Wasifu(CV) ya Jenerali Ulimwengu

Wasifu(CV) ya Jenerali Ulimwengu

Sasa ndiyo umeandika taka gani hapa?

Leo ni 2019 lakini Historia yako uchwara imeishia 1997.
 
Mkuu Kichuguu; nini sekondari ambayo tunaweza ku-assume alishakuwa mkubwa lakini hata elimu ya awali amesomea Kamachumu! Middle School amesomea Katoke! Wakati anasoma Kamuchumu na Katoke ni enzi za ukoloni... Tanganyika ilikuwa hata uhuru haijapata lakini leo wanatuambia huyo mtu sio raia!!!

Huyo Sophist anadai Ulimwengu aliingia Tanganyika wakati akiwa na umri wa miaka 5! Kwavile amezaliwa 1948; ina maana anatuambia aliingia 1953 hata TANU haijazaliwa... lakini leo wanadai uraia wa mtu "aliyeingia" Tanganyika wakati hata TANU haijazaliwa!!!

Aliyeingia nimeiweka kwenye kifungua na kifunga semi kwa sababu, kumbukumbu hazioneshi kwamba Ulimwengu aliingia Tanganyika akiwa mdogo bali zinaonesha alizaliwa Ngara, Mkoa wa Ziwa Magharibi mwaka 1948!!

Hiyo 1948, hata mpgania uhuru wa Tanganyika; Mwalimu Nyerere bado alikuwa anakula pesa za Wakoloni kwa sababu, kumbukumbu zinaonesha Mwalimu Nyerere alipata scholarship ya kwenda University of Edinburgh mwaka 1949... Tayari Jenerali wakati huo keshazaliwa!!!
Mkuu chige, huo upuuzi wa kusema fulani sio raia upo sana bongo. Kaka yangu alikwenda uhamiaji Arusha ku-reniew passport akakutana na dogo mmoja anamwambia sio raia kwa sababu tu ya jina la mzee.

Ikabidi apewe shule kwamba majina ya kibantu yana maana zinazofanana.

Mwanza yupo Zambia, yupo kule kwa wafipa Rukwa, ina maana Mwanza wa Rukwa sio mtanzania kwa sababu jina lake lipo Zambia na Malawi?.

Keita yupo Nigeria, Mali, Senegal, Burkina Faso, Guinea na Ivory Coast. Ina maana Keita wa Nigeria sio mnigeria kwa sababu jina lake limetapakaa afrika magharibi nzima?.

Hii issue ya uraia inatumika kisiasa, lakini siku zote fitina huwa haidumu, ina mwisho mbaya kwa anayeianzisha.
 
Ningependa kujua wasifu mdogo wa Jenerali Ulimwengu kwani nimefurahia uzalendo aliouonesha kuwa pale Mahakamani katika kesi ya Katiba.

Kitaaluma nilikuwa namtambua Jenerali kama mwandishi sio mwanasheria. Nasikia pia alishakuwa mwakilishi wa Tanzania makao makuu ya umoja wa vijana huko Algeria, pia ni mmoja wa vijana waliolelewa na umoja wa vijana wa Tanu na ni muumini mkubwa wa sera za Mwalimu Nyerere ya siasa ya ujamaa na kujitegemea.

----- Michango kutoka kwa WanaJF-----

JENERALI ULIMWENGU was born on 4th April 1948 in Ngara, Kagera Region of Tanzania. He went to school in Kamachumu, Katoke and Nyakato in Kagera and high school in Tabora from 1955 to 1968 and was a student of the then University of East Africa from 1969 to 1972. As a post-Arusha Declaration student at the premier academic and activist University, Ulimwengu was one of the activist radical students espousing progressive causes of African liberation and human emancipation. After leaving the University, he became an active member of the ruling party, then TANU (Tanganyika Afican National Union) and later CCM ('Chama cha Mapinduzi') as the following brief profile of his post-student service shows.
Shushu tangu enzi TANU hadi leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JENERALI ULIMWENGU alizaliwa tarehe 4 Aprili 1948 katika Mkoa wa Ngara, Kagera Tanzania..
Na alipofika umri wa miaka 26, akiwa shabaab hasa, kwa miaka 10 na ushee Jenerali Twaha Ulimwengu akawa:-
Moja wa Vijana wa Afrika Mashariki mwakilishi wa Tanzania huko Algiers, kutoka 1974 hadi 1985;.
Dah, huyu jamaa atakuwa kawatafuna sana wale wenye damu ya mtume!
 
Back
Top Bottom