Wasifu (CV) wa January Makamba

Mimi nimesoma na JM pale Galanos sec Tanga mwanzoni wa miaka ya tisini. Huyu bwana matokeo yake ya form four yalifutwa baada ya kugundulika aliiba paper. Baada ya hapo baba yake akamfanyia mpango kwenye shule nyingine nadhani Forest. Wezi wa paper ndio leo wanashika nchi unategemea nini? Kama JM ana ubavu abishe.


Usitetee usichokijua. ili ujue nimesoma Galanos headmaster alikuwa Kinala, second mistress alikuwa Mama Msemwa. Matokea yalipotoka January Makamba matokeo yake yalifutwa. Headmaster Kinala alitutangazia parade kuwa alifanya cheating ndio maana matokeo yakafutwa na akaonya watu wenye tabia hizo.

Ninashangaa mtu anasema ni rumour ina maana mkuu wa shule alikuwa anazungumza kwa rumour?

Najua January nitamkamatia wapi.Akipata uwaziri tu ndio nazungumza na waandishi wa habari. Hatuwezi kuongozwa na wezi wa mitihani.

Ukiwa na evidence unaweka tu uani.Ila niliwahi kulisikia hili siku nyingi sana.Na yeye atuambie form four alitupwa nje au??
 
CCM kuna mambo....mbowe alishasemaga kule ni mashetani yamejaa.....na mheshimiwa Rais naye kathibitisha kwamba wataishi kama mashetani maana wanaishi kama malaika wakati wao ni mashetani....haiwezekani. Ni wengi mno wamejificha mle kisa ni chama Mama/Tawala. Ngoja wakutane na ngosha aliyekulia kijijini awaonyeshe shughuli
 
Makamba akae mguu sawa vijana wanakusanya ushahidi ili wamkabidhi Gwajima.. Tumejipangaaaa mwaka huuu wataisomaaaaa
 
Nchi, kila kitu kiliwezekana Eeeeh, Tanzania !! Ila mbele ya JPM ni lazima wafiate mikia.

Wote wenye utata washushwe tu waishi Kama mapepo!!
 
wakuu ningependa kufahamu maelezo (cv) ya mbunge januari makamba.

Kuanzia elimu yake, (na alama alizopata) na maisha yake kwa ujumla.

Na ni sifa gani ya pekee ambayo ilimfanya apate nafasi ya kuwa msaidizi wa j.k (2005 -2010)

Inasemekana jamaa anaandaliwa kuja kuwa president wa Tanzania.


==================
Katika Interview akijibu mwenyewe:

CV) ya January Makamba Anzia pale alipoiba mitihani wa kidato cha nne Galanous Tanga.​

 
Back
Top Bottom