Wasifu (CV) wa January Makamba

Wasifu (CV) wa January Makamba

Bwana mdogo unamjua Bon Sipele, Mike Maina je?

C.J Mung'ongo au Euphrahase Kezilahabi?

What do you know about Fasihi? Hebu acha utani.

Kwamba,nao waliwahi kuwa na tuhuma za kuiba mitihani huko walikotoka?
 
wakuu ningependa kufahamu maelezo (cv) ya mbunge januari makamba.

Kuanzia elimu yake, (na alama alizopata) na maisha yake kwa ujumla.

Na ni sifa gani ya pekee ambayo ilimfanya apate nafasi ya kuwa msaidizi wa j.k (2005 -2010)

Inasemekana jamaa anaandaliwa kuja kuwa president wa Tanzania.


==================
Katika Interview akijibu mwenyewe:

Inasemekana anaandaliwa?Huyo anayemuandaa ni nani?Njoo na CV yake(Huyo anayemuandaa).
 
Hv huyu faizafoxy anaga shughuli nyngne kwnye kila thread lazma ukute comments zake za utata.

Hivi na wewe "hunaga" shughuli nyingine ispokuwa kumfatilia "comments zake"? Unanchekesha!
 
This is ----ing,yani unaleta uzi kukadili historia ya mtu ambayo huna hata haya juu ya wivu ulio nao.mwenzako katoa experience yake ktk kazi na masomo na imeshiba.
Swala la kodi ya simu kwani aloiyepitisha ni makamba au wabunge wote,lakin turudi katika hili watz tunakuwa wavivu hata kuchangia kodi kwa maendeleo ya nchi yetu hapa serikali ikiendelea kuomba misaada na kukopa ndo wa kwanza midomo wazi kuanza kuzungumza tena mumekuwa watu wa aina gani just imagine iyo kodi ya simu sio mzigo ukulinganisha na anasa unazotumia hela nyingi kwaiyo jaribuni kuwa wazalendo si kupinga mambo ambayo hayana tija kisa hutaki kusikia makamba kaandikwa kwa mema
 
This is fking,yani unaleta uzi kujadili historia ya mtu ambayo huna hata haya juu ya wivu ulio nao.mwenzako katoa experience yake ktk kazi na masomo na imeshiba.
Swala la kodi ya simu kwani aloiyepitisha ni makamba au wabunge wote,lakin turudi katika hili watz tunakuwa wavivu hata kuchangia kodi kwa maendeleo ya nchi yetu hapa serikali ikiendelea kuomba misaada na kukopa ndo wa kwanza midomo wazi kuanza kuzungumza tena mumekuwa watu wa aina gani just imagine iyo kodi ya simu sio mzigo ukulinganisha na anasa unazotumia hela nyingi kwaiyo jaribuni kuwa wazalendo si kupinga mambo ambayo hayana tija kisa hutaki kusikia makamba kaandikwa kwa mema
 
This Forum seems to have officially been converted into a gossiping place. What's worse, those who are supposed to preserve its reputation appear to either be fast asleep or are themseleves part of the campaign to destruct what was once the most credible and respectable site.

Is that a word?

January Makamba didn't score Division 0 in his A-level final exams as the person who made this post attempts to make us believe. The truth is that he scored an impressive Division 1, with his headmaster decribing him as one of the most talented students his school had ever had.

No ma'am. He did not score "an impressive Division 1" as you aver. I have heard him say he got the second division.

So stop lying.
 
Akili za Lumumba ni za kijinga Mtu aandaliwe halafu mseme anaweza?Kauli irresponsible hunzaa taifa la waropokaji km hili la magamba.

MIbunge yote ipo Mnyonge mnyingeji il ahaki yake mpeni..uatamyongaje mnyonge halafu bado umpe haki yake..?
 
aisee bora ushangae wewe dogojanja. Ni wazi urais unao ongelewa hapa ni wa twitter. Hivi january ana sifa gani ya kuwa rais wa watu? Hivi january ameifanyia nini cha maana wizara yake.

Mbona hata huo uwazuri hana sifa sema amashukuru jk.

uwaziri umeenda mbali,kalifanyia nini jimbo lake?
 
Last edited by a moderator:
Kama alipata division 0 au 4 kidato cha nne na form six alipata two na akajiendeleza mpaka masters sioni tatizo lolote.

Nimeona watu walipata divisions zero form six kutokana na sababu mbali mbali lakini walijitaidi na kumaliza masomo ya juu vizuri na baadae kupata kazi nje ya nchi.

Sioni uhusiano wa mtu aliyefanya vibaya form four na baadae akajiendeleza mpaka masters na kwamba hafai kugombea uraisi.

Au kwenye wizara na Bumbuli hakuna pa kumpiga vijembe?
 
1:Ni bora upate zero kuliko kuiba mitihani kisha upewe uwaziri wa sayansi na teknolojia unaohitaji vipaji na ubunifu kuliko kuiba mitihani huku tukijua ubunifu wa vibaka hauhitajiki katika jamii iluyostaarabika.Sasa tuachane na vita ya kupambana na vibaka!

2:CV ya Mbowe iko wazi kitaaluma.Mgombea urais aliyeruhusiwa kisheria 2005.

Dr.Slaa?Just be honest to yourself.

3:CV yangu iulize jamhuri ya muungano wa Tanzania iliyonisomesha nje.Viulize vyuo vya Allahavad,Annamalai na Glasgow University-Scotland.Kisha iulize jamii.Kisha Rudi majukwa yote ya JF kuanzia Siasa,International Forum,Chit Chat(Usimtamani Madame B),MMU,Business,Lugha,Sheria,Jf doctor na Intelligence Forum.Nje ya JF nenda Nairaland ya Nigeria,Ghana,The Planet na Political Forum ya USA.Jukwaa Kenya na Mashada ambayo imepumzika kisha turudi kwenye harakati za mabaraza ya katiba badala ya kuendelea kufuatilia other forums.Tulia tuli tuli.

Yap!How Europe underdevelop Africa!
 
Last edited by a moderator:
Hivi kuwa msaidizi wa Rais ilitangazwa hiyo nafasi na yeye akashinda interview???
 
Leta ushahidi wa tafiti zako ikiwa haujasukumwa na chuki binafsi ili uaminike hapa

Tafiti gani nifanye kila kitu dunia ya sasa ni copy na kuja ku paste tu hapa.. nani asiye juwa uwezo mdogo wa.kielimu wa baadhi ya viongozi wa cdm
 
Last edited by a moderator:
Ben Saanane umetajwa wapi.. nairaa forum sijui..

Dont hate dude j makamba si size yako kabisaa

Kutajwa kitu gani,hata babu wa Loliondo aliongoza kutajwa.

Sisi tunajadili issues wewe unalinganisha pua za watu.Be serious!

-Hoja hapa ni kuwa January Makamba atoke hadharani kukanusha tuhuma hizi za wizi wa mitihani kule Galanos Sekondari.
 
Last edited by a moderator:
Kutajwa kitu gani,hata babu wa Loliondo aliongoza kutajwa.

Sisi tunajadili issues wewe unalinganisha pua za watu.Be serious!

-Hoja hapa ni kuwa January Makamba atoke hadharani kukanusha tuhuma hizi za wizi wa mitihani kule Galanos Sekondari.

We jamaa bwana.

1) Tuhuma za wizi umeamka nazo wewe mwenyewe. Kama kila tuhuma unayotungiwa Jamii Forum unakuja kuijibu si wanasiasa watapoteza masaa yao pale Maelezo? Unajibu tuhuma ambazo zimepass "credibility threshold"

2) Mtu amesoma Bachelor Degree hapa College of Saint Benedict & Saint John's University

3) Akasoma Masters degree hapa The School for Conflict Analysis and Resolution

4) Akachaguliwa kuwa International Election Observer wa Jimmy Carter Center The Carter Center: Advancing Human Rights and Alleviating Suffering

5) Akachaguliwa kuwa Desmond Tutu leadership fellowship hapa Home - Team Web Site

6) Akachaguliwa na World Economic Forum kuwa Young Global Leader http://www3.weforum.org/docs/YGL13/WEF_YGL13_SSA_Honourees.pdf

7) Akafungua shirika la maendeleo la Bumbuli na kufufua kiwanda cha kusindika matunda pamoja na kusaidia wakulima wa chai pamoja na investment mbali mbali INVESTMENTS

8)Akachaguliwa na Rais wa Serikali ya Jamhuri wa Muungano kuwa Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi, na Teknolojia Mchango wa Mh. Januari Y. Makamba Bungeni, Jumanne Aprili 16, 2013 - YouTube

9) Akachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya nishati na madini ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania January Makamba; Parliament's Energy and Minerals Committee's Report on TBC 09:05am 19.11.2011 - YouTube

10) Halafu wewe mdau tu wa Jamii Forum unakuja kudai kwamba huyu mtu kaiba mtihani wa Form 4 na unataka kutuamini. Hauwezi kuwa haujalewa. Mchukie mtu, ila usimzushie maneno. Ni dhambi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom