Wasifu(CV) ya Jenerali Ulimwengu

Wasifu(CV) ya Jenerali Ulimwengu

Uongo first grade. Ulimwengu amezaliwa 1948. Kama aliingia Tanzania akiwa na miaka mitano hapo ni 1952. Hakukuwa na Taifa LA Rwanda wala Tanganyika!! Na kwa maana hiyo hakuwa RAIA wa Rwanda.

Yeyote aliyekuwapo Tanganyika wakati inapata Uhuru ni Mtanganyika na kwa maana hiyo Mtanzania.

Ukiwa muongo usiwe msahaulifu
Rudi kwenye historia ya shule ya msingi ndugu; Rwanda na Burundi (Rwanda-Urundi kingdoms) zilifanywa makoloni ya Ubeleji mwaka 1918 mara baada ya WWI. Ujerumani ilihadhibiwa baada ya kushindwa vita ya Kwanza ya Dunia hivyo kunyang'anywa makoloni yake yote ikiwa ni pamoja na German East Africa [Deutsch-Ostafrika - Tanganyika, Rwanda na Burundi]. League of Nations (LN) iligawa Tanganyika kwa Waingereza ikiwa na status ya British Trusteeship (under the Mandate of League of Nations). Hupo!
 
Nimesema alipokonywa uraia ila sababu sizijui.

Aliambiwa sio RAIA baada ya kufarakana na MKAPA mtu ambae walikuwa nae wakati wote wa kampeni yake ya kuusaka urais!!! Tuache ufinyu wa mawazo kwa kuwazungumzia watu na badala yake tuzungumzie fikra!!!
 
Ningependa kujua cv ya Jenerali Ulimwengu kwani nimefurahia uzalendo aliouonyesha kuwa pale mahakamani katika kesi ya katiba.
Kitaaluma nilikuwa namtambua Jenerali kama mwandishi sio mwanasheria. nasikia pia alishakuwa mwakilishi wa Tanzania makao makuu ya umoja wa vijana huko Algeria, pia ni mmoja wa vijana waliolelewa na umoja wa vijana wa Tanu na ni muumini mkubwa wa sera za mwalimu nyerere ya siasa ya ujamaa na kujitegemea.
ndoto yake na jamaa zake kwamba siku moja angeshika usukani wa nchi hii ilizimika baada ya kujulikana si mtanzania bali mtoto wa mkimbizi kutoka rwanda. tangu hapo amekua na mtazamo hasi kwa ccm.
 
Sasa akili ya J ulimwengu umeipimaje asee? Unaweza kutuambia Intelligence Quetient ni ngapi? Hvi watu wanaweza kukuvua uraia from no where tu mbona upinzani hawavuliwa? Kama umzawa huna haja ya kujieleza Sana Eti kuonesha uzawa wa eneo fulani, Ulimwengu sio mtanzania hutaki andamana
Wewe ndiye kaandamane, maana tayari ni raia na ana haki zote za Mtz, hutaki acha ila yeye ni raia, acheni roho mbaya, sijui mmepandikizwa na nani!!! Kama ulikuwa hujui, jua sasa kuwa ni Raia.
 
Kwahiyo ile tu kusema "...alikuja Tanzania as a migrant wakati akiwa na miaka 5...!" ndo tayari unaona ulichoongea ni sahihi na kwamba sio wewe ndie uliepotosha?! Akija mwingine akisema alikuja akiwa na miaka 10 utambishia?! Na utambishia kwa kutumia vigezo gani na vigezo gani utamtaka mtu akukubalie wewe uliyesema alikuja akiwa na miaka 5?!

Maandiko mbalimbali yanaonesha Jenerali Ulimwengu alizaliwa Ngara mwaka 1948. Pambazuka, hawa hapa:
It is pity kwamba source yako ni moja tu (single source); Pambazuka. Hukutaka kujibidisha ku-cross-check source yako, ikiwa ni pamoja na kujiuliza source ya Pambazuka. Nikuambie kuwa source ya Pambazuka ni Twaha Khalifani mwenyewe, kwa hiyo source hiyo haiwezi kuwa credible zaidi ya wakaazi (Wazee) wa Kamachumu na wanafunzi wa wakati ule aliosoma nao Kaigara Primary School, Katoke Middle School, Nyakato Secondary School, Tabora Boys School and UDSM. Wengi wao, akina Donald Kaberuka, Ambassador Kiwanuka, Professa Kaboko, Prince Bagenda na wengineo bado ni wazima. Historia ni Mwalimu tosha. Tafuta historia sahihi siyo kunukuu self painting literature.
 
Kwamba, serikali ya Mkapa ilim-pin down kwa sababu alikuwa Mnyarwanda.... unataka kuniambia kwa zaidi ya miaka 6 ya mwanzo ya uongozi wa Mkapa haikufahamu kwamba Jenerali ni Mnyarwanda lakini ikaja kufahamu pale alipoanza kuandika makala za kuikosoa serikali yake?! Au angeendelea kuishi kama "mhamiaji haramu" endapo tu asingeiandika vibaya serikali?!

By 2001, Ulimwengu alikuwa na umri wa +50 years. Na hata tuki-assume maelezo yako kwamba ni kweli aliingia akiwa na 5 years; ina maana aliishi 45 years akiwa "Mhamiaji Haramu" na wakati huo alikuwa tayari kahudumu serikalini na bado hawakujua kwamba si raia?!

Ni nini kiliupumbaza serikali isichunguze uraia wake kwa miaka yote hiyo lakini ikaja kuchunguza uraia wake wakati ameshakuwa mzee?!
...unatakiwa kujua kuwa kulikuwa na wanyarwanda (watutsi) wengi waliokuwa wakimbizi wakiishi hususan katika wilaya za Ngara, Muleba na Karagwe. Wanyarwanda hao waliishi na kuzaliana, kusoma, kufanya kazi serikalini na kutajirika wakiwa hapa hapa nchini ingawa hawakusahau mission (dhima) yao ya kurudi kwao Rwanda. Kuna akina Professa, Rutahisire, Donald Kaberuka, Balozi Bandora, Twaha Khalifani, Advocate Rutabingwa, former Rwanda DPP, Martin Ngoga, Ambassador James Kimunyu na wengineo, kwa kutaja wachache. Baada ya utawala wa Rwanda kubadilika mwaka 1994 wanyarwanda hao waliamua kurudi Nyumbani. Usisahau kuwa hata Paul Kagame alikuwa CMI (Chief Military Intelligence) wa serikali ya Uganda. Kwa hiyo unatakiwa kufahamu political historic context ya interlacustrine region. Please stay out of your box.
 
Kama raia wa kigeni anayeishi tanzania kama mnavyodai baadhi yenu halafu akaachwa tu aiandame serikali. Kuanzia mkapa hadi leo hiyo itakuwa sio nchi
 
Sasa akili ya J ulimwengu umeipimaje asee? Unaweza kutuambia Intelligence Quetient ni ngapi? Hvi watu wanaweza kukuvua uraia from no where tu mbona upinzani hawavuliwa? Kama umzawa huna haja ya kujieleza Sana Eti kuonesha uzawa wa eneo fulani, Ulimwengu sio mtanzania hutaki andamana
Ningependa kujua cv ya Jenerali Ulimwengu kwani nimefurahia uzalendo aliouonyesha kuwa pale mahakamani katika kesi ya katiba.
Kitaaluma nilikuwa namtambua Jenerali kama mwandishi sio mwanasheria. nasikia pia alishakuwa mwakilishi wa Tanzania makao makuu ya umoja wa vijana huko Algeria, pia ni mmoja wa vijana waliolelewa na umoja wa vijana wa Tanu na ni muumini mkubwa wa sera za mwalimu nyerere ya siasa ya ujamaa na kujitegemea.
Baada ya kusoma maoni mengi nimemfahamu Jenerali Ulimwengu ni Mwanaharakati,Mzalendo, Mwanapinduzi, Msomi mzuri. Ni mtu mwenye msimamo katika kuona katiba na sheria ya nchi hii inafuatwa na kulindwa. Katika uchaguzi wa mwaka 1995 gazeti la Rai lilimfanyia kampeni kubwa Rais Mstaafu Benjamin Mkapa na baada Benjamin Mkapa kuwa Rais gazeti la Rai halikusita kukosoa utawala wake haswa katika masuala ya ubinafsisaji wa NBC, uuzwaji wa nyumba za serikali nk. Vita vyake dhidi ya ufisadi ndio ilisababisha kunyanganywa uraia ambao baada ya msukumo wa ndani na nje ikabidi arudishiwe uraia wake. Mwaka 2005 magazeti ya Rai yalimwunga mkono Dr Salim Ahamed Salim katika uchaguzi mkuu..
In conclusion Jeneral Ulimwengu is an asset in politics of Tanzania.
 
It is pity kwamba source yako ni moja tu (single source); Pambazuka. Hukutaka kujibidisha ku-cross-check source yako, ikiwa ni pamoja na kujiuliza source ya Pambazuka. Nikuambie kuwa source ya Pambazuka ni Twaha Khalifani mwenyewe, kwa hiyo source hiyo haiwezi kuwa credible zaidi ya wakaazi (Wazee) wa Kamachumu na wanafunzi wa wakati ule aliosoma nao Kaigara Primary School, Katoke Middle School, Nyakato Secondary School, Tabora Boys School and UDSM. Wengi wao, akina Donald Kaberuka, Ambassador Kiwanuka, Professa Kaboko, Prince Bagenda na wengineo bado ni wazima. Historia ni Mwalimu tosha. Tafuta historia sahihi siyo kunukuu self painting literature.
Hawataki kupata elimu hiyo, wao masikio yao yamejaa pamba. Hawawajui hao unaowataja na wala hawajui kwamba hata Kagame amewahi kuishi TZ akiwa na akina M7. Hawaelewi kwamba baada ya RPF kuchukua nchi kuna "Watanzania" wengi wenye asili ya Rwanda walirudi kwao baada ya kuacha kazi hapa nchini wakiwemo wahadhiri wa vyuo vikuu. Wengi walisoma hapa nchini kwa pesa za serikali ya Tanzania lakini wakiwa na nia moja tu: kujiandaa kimkakati kurudi kwa baada ya kuwa walicukuzwa na ndugu zao miaka ya 50.
 
Ni Mnyarwanda na alinyang'anywa uraia wa Tanzania yeye na akina Balozi Bandora, Castico, nk. Nadhani hakurudishiwa na kwa sasa anafanya kazi kama mgeni.
Ni mwandishi wa Habari na pia miaka kama mitatu nyuma alitunukiwa u advocate. Amewahi kuwa TYL na akawa mwakilishi wa Tanzania kule Algiers. Amewahi kuwa Mbunge wa kuteuliwa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala wakati ule wa kuanzishwa kwa vyama vingi vya siasa. Wakati vyama vingi vinaanzishwa kulikuwa na sheria kwamba ukitaka kufanya maandamano ama mikutano unaomba kibali kwa mkuu wa wilaya. Basi huyu bwana alikuwa hana hiyana ya kutoa vibali kwa vyama. Akahamishwa kupelekwa Singida kama mkuu wa Wilaya. Kama sijasahu hakwenda Singida badala yake akajiuzulu ukuu wa Wilaya.

Huyo ndiye Generali Twaha Ulimwengu.

Jenerali T.K. Ulimwengu alisoma Tabora Boys mwanzoni mwa miaka ya sitini (nadhanai kati ya 62 na 65 hivi), na alikuwa ni kiranja mkuu wa wanafunzi. Enzi hizo Tabora Boys bado ilikuwa ni government school kabla elimu haijawa ya bure na shule zote kutaifishwa, kwa hiyo raia wa nje asingeweza kusoma pale. Kusema kuwa Ulimwengu ni raia wa Rwanda au Burundi ilikuwa ni visasi cha kisiasa tu; inawezekana kweli ana asili ya huko (Kama Obama alivyo na asili ya Kenya) lakini siyo raia wa huko. Ndiyo maana aliwahi kuwa na nyadhifa nyingi sana serikalini tangu serikali ya awamu ya kwanza hadi awamu ya pili.
 
Rudi kwenye historia ya shule ya msingi ndugu; Rwanda na Burundi (Rwanda-Urundi kingdoms) zilifanywa makoloni ya Ubeleji mwaka 1918 mara baada ya WWI. Ujerumani ilihadhibiwa baada ya kushindwa vita ya Kwanza ya Dunia hivyo kunyang'anywa makoloni yake yote ikiwa ni pamoja na German East Africa [Deutsch-Ostafrika - Tanganyika, Rwanda na Burundi]. League of Nations (LN) iligawa Tanganyika kwa Waingereza ikiwa na status ya British Trusteeship (under the Mandate of League of Nations). Hupo!
Mh!, halafu WWII ikawaje?, I wish I kuldu be history teacher!
 
Ni Mnyarwanda na alinyang'anywa uraia wa Tanzania yeye na akina Balozi Bandora, Castico, nk. Nadhani hakurudishiwa na kwa sasa anafanya kazi kama mgeni.
Ni mwandishi wa Habari na pia miaka kama mitatu nyuma alitunukiwa u advocate. Amewahi kuwa TYL na akawa mwakilishi wa Tanzania kule Algiers. Amewahi kuwa Mbunge wa kuteuliwa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala wakati ule wa kuanzishwa kwa vyama vingi vya siasa. Wakati vyama vingi vinaanzishwa kulikuwa na sheria kwamba ukitaka kufanya maandamano ama mikutano unaomba kibali kwa mkuu wa wilaya. Basi huyu bwana alikuwa hana hiyana ya kutoa vibali kwa vyama. Akahamishwa kupelekwa Singida kama mkuu wa Wilaya. Kama sijasahu hakwenda Singida badala yake akajiuzulu ukuu wa Wilaya.

Huyo ndiye Generali Twaha Ulimwengu.
alipojiuzuru tu tayar uraia ukabadilikaccm oyeee
 
Mh!, halafu WWII ikawaje?, I wish I kuldu be history teacher!
yah, there was a bit of mix up between placing Tanganyika under LN Mandate after (WWI) and placing the same under British trusteeship after WWII. Thanks for seeing that error.
 
...unatakiwa kujua kuwa kulikuwa na wanyarwanda (watutsi) wengi waliokuwa wakimbizi wakiishi hususan katika wilaya za Ngara, Muleba na Karagwe. Wanyarwanda hao waliishi na kuzaliana, kusoma, kufanya kazi serikalini na kutajirika wakiwa hapa hapa nchini ingawa hawakusahau mission (dhima) yao ya kurudi kwao Rwanda. Kuna akina Professa, Rutahisire, Donald Kaberuka, Balozi Bandora, Twaha Khalifani, Advocate Rutabingwa, former Rwanda DPP, Martin Ngoga, Ambassador James Kimunyu na wengineo, kwa kutaja wachache. Baada ya utawala wa Rwanda kubadilika mwaka 1994 wanyarwanda hao waliamua kurudi Nyumbani. Usisahau kuwa hata Paul Kagame alikuwa CMI (Chief Military Intelligence) wa serikali ya Uganda. Kwa hiyo unatakiwa kufahamu political historic context ya interlacustrine region. Please stay out of your box.
Hakuna asiyefahamu hilo lakini pia hayo uliyotaja ni tofauti sana na inapokuja issue ya Jenerali Ulimwengu!!

Majority ya uliowataja ni wale ambao waliingia Tanzania way back after 1964 wakati Mzee Khalfani Ulimwengu hakuingia Tanzania bali aliingia Tanganyika... waliingia wakati wa ukoloni!!! Nimekupa sources hapo zinazoonesha Jenerali alizaliwa Ngara 1948 na kuuomba wewe utoe source moja tu inayosema alizaliwa Rwanda na kwamba aliingia Tanganyika wakati akiwa na umri wa miaka 5... lakini umeshindwa kutoa source na kinyume chake unanipa historia ya jumla!!!

Lakini hata tukitumia assumptions zako kwamba waliingia wakati Jenerali akiwa na umri wa miaka 5; ina maana hiyo itakuwa ni 1953... hata TANU ilikuwa bado haijazaliwa!!!! NI kwamba aliingia Tanganyika wakati wa ukoloni!!

Sasa utasemaje mtu ambae aliingia Tanganyika wakati wa ukoloni alitakiwa kuukana kwanza uraia wake?! Kwa kutumia katiba ipi iliyokuwa inaelezea tafsiri ya uraia wake?! Ni wangapi walioingia wakati wa ukoloni hatimae walikuja kuukana uraia wao?!

Familia ya akina Karume waliingia wakati wa ukoloni; je walishaukana uraia wa Malawi?! Akina Kambona waliukana uraia wa huko walikotoka?! Akina Mzee Sykes waliukana uraia wao?!

Kama si kwamba unasukumwa na hinda za kisiasa au husuda binafsi zinazoneeshwa wazi na maandiko yako yaliyojaa biasness; basi hapa huenda unataka kufungua darasa jipya la elimu ya uraia kwamba; wale wote walioingia Tanganyika wakati wa ukoloni walitakiwa kuukana uraia wao wa asili mara baada Tanganyika kupata uhuru!!

Unapotaka kusema Jenerali Ulimwengu sio au hakuwa raia ni lazima uthibitishe neither his parents was a citizen of Tanganyika b4 and after independence vinginevyo; ukweli utabaki pale pale kwamba suala la uraia ni hoja chakavu inayotumiwa na manyang'au wa serikali na chama chake wakisaidiwa na mawakala wao wa unyan'gau!!

Wanaofuatilia wanafahamu uraia wa Jenerali Ulimwengu haukuwahi kuguswa hadi pale alipoanza kuiandika serikali ya Mkapa! Na hili lilichagizwa zaidi na Hans Kitine baada ya kuripuliwa na Bernard Membe na Membe kupata coverage kubwa kupitia gazeti la Rai!!!

Ni unyang'au ule ule ambao pia ulitumika kwa Hussein Bashe... kijana ambae kwa miaka kadhaa hakuna aliyewahi kudodosa uraia wake hadi pale alipoanza kuichana CCM na kuonesha wazi kwamba yupo upande wa Lowassa!!!!

Wakati anapitia ngazi mbalimbali za CCM hakuna hata mmoja ambae aliwahi kuhoji uraia wake lakini alipoanza kuichana CCM ndipo manyang'au ya CCM kupitia kwa akina Chiligati yakaanza kutumia turufu ya uraia ili asiingie bungeni!!!!
 
Jenerali T.K. Ulimwengu alisoma Tabora Boys mwanzoni mwa miaka ya sitini (nadhanai kati ya 62 na 65 hivi), na alikuwa ni kiranja mkuu wa wanafunzi. Enzi hizo Tabora Boys bado ilikuwa ni government school kabla elimu haijawa ya bure na shule zote kutaifishwa, kwa hiyo raia wa nje asingeweza kusoma pale. Kusema kuwa Ulimwengu ni raia wa Rwanda au Burundi ilikuwa ni visasi cha kisiasa tu; inawezekana kweli ana asili ya huko (Kama Obama alivyo na asili ya Kenya) lakini siyo raia wa huko. Ndiyo maana aliwahi kuwa na nyadhifa nyingi sana serikalini tangu serikali ya awamu ya kwanza hadi awamu ya pili.
Mkuu Kichuguu; nini sekondari ambayo tunaweza ku-assume alishakuwa mkubwa lakini hata elimu ya awali amesomea Kamachumu! Middle School amesomea Katoke! Wakati anasoma Kamuchumu na Katoke ni enzi za ukoloni... Tanganyika ilikuwa hata uhuru haijapata lakini leo wanatuambia huyo mtu sio raia!!!

Huyo Sophist anadai Ulimwengu aliingia Tanganyika wakati akiwa na umri wa miaka 5! Kwavile amezaliwa 1948; ina maana anatuambia aliingia 1953 hata TANU haijazaliwa... lakini leo wanadai uraia wa mtu "aliyeingia" Tanganyika wakati hata TANU haijazaliwa!!!

Aliyeingia nimeiweka kwenye kifungua na kifunga semi kwa sababu, kumbukumbu hazioneshi kwamba Ulimwengu aliingia Tanganyika akiwa mdogo bali zinaonesha alizaliwa Ngara, Mkoa wa Ziwa Magharibi mwaka 1948!!

Hiyo 1948, hata mpgania uhuru wa Tanganyika; Mwalimu Nyerere bado alikuwa anakula pesa za Wakoloni kwa sababu, kumbukumbu zinaonesha Mwalimu Nyerere alipata scholarship ya kwenda University of Edinburgh mwaka 1949... Tayari Jenerali wakati huo keshazaliwa!!!
 
Mkuu na wewe umeamua kuongopa? Jenerali alinyang'anywa uraia lakini baadaye akaomba na kupewa.

Sababu za kunyang'anywa nina imani unazijua. Jenerali ni raia wa Tanzania kwa kuzaliwa.

Mtu yeyote ambaye wakati Tanganyika inapata uhuru alikuwa ndani ya Jamhuri, ni raia.

Jenerali amezaliwa Tanganyika. Kama suala ni kuwa ana asili ya Nchi jirani, basi mamilioni ya Watanzania si raia.
Unaweza kuzaliwa tz na usiwe raia
 
Hakuna asiyefahamu hilo lakini pia hayo uliyotaja ni tofauti sana na inapokuja issue ya Jenerali Ulimwengu!!

Majority ya uliowataja ni wale ambao waliingia Tanzania way back after 1964 wakati Mzee Khalfani Ulimwengu hakuingia Tanzania bali aliingia Tanganyika... waliingia wakati wa ukoloni!!! Nimekupa sources hapo zinazoonesha Jenerali alizaliwa Ngara 1948 na kuuomba wewe utoe source moja tu inayosema alizaliwa Rwanda na kwamba aliingia Tanganyika wakati akiwa na umri wa miaka 5... lakini umeshindwa kutoa source na kinyume chake unanipa historia ya jumla!!!

Lakini hata tukitumia assumptions zako kwamba waliingia wakati Jenerali akiwa na umri wa miaka 5; ina maana hiyo itakuwa ni 1953... hata TANU ilikuwa bado haijazaliwa!!!! NI kwamba aliingia Tanganyika wakati wa ukoloni!!

Sasa utasemaje mtu ambae aliingia Tanganyika wakati wa ukoloni alitakiwa kuukana kwanza uraia wake?! Kwa kutumia katiba ipi iliyokuwa inaelezea tafsiri ya uraia wake?! Ni wangapi walioingia wakati wa ukoloni hatimae walikuja kuukana uraia wao?!

Familia ya akina Karume waliingia wakati wa ukoloni; je walishaukana uraia wa Malawi?! Akina Kambona waliukana uraia wa huko walikotoka?! Akina Mzee Sykes waliukana uraia wao?!

Kama si kwamba unasukumwa na hinda za kisiasa au husuda binafsi zinazoneeshwa wazi na maandiko yako yaliyojaa biasness; basi hapa huenda unataka kufungua darasa jipya la elimu ya uraia kwamba; wale wote walioingia Tanganyika wakati wa ukoloni walitakiwa kuukana uraia wao wa asili mara baada Tanganyika kupata uhuru!!

Unapotaka kusema Jenerali Ulimwengu sio au hakuwa raia ni lazima uthibitishe neither his parents was a citizen of Tanganyika b4 and after independence vinginevyo; ukweli utabaki pale pale kwamba suala la uraia ni hoja chakavu inayotumiwa na manyang'au wa serikali na chama chake wakisaidiwa na mawakala wao wa unyan'gau!!

Wanaofuatilia wanafahamu uraia wa Jenerali Ulimwengu haukuwahi kuguswa hadi pale alipoanza kuiandika serikali ya Mkapa! Na hili lilichagizwa zaidi na Hans Kitine baada ya kuripuliwa na Bernard Membe na Membe kupata coverage kubwa kupitia gazeti la Rai!!!

Ni unyang'au ule ule ambao pia ulitumika kwa Hussein Bashe... kijana ambae kwa miaka kadhaa hakuna aliyewahi kudodosa uraia wake hadi pale alipoanza kuichana CCM na kuonesha wazi kwamba yupo upande wa Lowassa!!!!

Wakati anapitia ngazi mbalimbali za CCM hakuna hata mmoja ambae aliwahi kuhoji uraia wake lakini alipoanza kuichana CCM ndipo manyang'au ya CCM kupitia kwa akina Chiligati yakaanza kutumia turufu ya uraia ili asiingie bungeni!!!!
CCM haichaniki acha kudanganya humu
 
It is pity kwamba source yako ni moja tu (single source); Pambazuka. Hukutaka kujibidisha ku-cross-check source yako, ikiwa ni pamoja na kujiuliza source ya Pambazuka. Nikuambie kuwa source ya Pambazuka ni Twaha Khalifani mwenyewe, kwa hiyo source hiyo haiwezi kuwa credible zaidi ya wakaazi (Wazee) wa Kamachumu na wanafunzi wa wakati ule aliosoma nao Kaigara Primary School, Katoke Middle School, Nyakato Secondary School, Tabora Boys School and UDSM. Wengi wao, akina Donald Kaberuka, Ambassador Kiwanuka, Professa Kaboko, Prince Bagenda na wengineo bado ni wazima. Historia ni Mwalimu tosha. Tafuta historia sahihi siyo kunukuu self painting literature.
Very funny... nimekupa source mbili lakini wewe umeiona moja tu ya Pambazuka?! Ndo maana kuna mahali nimekuambia maandiko yako yana some sort of biases!!! Kwanini umehitaja Pambazuka peke yake?! Au kwa sababu Jenerali ni mmoja wa makumi kwa makumi wa contributors wa Pambazuka ambao wameenea kutoka sehemu mbali mbali za Afrika? Kwanini umeacha source ya Suffrage Universel ambayo imeandika:
According to the lecturers' memorandum, distributed to different organisations and media houses, Mr Ulimwengu was born in Ngara district on April 4, 1948, and went to school in Kamachumu, Katoke and Nyakato in Kagera region.
Au umejua utakosa pa kutokea kwa sababu wamesema wazi "According to lecturers' memorandum...?"

By the way, mimekueleza hapa; wewe sihitaji utoe source mbili; nipe moja tu inayosema Jenerali Ulimwengu alizaliwa Rwanda na alikuja Tanganyika akiwa na umri wa miaka 5 lakini umeshindwa kufanya hivyo!!!! I am ready to accept source... WEKA HAPA!!!!

Huwezi kusema source yako ni wazee wa Kamachumu wakati wewe umemfahamu wakati mpo sekondari!! Ni sababu zipi zilikupeleka Kamachumu kuwahoji wazee wa huko kuhusu uraia wa Ulimwengu miaka 53 baada ya kuwa Ulimwengu hakuwahi kuhojiwa kwa hilo?! Au ulikuwa Wakala wa Mzee Kitine?

Huwezi kusema source ya kuaminika kwako ni wanafunzi wa Kaigara Primary school wakati unajua kabisa there's no way watoto wa shule ya msingi wanaweza kukaa wakaulizana uraia wao... NO WAY!!!

Na hata kama ungekuwa umemfahamu kabla ya hapo bado hiyo ni weak source kwa sababu mtu yeyote anaweza kusema "nimeongea na watu wa Kamachumu, Katoke etc etc....!" Anyone can say that and will make no difference provided you put no tangible evidence!

Hapa tunatumia Fake IDs na mtu yeyote anaweza kusema nimesoma na Ulimwengu tangia chekechea, nikaenda nae Katoke kisha Tabora Boys and so on! Na kwamba, kuna siku aliniambia wazi kwamba yeye sio raia.... Still hizo zitakuwa ni weak arguments kwa sababu hazina ushahidi!!!

I believed you're smart than this lakini kusema tu eti aliosoma nao huku na kule ndo unadai ni source...!! Wangapi tumesoma nao... tunafahamu historia zao?! Unataka kuniambia Ulimwengu alikuwa anawaambia wanafunzi wenzake kwamba hakuwa raia?! Come on man...
 
Back
Top Bottom