Wasifu(CV) ya Jenerali Ulimwengu

Wasifu(CV) ya Jenerali Ulimwengu

Chadema akili zenu fupi sana yaani mtu hata akiwa zuzu mtamwagia sifa zote ilimradi akija upande wenu,tatizo hata hamjiulizi kwa nini kaja kwetu mlivyo mazuzu
Kwahiyo unataka kusema hata Bashite akitaka kelele za kutumia cheti cha kukodi ziishe aende CHADEMA?
 
Jamani nchi watu wake tuna matatizo na nadhani ni mfumo wa elimu yetu.Aliyeanzisha uzi huu anauliza Cv Watu wanaleta mambo mengine au ndiyo ajira hizo za mtandaoni
 
Hicho ki linki chenye half baked biography ya Ulimwengu kinajaribu kumtetea kwa kutumia hoja za Nyerere dhidi ya Iddi Amini wakati alipowafukuza wahindi Uganda. Wanasema mahasimu wake walitaka Ulimwengu aende wapi, mwezini?

Well, labda wangeaza kwa kutuambia kwa nini Ulimwengu alikuwa kama Mhindi wa Uganda. Mhindi wa Uganda hakuwa mzawa. Whether unakubaliana au hukubaliani na sera za ukuu wa mzawa mbele ya wengine, jambo moja wote tunakubaliana ni kwamba Wahindi hawakuwa wazawa! Huwezi kulikwepa hilo.

Sasa Jenerali Ulimwengu ana background gani kiuraia kiasi kwamba hata wanaomtetea wanamfananisha na wahindi wa Uganda?

Wanakiri watetezi wake kwamba Ulimwengu aliomba uraia akanyimwa. Well, kwa nini alitakiwa kuomba? Mbona sisi wengine hatujawahi kutakiwa kuomba uraia? Mbona hamsemi ana nini Ulimwengu kwenye uzawa wake?

Jibu moja la haraka haraka kwa nini Ulimwengu amekuwa akibanwa-banwa na sheria ni kwa vile hakuzaliwa Mtanzania. He is not a natural born citizen of Tanzania. Hilo tusilikwepe.

Inawezekana kabisa, na mimi naamini ndivyo ilivyo, sheria ilitumika dhidi yake binafsi kwa sababu za kisiasa, lakini mwisho wa siku aliyetenda kitendo cha kumtangaza kama sio raia alitumia sheria. Na hilo nalo huwezi kulikwepa!

Sasa kibaya kilichopo ni kwamba Waafrika huwa hatuandiki historia, hatuandiki biography zetu. Tunamsifuje mtu kwamba ni mwanazuoni, mwandishi mahiri, mwanafikra anaeheshimika, halafu mtu mwenyewe hajawahi kuandika chochote kuhusu maisha yake? Background yake giza tupu! Ndio maana wanampa vyeo wanamnyang'anya, wanamtishia-tishia kumkamata, wanamrusha-rusha kama M-mexico aliyeruka ukuta kuingia Marekani ya Donald Trump.

Inawezekana kuna fomu alishawahi kujaza kuomba uraia wa Rwanda akajifuta wa kwetu. Au wa Algeria, au wa Marekani, Tanzania ikainasa fomu. Again, nchi hii hakuna anejua background ya mtu. Na hapo bado hatujauliza ilikua-kuaje akaitwa Generali Ulimwengu na tunajua alizaliwaTwaha Khalfani?
Aiseee ni hatari sana Hongera mkuu Kuna kitu nimepata
 
CV yake hii hapa chini, ila kimombo lazima kiwe kinapanda kidogo:

JENERALI ULIMWENGU was born on 4th April 1948 in Ngara, Kagera Region of Tanzania. He went to school in Kamachumu, Katoke and Nyakato in Kagera and high school in Tabora from 1955 to 1968 and was a student of the then University of East Africa from 1969 to 1972. As a post-Arusha Declaration student at the premier academic and activist University, Ulimwengu was one of the activist radical students espousing progressive causes of African liberation and human emancipation. After leaving the University, he became an active member of the ruling party, then TANU (Tanganyika Afican National Union) and later CCM ('Chama cha Mapinduzi') as the following brief profile of his post-student service shows.

Daily News, Government Newspaper, from 1972 to 1974;
Mwanza Area Office, 1975;
Pan-African Youth Movement Tanzanian representative in Algiers, from 1974 to 1985;
TANU Youth League, from 1986 to 1987;
Director of Youth and Sports, Ministry of Culture and Sports, from 1987 to 1989.
District Commissioner from 1989 to 1993.
Member of National Executive Committee of the ruling party CCM, from 1992 to 1997; and,
Member of Parliament from 1990 to 1995.

In November 1993, Ulimwengu who is the Chairman of Habari Corporation, together with other committed journalists, established among the first independent weekly in Kiswahili called Rai, which immediately became very popular as the most informative, investigative, analytical and fearless news magazine in the country. In September 1995 and February 1998, their publishing venture launched a Kiswahili daily, Mtanzania and an English daily, the African respectively. Their publishing venture also owned two sports newspapers by this time. In all these, Jenerali Ulimwengu ran personal columns, which were very widely read and appreciated for their singularly patriotic and progressive positions. Ulimwengu did not pull punches in taking critical, but constructive, stances against politicians in the interest of the oppressed, the disadvantaged and the marginalized people of the country, the continent and the world.

Ulimwengu's newspapers have been leading in bringing to light some of the vices in our society including corruption and scandals within the Government. No wonder, in the process of seeking and exposing the truth and serving the best interests of his country and the continent, Ulimwengu's activities have inevitably and unintentionally treaded on powerful toes, earning the wrath of a few politicians who survive on corrupt practices and politics of nepotism.

There can be little doubt that Jenerali Ulimwengu has been denied citizenship because of his Pan-Africanist, patriotic and progressive politics above factionalism and unscrupulous partisanship; because of his unwavering struggle for the rights and dignity of the dispossessed and the marginalized in our society; because of his integrity and principled stand as an intellectual, journalist, publisher, writer and publicist.

It is very embarrassing for Tanzanians, who gave to Africa and the world a leading Pan-Africanist, a great humanist and a statesman of integrity and principles, like Mwalimu Julius K. Nyerere, to see one of their own committed and dedicated sons being denied to serve his country on the devious ground of lack of citizenship, in a manner most arbitrary and unreasonable.

Jenerali Ulimwengu has not been given reasons for the denial of citizenship nor has he been furnished with the content of the objections said to have been raised against his application. It is a trite principle of natural justice and fair administration that a person who is denied of his rights - and citizenship is a fundamental human right - is entitled to know the reasons and given an opportunity to defend himself against any allegations made against him. These basic rights are found in all international human rights instruments and the Constitution of Tanzania and it is the cornerstone of Rule of Law. The present Chief Justice of Tanzania, Mr. Barnabas Samatta, observed in one of his judgements that:

In my considered opinion, it is a matter beyond rational controversy that …. fundamental requirement of fair play requires that parties should know at the end of the day why a particular decision has been taken. I think it is intolerable in a democratic society that the law should allow a decision-maker to whom an appeal or reference is made to make his decision without giving reasons why he has reached that decision. [Tanzania Air Services Limited v. Minister of Labour, in 1996 Tanzania Law Reports at page 223].

ALL PEOPLE ARE EQUAL AND AFRICA IS ONE

The TANU/CCM creed says: '"All Men Are Equal and Africa Is One". Mwalimu Nyerere indefatigably put this principle into practice. In the 1970s, he even declared that it is a shame to have refugees from within the continent and gave them citizenship for which the country was honoured with an award from the UNHCR. In 1972 when addressing the Chang'ombe Teachers College, Mwalimu said these unforgettable words in relation to General Idi Amin's expulsion of Ugandan Asians:

What does it mean, to say to a large group of people 'From today - or tomorrow, or next week - you citizens are no longer citizens'? It means that they are people in the world who have no state, nor country; no place where they have a right to live.
Physically what do you do with such people? If you give them thirty days to get out - or any other period - what do you do when it is expired? Where are they supposed to go - to the moon? Suppose we in Tanzania were to decide to get rid of some citizens, what do we do? We herd them to the border with Kenya, and Kenya says, ‘No, they are not our citizens’. Uganda, Malawi, Zambia, Zaire, Burundi and Rwanda all say this—what do we do? Do we kill them? That is what Hitler did in Europe in the 1930s and 1940…. Sometimes we in Africa adopt the attitude that we have suffered so long it will be good for other people to suffer and see what it is like. But it is necessary to remember that we are talking about people. The first statement of the TANU Creed says, ‘All men are equal, and Africa is one’. And the very first part is that all human beings are equal.

'Where is Jenerali Ulimwengu supposed to go - to the moon?' Have we forgotten the words of Mwalimu Nyerere so soon?

Let us not be complacent. Today it is Jenerali Ulimwengu, tomorrow it could be his clan, neighbours, political associates, etc. History has a way of avenging itself. Discrimination, whether based on citizenship, race, ethnicity, gender or political views is a ghost that can never be exorcised. As Mwalimu Nyerere was fond of saying, once you have tasted human flesh, you cannot stop.

Once you indulge in discrimination, it can never stop! Let's us tell our politicians to stop getting rid of uncomfortable messages by labelling the messenger by citizenship, race, gender, ethnicity, clan or tribe … On this, Mwalimu Nyerere never compromised.

We owe it to him, to keep, at least, that heritage alive: "All men are equal and Africa is One."
Watakuja tena sijui tumerogwa sisi ngozi nyeusi
 
Kizazi cha 'voda fasta', kama Jenerali anavyopenda kuwaita, hakiwezi na wala hakitaki kujua nchi hii imetoka wapi. Wengi wao ni waathirika wa 'collective imbecilisation' kama anavyoandika Jenerali. Baadhi ni 'mamluki'; watu waliopewa kazi ya propaganda chafu dhidi ya raia wema wanaojaribu kutumia elimu yao, maarifa na uzoefu wao kwa faida ya nchi yao. Mamluki hawashughulishwi na mustakabali wa taifa, bali na matumbo yao. Watu wazima wanaomjua Jenerali wako kimya; hawana baya kumhusu. Kwanza, wanamjua ni mwana-ccm mpaka leo. Lakini vijana wanaodhani wanaipigania ccm wanamwita kila jina baya! Je, ni yale yale ya Warioba? Jenerali yeye ameamua kuwa uanachama wake siyo wa kushangilia kama zuzu; wala siyo wa kunyamazia mambo yakiharibika. Sivyo alivyolelewa na Nyerere. Alilelewa kupigania maslahi ya taifa na kukosoa kwa maslahi mapana ya nchi. Alifanya hivyo kupitia The Daily News, ile safu ya "The Way I see it", aliyorithi kutoka kwa Phillip Ochieng, nadhani 1972. Nyerere hakuona shida; badala yake alimwandaa kwa madaraka makubwa zaidi. Hatimaye akawa Mbunge wa viti vya vijana na wakati huo huo DC miaka ya 1990. Akajiuzulu u-DC kwani ulikuwa unambania uhuru wa kutekeleza wajibu wa ubunge. Ndipo akapata nafasi ya kushiriki kikamilifu kwenye harakati za G55. Kushiriki kwake leo katika jopo la mawakili kwenye shauri la kikatiba lililofunguliwa na Mbowe hakumfanyi kuwa Chadema; bila shaka yeye anaamini ni jukumu la kitaaluma na kiraia. Jenerali ni mfuasi wa falsafa ya Nyerere. Makala zake zinaonyesha anakerwa sana na viongozi wanaojinasibu na Nyerere huku matendo yao yakiwa kama mbingu na ardhi kwa kile Mwalimu alichopigania; yaani taifa la watu huru, lenye umoja na usawa na lisilo na ubaguzi wa aina yoyote. Makala hizo ndizo zinazowasumbua hata vijana wa kizazi cha 'voda fasta' ambao wameaminishwa na kupandikizwa chuki dhidi ya raia wenzao wenye mtazamo tofauti.
Mkuu umeandika kwa uchungu niliwahi kumwona akitoa\ kuchangia mada kwenye kigoda chwa Mwl pale Nkurumah Hall ni hazina hizi propaganda za vijana wa mitandaoni ni mbaya zinaleta chuki kwa sababu wengi wao hawajakuzwa kwenye misingi ya haki,Uhuru na wajibu ni waoga wa fikra huru huu ni mtihani Mkubwa kwa jamii inayoshindwa kuhoji mambo kwa upana na maslai ya nchi yetu
 
Msitumie kichaka hiki cha kufichwa na jamiiforums na kutoa maneno ya kashfa kwa wengine mkjiua hamtawajibika kwa sababu mmefichwa na jamiiforums.
Wewe ndugu nikweli unauhakika kuwa generali ulimwengu alwahi kuhusika na mauaji ya kimbari ya Rwanda?
Tuwe great thinkers wa kweli si kutengenza majungu kwa chuki zisizo nz msingi kivile.
Generali ulimwengu amekuwepo Tanzania tangia mimi naanza kupata ufahamu hadi leo nikiwa na umri huu wa miaka 58, nakushangaa ni lini aliwahi kuwa Rwanda.
Jukwaa hili limekimbiwa na watu makini wengi sana kwa sababu ya watu kulifanya la hovyo kwa kupost mambo yasiyofanyiwa utafiti wo wote.
Hawa wanaotoa lugha za matusi na kejeli ni watu wanaoonyesha uwezo wao wa kufikiri ulivyofinyu. Utawala wa Jamii Forums uangalie jinsi ya kudhibiti forum hii ili isitumike vibaya na hao wahuni.
 
Walipokikosoa chama tawala yeye Ulimwengu na Moulding Castiko mama wa visiwani Unguja "wakasingiziwa" Eti sio RAIA...wakati alishakua "Mbunge wa Taifa",miaka hio...
Kama alisingiziwa kwanini hajaenda mahakamani ? Mbona aliomba uraia kwa taratibu zilizopo na kupewa ? Tangu wakati huo akaanza kuikandia serikali kwa kila jambo ! Anachuki za kitusi !
 
Kama alisingiziwa kwanini hajaenda mahakamani ? Mbona aliomba uraia kwa taratibu zilizopo na kupewa ? Tangu wakati huo akaanza kuikandia serikali kwa kila jambo ! Anachuki za kitusi !
Unaonesha chuki zako zilivyodhahili
 
Ni Mnyarwanda na alinyang'anywa uraia wa Tanzania yeye na akina Balozi Bandora, Castico, nk. Nadhani hakurudishiwa na kwa sasa anafanya kazi kama mgeni.
Ni mwandishi wa Habari na pia miaka kama mitatu nyuma alitunukiwa u advocate. Amewahi kuwa TYL na akawa mwakilishi wa Tanzania kule Algiers. Amewahi kuwa Mbunge wa kuteuliwa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala wakati ule wa kuanzishwa kwa vyama vingi vya siasa. Wakati vyama vingi vinaanzishwa kulikuwa na sheria kwamba ukitaka kufanya maandamano ama mikutano unaomba kibali kwa mkuu wa wilaya. Basi huyu bwana alikuwa hana hiyana ya kutoa vibali kwa vyama. Akahamishwa kupelekwa Singida kama mkuu wa Wilaya. Kama sijasahu hakwenda Singida badala yake akajiuzulu ukuu wa Wilaya.

Huyo ndiye Generali Twaha Ulimwengu.
kujiuzulu ukuu wa wilaya pia kulichangiwa na Generali Ulimwengu kuhitilafiana mtazamo na waziri mkuu wa wakati huo Mh. John Samuel Malecela juu ya msimamo wake kuhusu vita dhidi ya rushwa. Generali Ulimwengu aliiponda hadharani hotuba ya PM Malecela juu ya mafanikio ya serikali ktk vita dhidi ya rushwa na hivyo Ulimwengu alituhumiwa kukosa CORRECTIVE LANGUAGE kama mtendaji wa serilkali (DC).
 
kujiuzulu ukuu wa wilaya pia kulichangiwa na Generali Ulimwengu kuhitilafiana mtazamo na waziri mkuu wa wakati huo Mh. John Samuel Malecela juu ya msimamo wake kuhusu vita dhidi ya rushwa. Generali Ulimwengu aliiponda hadharani hotuba ya PM Malecela juu ya mafanikio ya serikali ktk vita dhidi ya rushwa na hivyo Ulimwengu alituhumiwa kukosa CORRECTIVE LANGUAGE kama mtendaji wa serilkali (DC).
Hawa watoto hawajui, wamekalia ushabiki wa kivyama vyamA
 
Nasikia pia MADAM ana Degree 3 ndio maana viama vimemgombania....
 
Aliye mzalendo zaidi ya Ulimwengu na anyoshe kidole.

Ulimwengu kakataa dhuluma na baadhi ya watawala hawafurahii anachoandika na wakata kumwonyesha nani ni zaidi.
 
Ulimwengu ni moja wapo ya vichwa vichache nnavyo vielewa sana.
 
Sijui kama kweli umeisoma post vizuri, hakuna niliposema elimu, nimesema akili, akili na elimu ni vitu viwili tofauti. Hii tabia iko wazi ktk jamii yetu, of which you're part of. Ipo mitaani kwetu na kwenu pia na imeenda mpaka maofisini, tunachukiana sana kwa sababu za kisiasa, kidini, kiuchumi, kiuwezo kichwani. Ukiwa public figure, omba upendwe kwa ukweli wako, ukichukiwa tu, unavuliwa uraia. We have to change our mind set. Kuna watu ambao ni maprof. wanawekea wenzao kuta wasifanikiwe, shida sio elimu shida ni akili ya kupambanua mambo.
Sasa akili ya J ulimwengu umeipimaje asee? Unaweza kutuambia Intelligence Quetient ni ngapi? Hvi watu wanaweza kukuvua uraia from no where tu mbona upinzani hawavuliwa? Kama umzawa huna haja ya kujieleza Sana Eti kuonesha uzawa wa eneo fulani, Ulimwengu sio mtanzania hutaki andamana
 
Twaha Ulimwengu ni bidha adimu,na itachukua kalne mmoja kupata mtu sampuli hii.Hataki quick fix,ila anataka binadamu ajitambue kabla ya kufungua mdomo auganishe ubongo wake kwaza,mimi siyo Mark Antony ila ujumbe umefika.


MASHAKA YANGU ISIJE IKAWA NI WALEWALE KINA NYAUCHO NA MZEE WA KIRARACHA, USONI WAPINZANI , MOYONI DAMU INA RANGI YA KIJANI ,MISHIPA ILIYOSHIKA MOYO NI JEMBE NA NYUNDO, HASA UKITILIA MAANANI NI MFUASI MAKINI WA HAYATI BABA YETU MZEE WA MITONGO
 
Back
Top Bottom