Mheshimiwa Januari Makamba bado mchanga mno kwenye siasa, huwezi hata kumfikiria kwa nafasi ya uwaziri, SEMBUSE URAISI, MSIFANYE MCHEZO JAMANI NA NAFASI YA URAISI, huo unaibu waziri amepewa kwa majaribio lakini bado unaonekana kumshinda, ukitaka kujua kama bado hajakomaa kisiasa fuatilia suala dogo tu la sakata la kodi ya laini za simu ambavyo alianza kujihami kwenye mitandao ya kijamii kuonyesha kwamba hakuwa ameuafiki uamuzi wa Bunge wa kupitisha kodi ya laini za simu, yeye kama sehemu ya serikali hakutakiwa kukimbilia kwenye mitandao ya kijamii kuanza kujitetea kwa wananchi kwamba yeye ni msafi ila hao waliopitisha ile kodi ndio ambao hawawatakii mema wananchi, alitakiwa apambane na hilo suala humo humo ndani ya serikali bila kutuonyesha sisi wananchi kwamba yeye ndio mzuri na wengine ndio wabaya, hizo alizoonyesha ni siasa za kinafiki, mbali na hivyo alienda mbali zaidi na kuanzisha malumbano ya mipasho na Mheshimiwa John Mnyika, hilo lilikuwa ni suala la kipumbavu sana kufanywa na mtu kama yeye, Naibu Waziri unaanzisha malumbano ya mipasho, THAT WAS A VERY STUPID THING TO DO.