Wasifu (CV) wa January Makamba

Wasifu (CV) wa January Makamba

Wewe ni January Makamba?

Tuhuma hizi zililetwa humu humu,na yeye ni member humu kwa ID yake.Haiwezekani ashindwe kujibu tuhumu hizi humu kwa ID yake wakati anatajwa kama mwanasiasa ambaye ni pro kwa matumizi ya mitandao.
Alichosema selemani ni kweli. Kama kila tuhuma itampasa mwanasiasa ajitokeze kujibu kazi ya wanasiasa itabaki kuwa kuzungumza na vyombo vya habari, na kama kutotuhumiwa ingekuwa kigezo msingi cha kuwapata viongozi basi dunia isingekuwa na viongozi!
 
Tuhuma kama hizi ni serious.Mtu anapaswa kuzijibu once and for all.Tuhuma hizi zinaathiri jamii ambayo mwishowe itaona udanganyifu katika taaluma ni jambo la kawaida
 
Tuhuma kama hizi ni serious.Mtu anapaswa kuzijibu once and for all.Tuhuma hizi zinaathiri jamii ambayo mwishowe itaona udanganyifu katika taaluma ni jambo la kawaida

mbona unawashwa sana na hii ishu we dogo.
 
Tuhuma kama hizi ni serious.Mtu anapaswa kuzijibu once and for all.Tuhuma hizi zinaathiri jamii ambayo mwishowe itaona udanganyifu katika taaluma ni jambo la kawaida

Last edited by a moderator:
Tuhuma kama hizi ni serious.Mtu anapaswa kuzijibu once and for all.Tuhuma hizi zinaathiri jamii ambayo mwishowe itaona udanganyifu katika taaluma ni jambo la kawaida

Mzee wa degree za india hujambo?
 
hivi unaanzaje kumfagilia mtu ambaye ktk uongozi ht miaka 5 hajafika..kwa kifupi na muona wakawaida..sijui ni lipi kafanya la ajabu mpk ashawishi hao vijana hivyo..yale yale kumfagilia kikwete enzi hizo kumbe kazi hawezi

kwani makamba kafanya nini???mimi sioni chochote alichokifanya mpaka sasa.kama kukaa minnesota wengi tumesoma central london,lands end uk,milan italy,fort walton beach florida,long island new york,sicily italy like this.'nji' hii ina wasomi 'balaa'.wengi wamepigwa vita wakakimbia nchi.waliobaki nchini wanaonekana kama 'choo'.ndio chanzo cha 'nji'hii kuyumba.
 
Kutajwa kitu gani,hata babu wa Loliondo aliongoza kutajwa.

Sisi tunajadili issues wewe unalinganisha pua za watu.Be serious!

-Hoja hapa ni kuwa January Makamba atoke hadharani kukanusha tuhuma hizi za wizi wa mitihani kule Galanos Sekondari.

Akanushe mara ngapi wewe.. mbona kila kitu kipo wazi kwenye website yake.. kama umegoma kuamini ni weye
 
Akanushe mara ngapi wewe.. mbona kila kitu kipo wazi kwenye website yake.. kama umegoma kuamini ni weye

Kitu gani kipo wazi ?Iweje afanye mtihani kama alikua victim wa negligence ya NECTA?Hapa kuna maswali mengi ambayo alitakiwa awe ameshayajibu kwenye tamko lake hilo.Mwanasiasa smart anatakiwa kujibu issues once and for all.

Kama unaburuzwa tu,ni wewe.So usilazimishe kila mtu akubali kuburuzwa
 
Hoja hapa ni tuhuma za udanganyifu wa mitihani yake ya kidato cha nne

Basi Blaza. January Makamba kaiba mitihani ya Form Four,na alipata zero Form six. Kwahiyo unashauri vipi sasa. Kwa mtazamo wako wewe?
 
THE World Economic Forum (WEF) has named the Deputy Minister for Communications, Science and Technology, Mr January Makamba, one of its 2013 Young Global Leaders (YGLs).

http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/15440-makamba-named-2013-young-global-leader

Basi Blaza. January Makamba kaiba mitihani ya Form Four,na alipata zero Form six. Kwahiyo unashauri vipi sasa. Kwa mtazamo wako wewe?
Selemani Join Date : 26th August 2006

:wave::wave::wave::wave::wave::wave::wave::yield::yield::yield::yield:
 
mkuu kimbunga sabah kheri!
Ukipata muda tembelea blogu ya january alivyojikanyaga kanyaga kuhusu kufutiwa matokeo ya kidato cha nne baada ya kuthibitika kuiba (kufanya udanganyifu) mitihani ya kidato cha nne galanos secondary school.
Pengine kama si kuwa mtoto wa yusuph makamba sashivi january angekuwa anachoma mahindi bumbuli pale soni sokoni au kijijini kwekitui!

au angekuwa anauza kamba za katani pale kariakoo.nchi hii bila kuwa na 'connection' na kigogo huendi kokote hata kama umesoma mbinguni.
 
Selemani Join Date : 26th August 2006
makambajr Join Date : 26th August 2006

:wave::wave::wave::wave::wave::wave::wave::yield::yield::yield::yield:

Niliiona hii.Sijui kwanini mtu asije na ID yake tu hapa badala ya kutumia ID yake fake.Mapovu yote aliyotoa kwa ID nyingine nimemwambia hayatamsaidia.
Uhuni huu wa kwenye mitandao anadhani anauweza sana.

Waziri wa sayansi na teknolojia. ! ! !

CC: makambajr , Selemani , january

CC: njiwa, Radhia Sweety- Kwa mrejesho tu
 
Last edited by a moderator:
Hoja hapa ni tuhuma za udanganyifu wa mitihani yake ya kidato cha nne

achana na porojo. tuhuma tuhuma tuhuma! tumechoka. toka jana wimbo ni huohuo! acha wivu ben wa kike ben. makamba ni habari nyingine. yule kijana Mungu amemruzuku! uwezo wake ni mkubwa. namkubali zitto lakini makamba is more smarter.... ubongo unafanya kazi. ni bingwa wa kutafakari kabla hajaongea. ametulia. uwezo wa kupindukia wa kuongea kiswahili na kiingereza, mwana maendeleo jimboni kwake. akigombea, nitamuunga mkono kuwa rais wa TZ.
 
Kitu gani kipo wazi ?Iweje afanye mtihani kama alikua victim wa negligence ya NECTA?Hapa kuna maswali mengi ambayo alitakiwa awe ameshayajibu kwenye tamko lake hilo.Mwanasiasa smart anatakiwa kujibu issues once and for all.

Kama unaburuzwa tu,ni wewe.So usilazimishe kila mtu akubali kuburuzwa
kwa lugha unayoitumia, huna hadhi ya kujibiwa na makamba!
 
Eti anaropoka "Upinzani hakuna mwenye sura ya urais". Simcard imemshinda ataweza kukabiliana na mikataba ya Nyuklia?Ushamba tu.

By the way,huwezi kusomea shahada ya conflict resolution kama una akili timamu.Je,Migogoro ikiisha utafanya nini?Utafitini na kuomba watu wagombane?Ndiyo future hii?Je,taaluma hii isingesaidia usuluhishi na mzee shelukindo huko Bumbuli?Conflict haihitaji digrii bali busara na kujitambua tu.Kwani wafalme wetu miaka ya zamani waliwezaje kutatua migogoro?Only,Weak Creatures watafanya promotion ya taaluma hii na kujisifia kwa vyeti na majoho.

Ben,

Mbona unaruka ruka? hujui unachotaka katika mjadala huu? mara form four, mara sim card, sasa shahada! Tena katika kuonesha kukosea kwa January kuchagua kozi umewatukana wote waliosomea utatutizi wa migogoro kama watu wasio na akili timamu. Brother, be consistent, kama una issues personal na JM be clear, naona huna issue yoyote ya maana juu yake ndio maana unapoteza muda with these petty claims.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom