chikakatata
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 220
- 98
Hivi unaanzaje kumfagilia mtu ambaye ktk uongozi ht miaka 5 hajafika..kwa kifupi na muona wakawaida..sijui ni lipi kafanya la ajabu mpk ashawishi hao vijana hivyo..yale yale kumfagilia kikwete enzi hizo kumbe kazi hawezi
wapo vijana wengi wanaotamani Urais ila katika hawa bora hata Kigwangala aliyesema hatowatendea haki watanzania kuutaka Urais sasa wakati ndo kwanza ameingia kwenye uongozi wa kitaifa sasa hivi na hata hawajaona utendaji wake. amesema yeye anasubiri kwanza akusanye uzoefu mpaka 2025 ndipo atake kuwa rais. walau huyu ana-make sense! January hana hata cv ya uongozi zaidi ya kuwa mbeba begi la rais maana hata hizo hotuba hakuwahi kuandika walikuwepo waandishi