Wasifu (CV) wa January Makamba

Wasifu (CV) wa January Makamba

Hongera bwana Januari makamba , hakika nimepata upande wa pili wa shilingi. kijana kaza buti utakuwa poa zaidi kwani una zali fulani la maana.
 
ahaah kumbe aliiba mitahani! Swali rahisi la kujiuliza kama aliiba mitihani atashindwaje kuiba rasimali zetu? Zuzu mkubwa huyu
 
Ila tuache utani, kwa umri na historia yake-kijana namuheshimu lakini pia CV imejaa kibiriti. Hongera January
 
Jamaa Kaandika hivi Kwenye Website yake (January Makamba)
"So, we did our exams – and the day to go and look for the result came. And, to the shock of friends and family and teachers, my name was not there in the results sheet. I felt like collapsing. I went to another result centre thinking that there was a mistake – again, nothing. Inquiries to the reasons were not responded to immediately. Later we learnt that I was mistakenly linked to a cheating scam that one of the teachers was involved in. I was a pawn in a terrible mistake. A really long and painful story. So, what was the alternative? To resit the exams. I quickly registered as private candidate and pursued High School studies at Forest Hill High School on a tentative basis while resitting – so that when I get my results I can proceed on to Form Six. It was such a task, but I succeeded"

Bado najiuliza, kama kweli alisingiziwa, kwa nini hakuruhisiwa kupewa majibu yake na badala yake akatafuta alternative?? Manake, kwa connections zile na kama kweli alikuwa ameonewa, sidhani kama majibu yake yasingetolewa, Tafakari!

Ni muhimu sana hii aione Radhia Sweety Ben Saanane Selemani gwaigwa Kimbunga Mukubwa muone jinsi raisi wa Bumbuli anavyojikanyaga kanyaga kuhusu yeye kuiba mitihani ya kidato cha nne Galanos hadi kupelekea kufutiwa matokeo.

Kwa January kuwa mtoto wa Mkuu wa wamkoa by then hadi akafutiwa matokeo ni dhahiri kuwa kulikuwa na ushahidi wa kutosha wa kuiba mitihani na tukumbuke kuwa miaka hiyo ya 90s-2000s wizi wa mitihani ilikuwa ndio habari ya mjini kwa wale wavivu wa kusoma.
 
Last edited by a moderator:
We jamaa bwana.

1) Tuhuma za wizi umeamka nazo wewe mwenyewe. Kama kila tuhuma unayotungiwa Jamii Forum unakuja kuijibu si wanasiasa watapoteza masaa yao pale Maelezo? Unajibu tuhuma ambazo zimepass "credibility threshold"

2) Mtu amesoma Bachelor Degree hapa College of Saint Benedict & Saint John's University

3) Akasoma Masters degree hapa The School for Conflict Analysis and Resolution

4) Akachaguliwa kuwa International Election Observer wa Jimmy Carter Center The Carter Center: Advancing Human Rights and Alleviating Suffering

5) Akachaguliwa kuwa Desmond Tutu leadership fellowship hapa Home - Team Web Site

6) Akachaguliwa na World Economic Forum kuwa Young Global Leader http://www3.weforum.org/docs/YGL13/WEF_YGL13_SSA_Honourees.pdf

7) Akafungua shirika la maendeleo la Bumbuli na kufufua kiwanda cha kusindika matunda pamoja na kusaidia wakulima wa chai pamoja na investment mbali mbali INVESTMENTS

8)Akachaguliwa na Rais wa Serikali ya Jamhuri wa Muungano kuwa Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi, na Teknolojia Mchango wa Mh. Januari Y. Makamba Bungeni, Jumanne Aprili 16, 2013 - YouTube

9) Akachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya nishati na madini ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania January Makamba; Parliament's Energy and Minerals Committee's Report on TBC 09:05am 19.11.2011 - YouTube

10) Halafu wewe mdau tu wa Jamii Forum unakuja kudai kwamba huyu mtu kaiba mtihani wa Form 4 na unataka kutuamini. Hauwezi kuwa haujalewa. Mchukie mtu, ila usimzushie maneno. Ni dhambi.

Wewe ni January Makamba?

Tuhuma hizi zililetwa humu humu,na yeye ni member humu kwa ID yake.Haiwezekani ashindwe kujibu tuhumu hizi humu kwa ID yake wakati anatajwa kama mwanasiasa ambaye ni pro kwa matumizi ya mitandao.
 
Ni muhimu sana hii aione Radhia Sweety Ben Saanane Selemani gwaigwa Kimbunga Mukubwa muone jinsi raisi wa Bumbuli anavyojikanyaga kanyaga kuhusu yeye kuiba mitihani ya kidato cha nne Galanos hadi kupelekea kufutiwa matokeo.

Kwa January kuwa mtoto wa Mkuu wa wamkoa by then hadi akafutiwa matokeo ni dhahiri kuwa kulikuwa na ushahidi wa kutosha wa kuiba mitihani na tukumbuke kuwa miaka hiyo ya 90s-2000s wizi wa mitihani ilikuwa ndio habari ya mjini kwa wale wavivu wa kusoma.

Very Good!

Sasa January Makamba atoke hadharani to clear the mess.

CC: Selemani , january , njiwa
 
Last edited by a moderator:
Kama Hashimu Rungwe, Fahmu Dovutwa, Anna Senkoro waliweza kugombea URAIS na JMT, sembuse January Makamba!!!

URAIS wa JMT wa Tanzania ni kazi inayoweza kufanywa na mtu yeyote hata KICHAA!!
 
Ni muhimu sana hii aione Radhia Sweety Ben Saanane Selemani gwaigwa Kimbunga Mukubwa muone jinsi raisi wa Bumbuli anavyojikanyaga kanyaga kuhusu yeye kuiba mitihani ya kidato cha nne Galanos hadi kupelekea kufutiwa matokeo.

Kwa January kuwa mtoto wa Mkuu wa wamkoa by then hadi akafutiwa matokeo ni dhahiri kuwa kulikuwa na ushahidi wa kutosha wa kuiba mitihani na tukumbuke kuwa miaka hiyo ya 90s-2000s wizi wa mitihani ilikuwa ndio habari ya mjini kwa wale wavivu wa kusoma.

Naomba nikopi na kupesti

1) Tuhuma za wizi umeamka nazo wewe mwenyewe. Kama kila tuhuma unayotungiwa Jamii Forum unakuja kuijibu si wanasiasa watapoteza masaa yao pale Maelezo? Unajibu tuhuma ambazo zimepass "credibility threshold"

2) Mtu amesoma Bachelor Degree hapa College of Saint Benedict & Saint John's University

3) Akasoma Masters degree hapa The School for Conflict Analysis and Resolution

4) Akachaguliwa kuwa International Election Observer wa Jimmy Carter Center The Carter Center: Advancing Human Rights and Alleviating Suffering

5) Akachaguliwa kuwa Desmond Tutu leadership fellowship hapa Home - Team Web Site

6) Akachaguliwa na World Economic Forum kuwa Young Global Leader http://www3.weforum.org/docs/YGL13/W..._Honourees.pdf

7) Akafungua shirika la maendeleo la Bumbuli na kufufua kiwanda cha kusindika matunda pamoja na kusaidia wakulima wa chai pamoja na investment mbali mbali INVESTMENTS

8)Akachaguliwa na Rais wa Serikali ya Jamhuri wa Muungano kuwa Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi, na Teknolojia Mchango wa Mh. Januari Y. Makamba Bungeni, Jumanne Aprili 16, 2013 - YouTube

9) Akachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya nishati na madini ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania January Makamba; Parliament's Energy and Minerals Committee's Report on TBC 09:05am 19.11.2011 - YouTube

10) Halafu wewe mdau tu wa Jamii Forum unakuja kudai kwamba huyu mtu kaiba mtihani wa Form 4 na unataka kutuamini. Hauwezi kuwa haujalewa. Mchukie mtu, ila usimzushie maneno. Ni dhambi.

Mwisho-
Humu ndani tunazidiana sana uwezo wa kuelewa, pamoja na maarifa. Na kwa bahati mbaya hatujuani sana, ila kwa uveterani wangu wa Jambo Forum nadhani nyie ni washabiki zaidi kuliko wahushi wa hoja. Naomba kuishia hapa kwenye hili suala la wizi wa mitihani. Niwape FURSA wasomaji wengine waone tofauti.

Alamsiki,

Selemani.
 
Kama alipata division 0 au 4 kidato cha nne na form six alipata two na akajiendeleza mpaka masters sioni tatizo lolote.

Nimeona watu walipata divisions zero form six kutokana na sababu mbali mbali lakini walijitaidi na kumaliza masomo ya juu vizuri na baadae kupata kazi nje ya nchi.

Sioni uhusiano wa mtu aliyefanya vibaya form four na baadae akajiendeleza mpaka masters na kwamba hafai kugombea uraisi.

Au kwenye wizara na Bumbuli hakuna pa kumpiga vijembe?

babu M,

Unajadili vitu viwili tofauti.

Mtu kupata Div 0 na kupambana baadae akafika mbali huyo anastahili pongezi.Hapa kuna tuhuma za wizi wa mtihani.Hii ni different case.Hii haiwezi kuendekezwa kwa namna yoyote ile unless kama tunataka kujenga taifa la ovyo na kuzalisha viongozi wenye background chafu.
 
Last edited by a moderator:
We jamaa bwana.

1) Tuhuma za wizi umeamka nazo wewe mwenyewe. Kama kila tuhuma unayotungiwa Jamii Forum unakuja kuijibu si wanasiasa watapoteza masaa yao pale Maelezo? Unajibu tuhuma ambazo zimepass "credibility threshold"

2) Mtu amesoma Bachelor Degree hapa College of Saint Benedict & Saint John's University

3) Akasoma Masters degree hapa The School for Conflict Analysis and Resolution

4) Akachaguliwa kuwa International Election Observer wa Jimmy Carter Center The Carter Center: Advancing Human Rights and Alleviating Suffering

5) Akachaguliwa kuwa Desmond Tutu leadership fellowship hapa Home - Team Web Site

6) Akachaguliwa na World Economic Forum kuwa Young Global Leader World Economic Forum - Home

7) Akafungua shirika la maendeleo la Bumbuli na kufufua kiwanda cha kusindika matunda pamoja na kusaidia wakulima wa chai pamoja na investment mbali mbali INVESTMENTS

8)Akachaguliwa na Rais wa Serikali ya Jamhuri wa Muungano kuwa Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi, na Teknolojia Mchango wa Mh. Januari Y. Makamba Bungeni, Jumanne Aprili 16, 2013 - YouTube

9) Akachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya nishati na madini ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania January Makamba; Parliament's Energy and Minerals Committee's Report on TBC 09:05am 19.11.2011 - YouTube

10) Halafu wewe mdau tu wa Jamii Forum unakuja kudai kwamba huyu mtu kaiba mtihani wa Form 4 na unataka kutuamini. Hauwezi kuwa haujalewa. Mchukie mtu, ila usimzushie maneno. Ni dhambi..

Wewe Selemani ninapata wasiwasi na uelewa wako, hata kama umetumwa kuja kumuwakilisha January hapa JF basi jitahidi kuwa smart japo kidogo tu ili usiendelee kujichoresha.

Tuhuma zilizopo hapa ni za January kuthibitika kuiba mitihani ya kidato cha nne Galanos secondary hivyo kupelekea kufutiwa matokeo yake. Hakuna mtu aliyezungumzia au kutilia shaka yeye kusoma hivyo vyuo vya kimarekani au kufanya kazi kwa wakimbizi na kwingineko.

Hoja ya msingi hapa ni wizi wa mitihani uliofanywa na January ambaye sasa ni naibu waziri wa sayansi na teknolojia, jambo ambalo linamnyima uhalali wa kuwa kiongozi wa umma kama viongozi wa nchi yetu wangekuwa wanazingatia maadili ya mtu kabla ya uteuzi ni dhahiri kuwa January hakupaswa kabisa kugusa ofisi ya umma kwakuwa yeye ni mfano mbaya kwa vijana wanaochipukia watajifunza nini kwake zaidi ya kufanya udanganyifu wa mitihani? hebu soma kidogo hapa chini alichokiandika mwenyewe kwenye blogu yake ambayo nafahamu wewe unaisoma kila mara.

"So, we did our exams – and the day to go and look for the result came. And, to the shock of friends and family and teachers, my name was not there in the results sheet. I felt like collapsing. I went to another result centre thinking that there was a mistake – again, nothing. Inquiries to the reasons were not responded to immediately. Later we learnt that I was mistakenly linked to a cheating scam that one of the teachers was involved in. I was a pawn in a terrible mistake. A really long and painful story. So, what was the alternative? To resit the exams. I quickly registered as private candidate and pursued High School studies at Forest Hill High School on a tentative basis while resitting – so that when I get my results I can proceed on to Form Six. It was such a task, but I succeeded"
 
Last edited by a moderator:
Wewe Selemani ninapata wasiwasi na uelewa wako, hata kama umetumwa kuja kumuwakilisha January hapa JF basi jitahidi kuwa smart japo kidogo tu ili usiendelee kujichoresha.

Tuhuma zilizopo hapa ni za January kuthibitika kuiba mitihani ya kidato cha nne Galanos secondary hivyo kupelekea kufutiwa matokeo yake. Hakuna mtu aliyezungumzia au kutilia shaka yeye kusoma hivyo vyuo vya kimarekani au kufanya kazi kwa wakimbizi na kwingineko.

Hoja ya msingi hapa ni wizi wa mitihani uliofanywa na January ambaye sasa ni naibu waziri wa sayansi na teknolojia, jambo ambalo linamnyima uhalali wa kuwa kiongozi wa umma kama viongozi wa nchi yetu wangekuwa wanazingatia maadili ya mtu kabla ya uteuzi ni dhahiri kuwa January hakupaswa kabisa kugusa ofisi ya umma kwakuwa yeye ni mfano mbaya kwa vijana wanaochipukia watajifunza nini kwake zaidi ya kufanya udanganyifu wa mitihani? hebu soma kidogo hapa chini alichokiandika mwenyewe kwenye blogu yake ambayo nafahamu wewe unaisoma kila mara.

Kwa hiyo hapo kwenye RED wewe ushajihakikishia sio una mauhakika yote?

Basi sawa.
 
Huyu januari anaweza kuja kua msanii tu kama baba yake. ccm ilizorota kupindukia kimaadili wakati wa ukatibu mkuu wa makamba. chama kikawa kinaendeshwa kihuni na kiushikaji. Januari kwa sasa anaonekana tofauti ila wanaompigia debe inaelekea wametumwa hivyo tuwe macho.
 
Mkuu Kimbunga sabah kheri!
Ukipata muda tembelea blogu ya January alivyojikanyaga kanyaga kuhusu kufutiwa matokeo ya kidato cha nne baada ya kuthibitika kuiba (kufanya udanganyifu) mitihani ya kidato cha nne Galanos Secondary School.
Pengine kama si kuwa mtoto wa Yusuph Makamba sashivi January angekuwa anachoma mahindi bumbuli pale Soni sokoni au kijijini kwekitui!

Alifukuzwa kwa sababu alikutwa anavuta banghe
 
Last edited by a moderator:
Ukimwona kobe juu ya mti kapandishwa kumbe nchi hii kama hujulikani utapata taabu sana kama huna God father utasote na elimu yako
 
==>> January Makamba like father like son...wote hovyo hovyo....

==>> F4 kafutiwa matokeo Div 0 kwa wizi wa exams Galanos...

==>> F6 Div 0 Forest hill...

===>> Na ukitaka kujua January ni KILAZA...has too
low IQ & EQ....he used to popularize himself kwa kuwanunua VIJANA WALIO KATIKA UONGOZI WA VIKUNDI fulani fulani...mfano...hao wa VYUO VIKUU OF
WHICH, nao bila aibu wameuzika .... so January hana kitu, sifa na sio intellectual wa kitu chochote zaidi ya KUSOMEA USULUHISHI WA MIGOGORO TU NJE OF WHICH sio issue...

==>> January hajijui....but he pretends to know kweli
kweli....& like anatumia akili kweli kweli KUHUSU DIFFERENT ISSUES....huyu MWEUPE KABISA ....

==>> URAIS labda wa nyumbani kwao...yeye na bumbuli yake....A DAY DREAM....

==>> January kila siku akiamka ANATAKIWA AMSHUKURU JK....hadi kufa....amwone Mungu wake wa pili..

Mkuu mara nyingi nimekuwa nikitofautiana na wewe...lakini kwa hili,you are absolutly right....
Mimi ni kati ya watu ambao sioni kitu chochote kwa January.
The Guy ni Mweupe Mno...kama ulivyosema huyu jamaa anapaswa kumuona JK kama Mungu wake wa pili
 
Wewe ni January Makamba?

Tuhuma hizi zililetwa humu humu,na yeye ni member humu kwa ID yake.Haiwezekani ashindwe kujibu tuhumu hizi humu kwa ID yake wakati anatajwa kama mwanasiasa ambaye ni pro kwa matumizi ya mitandao.

January siyo saizi yako kakangu. Jaribu kuwa realistic katika kila vita unayotaka kupigana. Mchizi amekuacha mbali sana--huo ndiyo ukweli.
 
Kwa kuwa January Makamba alipata zero wakati alikuwa hafukuzwi fukuzwi ada wala kukosa pocket money basi hafai kuwa Rais kwani siyo mfano wa kuigwa. Sioni hata mantiki ya kumjadili, ngoja nilale kwa uchovu wa kufukuzana na policcm wanaomlinda Henry Matata!

kamanda ulipata fimbo ya askofu wewe? vilat utawajua tu.
 
Kwa hiyo hapo kwenye RED wewe ushajihakikishia sio una mauhakika yote?

Basi sawa.

Hiyo ndiyo hoja ya msingi, sasa kama una ushahidi wa kukanusha tuhuma hizo, infact huo ndio ukweli wenyewe kwakuwa hata yeye mwenyewe anautambua kama alivyoandika kwenye blogu yake, basi lingekuwa jambo la busara ukatuwekea hapa kuthibitisha kuwa hakuhusika na kama hakufutiwa matokeo.
 
Hii CV ya January au february haitakusaidia, kubwa ni kuangalia hili taifa ya wanyonge tutalikwamua vipi kutoka miaongoni mwa madhalimu na kupata viongozi bora, ambayo wataleta maendeleo kwa watz wote, sio kwa familia zao na marafiki zao, tafakari na chukua hatua za masukudi kuhakikisha tunapiga hatua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom