhani ilikua chini ya waziri mkuu au raisi mwenyewe; gazeti la Kingereza linalo milikiwa na Habari Cooperation likatoa scandal moja kubwa ya ufujaji wa pesa wa huyo bwana, nadhani ilikua Dola 60,000/= za matibabu ya mkewe aliyekua akiishi USA if not Canada, scandal hiyo iligharimu uwaziri wa bwana yule pamoja na katibu mkuu wa wizara ya afya bwana Mrope; haukipita muda Jenerali Ulimwengu akatangazwa kua sio raia wa Tanzania.Inawezekana kabisa ilikua ni visa vya kisiasa
Mkuu Kichuguu long time haupo mtandaoni.Jenerali T.K. Ulimwengu alisoma Tabora Boys mwanzoni mwa miaka ya sitini (nadhanai kati ya 62 na 65 hivi), na alikuwa ni kiranja mkuu wa wanafunzi. Enzi hizo Tabora Boys bado ilikuwa ni government school kabla elimu haijawa ya bure na shule zote kutaifishwa, kwa hiyo raia wa nje asingeweza kusoma pale. Kusema kuwa Ulimwengu ni raia wa Rwanda au Burundi ilikuwa ni visasi cha kisiasa tu; inawezekana kweli ana asili ya huko (Kama Obama alivyo na asili ya Kenya) lakini siyo raia wa huko. Ndiyo maana aliwahi kuwa na nyadhifa nyingi sana serikalini tangu serikali ya awamu ya kwanza hadi awamu ya pili.
Nipo Mzee Kimbunga ila huenda siyo active sana kama miaka hiyo ya zamani. Unajua nimekuwa hapa JF tangu mwaka 2006 ikiwa ni zaidi ya miaka kumi iliyopita. Ingawa pia umri unakwenda, ila waliokuwa toddlers wakati sisi tunajidili mada za siku hizo, leo hii ni teenagers ambao pia wanachangia maoni yao hapa tena kwa nguvu. Katika set theory utagundugua kuwa hapa kuna disjoint sets, na inabidi wengine wa zamani tukubali na tujenge utaratibu wa mapokeo.Mkuu Kichuguu long time haupo mtandaoni.
Hakika mkuu. Inabidi sisi wengine na mawazo yetu ya kizee tuanze kukaa kando na kuwarithisha dot.com. Siku hizi hoja ni chache vioja ni vingi. Matusi yanatamalakiNipo Mzee Kimbunga ila huenda siyo active sana kama miaka hiyo ya zamani. Unajua nimekuwa hapa JF tangu mwaka 2006 ikiwa ni zaidi ya miaka kumi iliyopita. Ingawa pia umri unakwenda, ila waliokuwa toddlers wakati sisi tunajidili mada za siku hizo, leo hii ni teenagers ambao pia wanachangia maoni yao hapa tena kwa nguvu. Katika set theory utagundugua kuwa hapa kuna disjoint sets, na inabidi wengine wa zamani tukubali na tujenge utaratibu wa mapokeo.
Kwa hiyo anaishi kama mgeni sio mtanzania, vipi mkewe na watoto wake?Ni Mnyarwanda na alinyang'anywa uraia wa Tanzania yeye na akina Balozi Bandora, Castico, nk. Nadhani hakurudishiwa na kwa sasa anafanya kazi kama mgeni.
Ni mwandishi wa Habari na pia miaka kama mitatu nyuma alitunukiwa u advocate. Amewahi kuwa TYL na akawa mwakilishi wa Tanzania kule Algiers. Amewahi kuwa Mbunge wa kuteuliwa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala wakati ule wa kuanzishwa kwa vyama vingi vya siasa. Wakati vyama vingi vinaanzishwa kulikuwa na sheria kwamba ukitaka kufanya maandamano ama mikutano unaomba kibali kwa mkuu wa wilaya. Basi huyu bwana alikuwa hana hiyana ya kutoa vibali kwa vyama. Akahamishwa kupelekwa Singida kama mkuu wa Wilaya. Kama sijasahu hakwenda Singida badala yake akajiuzulu ukuu wa Wilaya.
Huyo ndiye Generali Twaha Ulimwengu.
We kiazi kweli!mbona zilikiwepo tetesi kiongozi mmja aliyepita hapa tz inasemekana aliletwa na wajomba zake toka msu---,Sasa akili ya J ulimwengu umeipimaje asee? Unaweza kutuambia Intelligence Quetient ni ngapi? Hvi watu wanaweza kukuvua uraia from no where tu mbona upinzani hawavuliwa? Kama umzawa huna haja ya kujieleza Sana Eti kuonesha uzawa wa eneo fulani, Ulimwengu sio mtanzania hutaki andamana