Wasichokijua Wengi Kuhusu Marko 10: 25 katika Biblia

Hiki siyo Kilatini mkuu, ni Kispaniola
 
Umezungumza in general sana! Twende straight kwenye kifungu tajwa, whats your opinion?
 
Umeeleza vizuri mkuu, but ukija kwenye relevance, ipi unaona inamake sense zaidi kati ya ngamia mnyama na 'tundu la sindano' au ngamia kamba na 'tundu la sindano' though maana bado inabaki kuwa ileile!
 
Kiswahili kina umaskini mkubwa wa misamiati!
 
Hakuna anayebisha katika hilo mkuu, tunawekana sawa tu katika tafsiri halisi, siyo maana nzima
 
Mbona tafsiri haielezei kuwa ni kamba? Umeandika apparatus, sasa tafsiri ya kamba umeitolea wapi?
 
Kilichoandikwa katika biblia, wala hakihitaji tafakari ya wasomi. Ngamia ni ngamia na ni mnyama. Tundu la sindano ni tundu la sindano hakuna fumbo hapo.
 
Na kuna wengine wajua ile sindano ya kuingiza dawa mwilini...

Anyway.

Ila huu msemo mbona kama unatuvunja nguvu sisi ambao tunataka tutoboe kotekote duniani na mbinguni.....au naongopa?
 
Na kuna wengine wajua ile sindano ya kuingiza dawa mwilini...

Anyway.

Ila huu msemo mbona kama unatuvunja nguvu sisi ambao tunataka tutoboe kotekote duniani na mbinguni.....au naongopa?
Mungu ni kama Kanuni(Formula), Ukiipata dunia na kuipenda (utajiri na sifa za kidunia) basi unakosa mbingu, maana wewe ni wa dunia. Lakini ukiikosa dunia hata kuichukia( Shida na maangaiko mengi) na ukamjua kidogo Mungu na Masia wake ,basi unaipata mbingu. Chagua ni lako.
 
Vipi wale walioipata dunia na kuipenda dunia na mbingu...na kisha wakamjua Mungu na mitume wake
 
Vipi wale walioipata dunia na kuipenda dunia na mbingu...na kisha wakamjua Mungu na mitume wake
Hakuna hao watu duniani hapa, (Uwezi kutumikia mabwana wawili). Matajiri hawawezi kuiteka Mbingu, b'coz , fedha zao ukamilisha tamaa zao zote ziwajiazo. Na kila wakifanyacho duniani, kina mapungufu mengi ya Ki-Mungu, bali kimejaa heshima na tabia za Kidunia. Matajiri wanaonekana kama wacha Mungu na wafadhiri wa watu wa Mungu, lakini ukiwa na hekima ya Mungu, utajua wanaikana nguvu ya Mungu na wanakufanya wewe unaowaona au unaesaidiwa na wao kuwa mtumwa wa hao matajiri kifikra na kimaisha( Wanaiba sifa ya Mungu kuwa tegemeo na kuichukua wao Matajiri bila kukuwambia)
 
Hapa hata mimi hii tafsiri inaleta maana angalau. Lakini ukisema ngamia ni kamba/nanga inakosa logic kwa sababu sio tu kwamba sio rahisi kwa hiyo kamba kupita tundu la sindano lakini pia HAIWEZEKANI.

Sasa huwezi kusema kitu kitakuwa rahisi kufanyika wakati kimsingi hakiwezekani. Unaposema kitu ni rahisi kufanyika manake kinawezekana kufanyika ila kuna ugumu fulani. Kwa swala la tundu la sindano na kamba/nanga ni kitu kisichowezekana.

Kwa hivyo tafsiri iliangalia muktadha huo na wala haikukosewa ila sisi ndo tunaleta tafsiri zetu kwa kuangalia muktadha wetu
 
Mkuu uko sahihi sio yawezekana ndo maana yake hiyo uliyoandika
 
I stand to be corrected


Correction ni kwamba; Ngamia aliyetajwa na Yesu kwenye huo mfano ni ngamia mnyama wala sio kamba.

Cha msingi hapo ni kushika fundisho hilo kwa mfano na sio kwa dhahiri.

Ngamia kupita kwenye tundu la sindano ni msemo wa kale sana huko mashariki ya kati, yaani ni moja kati ya misemo iliyozoeleka katika jamii ya "Semites" katika maeneo hayo ambapo ngamia ni moja ya mnyama maarufu sana.

Lugha kama hiyo pia inapatikana katika Qur'an, angalia:-

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…