Wasifu (CV) wa January Makamba

Wasifu (CV) wa January Makamba

nadhani hapo ni issue ya watanzania wote tu... ndio wengine tunajipachika madigirii ya heshima hadi yanatushinda kutemba nayo... hatupendi kukosoana, tunapenda kushadadiana tu

Wakisikia Neno Tasnifu(Thesis) wanaanguka ghafla,qanapoteza kumbukumbu.Vitabu baba mkwe(Rafiki yangu Michael Dalali alinipa rejeo murua hapa,wasijenge chuki).
 
m 23(Salia),

CV yangu ni Madame B tena?Hebu tuache,usituchimbe

Rejea CV niliyotaja kwa ufupi.CV ya Mbowe na Slaa imetajwa.Najua nimekuumiza.Pole Salia.Be strong!Ila waeleze wenzio ukweli,acha ushabiki na ulaghai kaka

mkuu huyo jamaa anakuogopa sana,anasoma coment zako akitetemeka,i believe kapita pembeni tu kwa bahati mbaya akaiona Madame
 
Last edited by a moderator:
Kwa kuusoma uzi huu,nabaki NACHEKA SANA,,,,,,WATU WA HUMU KAMA NINGEBAHATIKA KUWAONA KWA SURA NA THE WAY WANAVYOCHANGIA,WALLAH NINGEECHEKA ZAID YA HAPA.
POLE MWEZI WA 1 MAROPE
 
Kwa kuwa January Makamba alipata zero wakati alikuwa hafukuzwi fukuzwi ada wala kukosa pocket money basi hafai kuwa Rais kwani siyo mfano wa kuigwa. Sioni hata mantiki ya kumjadili, ngoja nilale kwa uchovu wa kufukuzana na policcm wanaomlinda Henry Matata!
 
Jitu ambalo halijui wapi kutumia capital letters na small letters wala matumizi ya punctuation vizuri basi ni wazi hana jipya zaidi ya kujisifia. Hivi wewe kweli unaweza kujilinginasha na January Makamba?

Bora nishindwe kujua kutumia capital letters na small letters ninapotumia smart phone ambapo waziri wa sayansi na teknolojia(smartphone) anahusika kuliko kuwa waziri ambaye ni kikwazo kwa wadogo zangu walioniona nikikwepa taaluma ya IT chuo kikuu.
 
Makamba senior ilibidi agalegale na kujiviringisha kila kona ya ikulu kulamba miguu ya KIkwete ampe uwaziri kwa heshima ya kupelekwa kwa maji marefu January akawa waziri huyu ndio awe raisi wa bumbuli labda
Sahihisho: Siyo Maji Marefu, Makamba Mkubwa (Yusufu) alimuunganisha JK kwa Mohamed Mbega, huyo Mbega ni sangoma gwiji huko Bumbuli na hivi sasa anaingia magogoni kama chumbani kwake.
 
1:Ni bora upate zero kuliko kuiba mitihani kisha upewe uwaziri wa sayansi na teknolojia unaohitaji vipaji na ubunifu kuliko kuiba mitihani huku tukijua ubunifu wa vibaka hauhitajiki katika jamii iluyostaarabika.Sasa tuachane na vita ya kupambana na vibaka!

2:CV ya Mbowe iko wazi kitaaluma.Mgombea urais aliyeruhusiwa kisheria 2005.

Dr.Slaa?Just be honest to yourself.

3:CV yangu iulize jamhuri ya muungano wa Tanzania iliyonisomesha nje.Viulize vyuo vya Allahavad,Annamalai na Glasgow University-Scotland.Kisha iulize jamii.Kisha Rudi majukwa yote ya JF kuanzia Siasa,International Forum,Chit Chat(Usimtamani Madame B),MMU,Business,Lugha,Sheria,Jf doctor na Intelligence Forum.Nje ya JF nenda Nairaland ya Nigeria,Ghana,The Planet na Political Forum ya USA.Jukwaa Kenya na Mashada ambayo imepumzika kisha turudi kwenye harakati za mabaraza ya katiba badala ya kuendelea kufuatilia other forums.Tulia tuli tuli.

mkuu upo vizuri kweli, wakina nape na J makamba sio saizi yako.
 
Last edited by a moderator:
Nahisi kwa TZ, tunataka kufikia hatua ambayo mtu akiwa na blackbery na kuweza kuitumia, akawa na fesibuku account na twira account, basi anaonekana mtaalamu wa IT wa kimataifa. Anakabidhiwa nchi, khah uongozi sio kupost matukio twira na fesibuku.

huyu january labda agombee urais wa twitter. hivi amefanya nini kwenye nchi hii?.
 
Januari hajasogelea miaka 40. Ya nin tuendelea kupoteza muda tukimjadili?
 
Pamoja na kwamba simkubali Zitto kwa sababu ya mambo yake ya ajabu ajabu ila kumlinganisha na J. Makamba ni dhihaka iliyopita kipimo. Shingo ya Makamba imebeba empty box
 
Januari hajasogelea miaka 40. Ya nin tuendelea kupoteza muda tukimjadili kwenye urais? Waacheni watoto wa vyuo ambao bado pua zimening'iza makamasi na macho yana tongotongo wajadili suala hili la makamba kuwa rais
 
We jamaa unaakili sana sema unapenda ushabiki sana kwenye siasa pamoja na hayo sikuamini sana unaweza ukawa ni spy

aspen,

Doubt everything,Doubt everybody.You are smart!
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyu january kwanza atuambie amefanya nini kwenye wizara aliyo pewa?

Huyu january hajui anaongea nini. Agombee urais wa twitter ndio unamfaha.
 
ingekuwa uongozi ni digrii nyingi Mbowe angemuachia Zitto akawa mwenyekiti
 
Last edited by a moderator:
This Forum seems to have officially been converted into a gossiping place. What's worse, those are supposed to preserve its reputation appear to either be fast asleep or are themseleves part of the campaign to destruct what was once the most credible and respectable site.
January Makamba didn't score Division 0 in his A-level final exams as the person who made this post attempts to make us believe. The truth is that he scored an impressive Division 1, with his headmaster decribing him as one of the most talented students his school had ever had. He even presented him with the job of teaching Geography at the school during the gap year, but January reportedly turned the offer down because he wanted to work at refugee camps.
It's hard to see what might have motivated anyone to post an information as maliciously wrong as this one. But it also raises concerns that moderators are doing nothing about it.

Muone utazani uli kuwepo!. Mbona mnapenda kuwa watutwa wa fikra?..
 
Januari hajasogelea miaka 40. Ya nin tuendelea kupoteza muda tukimjadili kwenye urais? Waacheni watoto wa vyuo ambao bado pua zimening'iza makamasi na macho yana tongotongo wajadili suala hili la makamba kuwa rais

Hata kama atakua 40 na Tuhuma mbaya na kali kuliko hiz.Hii ni serious kuliko scandal ya kufoji umri.Kuiba mtihani halafu ufanye forgery na kuwa waziri wa sayansi na teknolojia inayohusu matumizi ya kompyuta?Yaani ukizungumzia makampuni ya microsoft huwezi kuvuka mipaka kujadili kwa uhuru bila ruhusa ya huyo mwenye tuhuma za wizi wa mitihani ambazo hajawahi kuwa courageous enough kuzijibu.Tunaongelea wizi kwenye ATM,Kondomu feki kutoka nje,matumizi mabaya ya mitandao,JF kufungiwa pasipo sababu,bibi na babu zetu vijijini kulipia kodi ya laini za simu kwa huduma za kubip.tu.kutokana na ulaghai wa mtu mwenye tuhuma za kuiba mitihani ,Kuvusha mihadarati kwa njia za kijasusi huko Airport. Bado tuna ujasiri wa kuwa na waziri mwenye tuhuma za kuiba mitihani bila majibu?Worse Enough,Rais ajaye?Please!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom