Wasifu (CV) wa January Makamba

Wasifu (CV) wa January Makamba

tuhuma kama hizi ni serious.mtu anapaswa kuzijibu once and for all.tuhuma hizi zinaathiri jamii ambayo mwishowe itaona udanganyifu katika taaluma ni jambo la kawaida

jibu za sumu kwanza we muuaji na gaidi
 
achana na porojo. tuhuma tuhuma tuhuma! tumechoka. toka jana wimbo ni huohuo! acha wivu ben wa kike ben. makamba ni habari nyingine. yule kijana Mungu amemruzuku! uwezo wake ni mkubwa. namkubali zitto lakini makamba is more smarter.... ubongo unafanya kazi. ni bingwa wa kutafakari kabla hajaongea. ametulia. uwezo wa kupindukia wa kuongea kiswahili na kiingereza, mwana maendeleo jimboni kwake. akigombea, nitamuunga mkono kuwa rais wa TZ.

Lakini akaishia kuwatoza kodi bibi na babu zetu kupitia laini ya simu wanazotumia kubip wakiwa vijijini.Ndiyo shukrani ya mjukuu aliyeenda shule kwa bibi/babu hiyo?Huku akiwa mwenyekiti wa kamati ya Nishati na Madini akishindwa ku-influence policy change na madini yakaendelea kutoroshwa na wageni bila kodi sasa anawaadhibu masikini kwa kuwatoza kodi ya laini ya simu.

Pia kuulizia ukweli juu ya tuhuma za udanganyifu kumbe ni wivu wa kike?Waombe radhi wanawake kwa kauli hii ya kijinga kabisa.Muheshimu hata mama yako mzazi kaka.Hii kauli haifai na uache kuiga kauli za ovyo
 
kumbe we dogo mpuuz sana umesomeshwa na ccm leo unanyea kambi na kupinga kila kitu,et unajua kuliko waliokupeleka shule mtoto wa maskin ww

Serikali iliyokua inakusanya kodi ilitakiwa ifanye zaidi ya hayo.Wazazi wangu na watanzania walikua wakitozwa kodi.Ilikua haki yangu na watanzania wengine walionyimwa haki hiyo.Haijawahi kuwa hisani,it was my right.
 
Niliiona hii.Sijui kwanini mtu asije na ID yake tu hapa badala ya kutumia ID yake fake.Mapovu yote aliyotoa kwa ID nyingine nimemwambia hayatamsaidia.
Uhuni huu wa kwenye mitandao anadhani anauweza sana.

Waziri wa sayansi na teknolojia. ! ! !

CC: makambajr , Selemani , january

CC: njiwa, Radhia Sweety- Kwa mrejesho tu

Naona umekuwa mpiga ramli sasa. Daah. Umeanza na kuzusha January Makamba kaiba mitihani ya Form 4.

Halafu sasa hivi unasema mimi ndio January Makamba. All these based on your 'gut feelings?'

Kazi ipo nchi hii.
 
Serikali iliyokua inakusanya kodi ilitakiwa ifanye zaidi ya hayo.Wazazi wangu na watanzania walikua wakitozwa kodi.Ilikua haki yangu na watanzania wengine walionyimwa haki hiyo.Haijawahi kuwa hisani,it was my right.

Daah. Kuna raia wana vichwa vigumu.

Basi sawa.

Tufanye kwamba ni kweli 1)January Makamba aliiba pepa la form 4, halafu akapata zero F6 kama unavyodai, unashauri wewe nini kifanyike kwenda mbele.
 
Ben,

Mbona unaruka ruka? hujui unachotaka katika mjadala huu? mara form four, mara sim card, sasa shahada! Tena katika kuonesha kukosea kwa January kuchagua kozi umewatukana wote waliosomea utatutizi wa migogoro kama watu wasio na akili timamu. Brother, be consistent, kama una issues personal na JM be clear, naona huna issue yoyote ya maana juu yake ndio maana unapoteza muda with these petty claims.

Unaongelea petty claim yaani tuhuma za wizi wa mitihani kwa taifa ambalo juzi tu limepata fedheha kwa matokeo mabovu na kushuka kwa sekta ya elimu?Yaani Waziri aliyeiba mitihani unategemea akae au amshauri rais kuhusu sekta ya elimu?

Yaani crisis hii ya wanafunzi wengi kukimbia masomo ya sayansi unaona kuwa ni jambo la kheri kuwa na waziri wa sayansi na teknolojia anayetuhumiwa kufanya udanganyifu kidato cha kisha akaja kuwa waziri?Role model

Ni petty claim kuwa aliyeweza kufanya udanganyifu kidato cha nne anawezaje kuaminika akiwa karibu na hazina baadae?

Ni petty claim kuwa hatuwezi kujenga taifa adilifu kwa kuhalalisha udanganyifu katika taaluma na ujuzi wetu?

Then i dont know what's wrong with this country and Africa by extension
 
Daah. Kuna raia wana vichwa vigumu.

Basi sawa.

Tufanye kwamba ni kweli 1)January Makamba aliiba pepa la form 4, halafu akapata zero F6 kama unavyodai, unashauri wewe nini kifanyike kwenda mbele.

Wewe ndiyo mwenye kichwa kigumu kama hautaweza kuonyesha ni wapi nilikosema alipata 0 Form Six.

Hoja yangu ni tuhuma za udanganyifu kidato cha nne ambazo alishindwa kuzitolea ufafanuzi..Ilikuaje afanye mitihani tena kwa Negligence iliyofanywa na NECTA if that is the case?
 
Unaongelea petty claim yaani tuhuma za wizi wa mitihani kwa taifa ambalo juzi tu limepata fedheha kwa matokeo mabovu na kushuka kwa sekta ya elimu?Yaani Waziri aliyeiba mitihani unategemea akae au amshauri rais kuhusu sekta ya elimu?

Yaani crisis hii ya wanafunzi wengi kukimbia masomo ya sayansi unaona kuwa ni jambo la kheri kuwa na waziri wa sayansi na teknolojia anayetuhumiwa kufanya udanganyifu kidato cha kisha akaja kuwa waziri?Role model

Ni petty claim kuwa aliyeweza kufanya udanganyifu kidato cha nne anawezaje kuaminika akiwa karibu na hazina baadae?

Ni petty claim kuwa hatuwezi kujenga taifa adilifu kwa kuhalalisha udanganyifu katika taaluma na ujuzi wetu?

Then i dont know what's wrong with this country and Africa by extension

Ushauri wa bure bwana mdogo. Andika kwa kutumia lugha ambayo upo comfortable nayo. Ni rahisi kwa sisi tunaosoma mabandiko yako kukuelewa. Na vile vile unaweza ku-mask ukilaza wako.

Last edited by a moderator:
1:Ni bora upate zero kuliko kuiba mitihani kisha upewe uwaziri wa sayansi na teknolojia unaohitaji vipaji na ubunifu kuliko kuiba mitihani huku tukijua ubunifu wa vibaka hauhitajiki katika jamii iluyostaarabika.Sasa tuachane na vita ya kupambana na vibaka!

2:CV ya Mbowe iko wazi kitaaluma.Mgombea urais aliyeruhusiwa kisheria 2005.

Dr.Slaa?Just be honest to yourself.

3:CV yangu iulize jamhuri ya muungano wa Tanzania iliyonisomesha nje.Viulize vyuo vya Allahavad,Annamalai na Glasgow University-Scotland.Kisha iulize jamii.Kisha Rudi majukwa yote ya JF kuanzia Siasa,International Forum,Chit Chat(Usimtamani Madame B),MMU,Business,Lugha,Sheria,Jf doctor na Intelligence Forum.Nje ya JF nenda Nairaland ya Nigeria,Ghana,The Planet na Political Forum ya USA.Jukwaa Kenya na Mashada ambayo imepumzika kisha turudi kwenye harakati za mabaraza ya katiba badala ya kuendelea kufuatilia other forums.Tulia tuli tuli.

(We jamaa unaakili sana sema unapenda ushabiki sana kwenye siasa pamoja na hayo sikuamini sana unaweza ukawa ni spy)
Ni kweli huyu jamaa Ben Saa8 namkubali sana majibu yake huwa yameenda shule, lakini hilo la kutomuamini na uspy mi simo, namkubali 100%, kenda shule vizuri huyu kijana!
 
Unaongelea petty claim yaani tuhuma za wizi wa mitihani kwa taifa ambalo juzi tu limepata fedheha kwa matokeo mabovu na kushuka kwa sekta ya elimu?Yaani Waziri aliyeiba mitihani unategemea akae au amshauri rais kuhusu sekta ya elimu?

Yaani crisis hii ya wanafunzi wengi kukimbia masomo ya sayansi unaona kuwa ni jambo la kheri kuwa na waziri wa sayansi na teknolojia anayetuhumiwa kufanya udanganyifu kidato cha kisha akaja kuwa waziri?Role model

Ni petty claim kuwa aliyeweza kufanya udanganyifu kidato cha nne anawezaje kuaminika akiwa karibu na hazina baadae?

Ni petty claim kuwa hatuwezi kujenga taifa adilifu kwa kuhalalisha udanganyifu katika taaluma na ujuzi wetu?

Then i dont know what's wrong with this country and Africa by extension

Ben,

Wewe ulituhumiwa kutembea na sumu (sijui ni ya panya au ipi), unadhani tuhuma hizi za mitaani kuhusu form four ni serious kuliko hiyo? Wewe unakosa sifa ya kuwa kiongozi kwa sababu mtu aliamka asubuhi na hangover za kwenye send off na kujisemea kwamba Ben alitaka kumdhuru fulani? Kama ulitaka kuelimika ungeshaelimika maana wachangiaji humu kama Ridhiasweety na Selemani wamesema vya kutosha.
 
Haya bwana asingekuwa mh. Makamba snr ungefika hapo? Mshukuru sana baba yako mzazi. Amekusaidia sana mpaka ulipofika. Ushauri, kwa vile umesaidiwa na mzee wako wewe saidia wasio ndugu ili kupunguza kujuana juana serikalini.
 
Ben,

Wewe ulituhumiwa kutembea na sumu (sijui ni ya panya au ipi), unadhani tuhuma hizi za mitaani kuhusu form four ni serious kuliko hiyo? Wewe unakosa sifa ya kuwa kiongozi kwa sababu mtu aliamka asubuhi na hangover za kwenye send off na kujisemea kwamba Ben alitaka kumdhuru fulani? Kama ulitaka kuelimika ungeshaelimika maana wachangiaji humu kama Ridhiasweety na Selemani wamesema vya kutosha.

Hizo tuhuma nilizijibu.Sasa iweje hutaki yeye ajibu tuhuma hizo?
 
Ushauri wa bure bwana mdogo. Andika kwa kutumia lugha ambayo upo comfortable nayo. Ni rahisi kwa sisi tunaosoma mabandiko yako kukuelewa. Na vile vile unaweza ku-mask ukilaza wako.

Hakuna ukilaza wenye madhara kama kuacha madini yatoroshwe na wageni halafu deficit ijazwe kwa kuwalipisha kodi ya laini za simu maskini wa vijijini.Hiyo sio smartness!
 
Last edited by a moderator:
Hakuna ukilaza wenye madhara kama kuacha madini yatoroshwe na wageni halafu deficit ijazwe kwa kuwalipisha kodi ya laini za simu maskini wa vijijini.Hiyo sio smartness!

Unajua ukibishana na wanawake huwa wanaingiza mambo ambayo hata hayahusiani na ugomvi wenu wa sasa. Kwa mfano, unaweza kuwa umemuudhi mke wako kwa kulala nje ya nyumba, katika ule ugomvi, pia atakumbushia pia na lile kosa la mwaka juzi la kutompa mtaji wa M-PESA mdogo wake. Hizo ndio hulka zao, lengo lao ni kukutia hasira na wanabishana na emotions sana. Hawaweki logic wala rationality.

Bwana mdogo wewe ni mtoto wa kiume (Ingawa unatutia shaka jinsi unavyoingiza hoja zisizohusika). Tunaongelea ishu ya mitihani ya F4, tulimalize hili kwanza kabla hatujaenda kwenye madini au sim card.
 
Nitarudi katika uzi huu MAY 2015
"Vox popoli vox dei"
 
Watu wengine wanatetea ukanjanja wa huyu jamaa bila kujua madhara yake kwa taifa kwa ujumla kulingana na nafasi yake kwa sasa
 
Unajua ukibishana na wanawake huwa wanaingiza mambo ambayo hata hayahusiani na ugomvi wenu wa sasa. Kwa mfano, unaweza kuwa umemuudhi mke wako kwa kulala nje ya nyumba, katika ule ugomvi, pia atakumbushia pia na lile kosa la mwaka juzi la kutompa mtaji wa M-PESA mdogo wake. Hizo ndio hulka zao, lengo lao ni kukutia hasira na wanabishana na emotions sana. Hawaweki logic wala rationality.

Bwana mdogo wewe ni mtoto wa kiume (Ingawa unatutia shaka jinsi unavyoingiza hoja zisizohusika). Tunaongelea ishu ya mitihani ya F4, tulimalize hili kwanza kabla hatujaenda kwenye madini au sim card.

Ingia kwa ID yako real ili nikujibu hili ipasavyo tena bila kumung'unya maneno.Unajua sitishwi

By the way si umeshasema umefunga mjadala?Wanaume husimamia kauli zao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom