Wasifu (CV) wa January Makamba

Wasifu (CV) wa January Makamba

Kweli JK kapaharibu Ikulu, yaani saivi kila mtu anajiona.anaweza kuwa raisi, sijui ni kwa vile hadi MATEJA wamealikwa pale..!??? Naomba tu msishtuke kuskia kesho nimekodisha Canter kutoka huku Kwa Gude nikawaambia naenda kuishi Magogoni..
 
Mmejikusanya na kuanza kujichekesha wenyewe tena. January hawapi raha ee.
 
==>> January Makamba like father like son...wote hovyo hovyo....

==>> F4 kafutiwa matokeo Div 0 kwa wizi wa exams Galanos...

==>> F6 Div 0 Forest hill...

===>> Na ukitaka kujua January ni KILAZA...has too
low IQ & EQ....he used to popularize himself kwa kuwanunua VIJANA WALIO KATIKA UONGOZI WA VIKUNDI fulani fulani...mfano...hao wa VYUO VIKUU OF
WHICH, nao bila aibu wameuzika .... so January hana kitu, sifa na sio intellectual wa kitu chochote zaidi ya KUSOMEA USULUHISHI WA MIGOGORO TU NJE OF WHICH sio issue...

==>> January hajijui....but he pretends to know kweli
kweli....& like anatumia akili kweli kweli KUHUSU DIFFERENT ISSUES....huyu MWEUPE KABISA ....

==>> URAIS labda wa nyumbani kwao...yeye na bumbuli yake....A DAY DREAM....

==>> January kila siku akiamka ANATAKIWA AMSHUKURU JK....hadi kufa....amwone Mungu wake wa pili..
 
Tatizo sio elimu,tatizo ni uzoefu.
Kwa muda ambao Ndg. JM ametumikia umma,
kamwe haumtoshelezi yeye kuwa rais wa JMT.

Kiukweli rais ajaye atatokana na mawazili wakuu
wastaafu,makamu wa rais aliopo/waliopita au
mawazili wanaohutubu ofisi nyeti za umma.
 
Hata kama atakua 40 na Tuhuma mbaya na kali kuliko hiz.Hii ni serious kuliko scandal ya kufoji umri.Kuiba mtihani halafu ufanye forgery na kuwa waziri wa sayansi na teknolojia inayohusu matumizi ya kompyuta?Yaani ukizungumzia makampuni ya microsoft huwezi kuvuka mipaka kujadili kwa uhuru bila ruhusa ya huyo mwenye tuhuma za wizi wa mitihani ambazo hajawahi kuwa courageous enough kuzijibu.Tunaongelea wizi kwenye ATM,Kondomu feki kutoka nje,matumizi mabaya ya mitandao,JF kufungiwa pasipo sababu,Kuvusha mihadarati kwa njia za kijasusi huko Airport. Bado tuna ujasiri wa kuwa na waziri mwenye tuhuma za kuiba mitihani bila majibu?Worse Enough,Rais ajaye?Please!

ina sikitisha. tukiwa na rais kama huyu
tutakuwa tuna tengeneza taifa la wendawazimu.
 
Yaani kuwa secretary wa rais tu na yeye anataka kuwa rais.jimbo lenyewe limemshinda analiongoza kwa twiter nchi si ataiongoza kwa instagram!
 
Nilijua wezi na wajinga ndo walivyo, eti urais January jamani??? mi wale wanavyuo niliwaita Malaya Fulani tu, hata kama JK amefanya kila mTZ aone anaweza kuwa rais, hata na wewe January??? shame on you JM

umenena vyema sana. JK kaiharib heshima ya urais sasa kila mtu anadhan anaweza kuwa rais. nashangaa na najisikia aibu wanaposema january makamba anataka kugombea. ni aibu hata kupinga nabak natizama tu.mbona watanzania mmekuwa so cheap kias hiki?
 
Bora nishindwe kujua kutumia capital letters na small letters ninapotumia smart phone ambapo waziri wa sayansi na teknolojia(smartphone) anahusika kuliko kuwa waziri ambaye ni kikwazo kwa wadogo zangu walioniona nikikwepa taaluma ya IT chuo kikuu.
Sasa unailaumu simu kwa kushindwa kujua wapi kutumia capital letters na small letters na punctuation? Ulikuwa uamuzi mzuri kukwepa taaluma ya IT kwani huko kuna kitu kinaitwa "syntax" na "logic" errors. Kwa kushindwa kujua simple syntax za lugha ya Kiswahili na Kiengereza basi ni wazi hizo lugha za Java, C, na C++ ungelamba mchanga. Achilia mbali "logic" maana huko ndiyo "kwangu pakavu" kabisa.
 
Yaani kuwa secretary wa rais tu na yeye anataka kuwa rais.jimbo lenyewe limemshinda analiongoza kwa twiter nchi si ataiongoza kwa instagram!

aisee bora ushangae wewe DogoJanja. ni wazi urais unao ongelewa hapa ni wa twitter. hivi january ana sifa gani ya kuwa rais wa watu? Hivi january ameifanyia nini cha maana wizara yake.

MBONA HATA HUO UWAZURI HANA SIFA SEMA AMASHUKURU JK.
 
Last edited by a moderator:
kweli jk kapaharibu ikulu, yaani saivi kila mtu anajiona.anaweza kuwa raisi, sijui ni kwa vile hadi mateja wamealikwa pale..!??? Naomba tu msishtuke kuskia kesho nimekodisha canter kutoka huku kwa gude nikawaambia naenda kuishi magogoni..

jirani utanipitia na mwenzio mi nipo hapo lumo sheli.
 
Watu wanapiga makelele tu humu wakati mwenzao anakula maisha tu. Kuna mimtu mijinga sana duniani.
 
Sasa unailaumu simu kwa kushindwa kujua wapi kutumia capital letters na small letters na punctuation? Ulikuwa uamuzi mzuri kukwepa taaluma ya IT kwani huko kuna kitu kinaitwa "syntax" na "logic" errors. Kwa kushindwa kujua simple syntax za lugha ya Kiswahili na Kiengereza basi ni wazi hizo lugha za Java, C, na C++ ungelamba mchanga. Achilia mbali "logic" maana huko ndiyo "kwangu pakavu" kabisa. 111sadsfadf
Unaongelea Java,C,C++ na "Syntax".I was a young boy.Nilijifunza hiyo 2002 Baada ya kumaliza kidato cha nne tu ambacho Huyo waziri wa C,C++, Java na "Syntax" alituhumiwa kuiba mitihani na leo unataka awe Rais.Kwanza mpe shule.Hizo ni computer language.Very basic.Sidhani kama ana ufahamu kwa mazingira ya tuhuma hizo.He looks like a clueless minister!Disguisting,anyways !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom