Wasichokijua Wengi Kuhusu Marko 10: 25 katika Biblia

Le resulta más fácil a un camello pasar por el ojo de una aguja, que a un rico entrar en el reino de Dios.
Hiyo Ni fasiri ya kiratini ambayo cammello Ina stand Kama mnyama ngamia inamaana na fasiri ya kiratini bado inashaka? Kwa maoni yangu umeenda haraka Sana Yesu alimaanisha ngamia hata fasiri ya kigiriki haiendi tofauti na mtazamo
Hiki siyo Kilatini mkuu, ni Kispaniola
 
DON'T TRANSLATE BIBLE VERSE LIKE TEXT MSG ! THINK BIG,,,, THINK BEYOND HORIZON,,, HII NI MARKO JE INGEKUA UFUNUO INGEKUAJE?

Parables illustrate the invisible (spiritual) world by using analogies from the visible (natural) world. Scholars differ on the exact number of parables Jesus told en We know He used over 100 metaphors and told at least 36, parables 15 are found in Matthew, 6 occur in Mark (4 are repeats), and 35 appear in Luke (16 are repeats, 19 are unique). Why Jesus preached in parables:
Umezungumza in general sana! Twende straight kwenye kifungu tajwa, whats your opinion?
 
Summarization

Hoja ni tatu

1. Ngamia mnyama kupita kwenye tundu la sindano(sindano hapa inamaanisha kifaa). Hii ni hoja kongwe na iliyozoeleka mno. Kifupi hapa tunaona haiwezekan kabisa ngamia kupita kwenye hilo tundu.

2. Ngamia kama kamba kupita kwenye tundu la sindano kifaa. Hii ni tafsiri ambayo siyo maarufu sana. Hapa ngamia inamaanisha kamba ambayo ni nene na hutumika kuvitia meli iliyozama au kutia nanga. Pia hapa kimantiki ni ngumu kamba hiyo kupita kwenye matundu ya sindano nyingi tunazozifahamu.

3. Ngamia kama mnyama kupita kwenye mlango wa kuingia mji Jerusalem ambao kwao ulijulikana kama tundu la sindano. Kihistoria inaonyesha ni lango ambalo lilikuwa ni dogo kwa umbile lake hivyo ili kupitisha ngamia ilibidi alazimishwe sana kwa kuwa alikuwa hapiti amesimama na watu ndiyo walitumia nguvu kubwa zaidi kumpitisha. Hapa huenda yesu alitaka kututizamisha kuwa ni kwa unyekekevu wa hali ya juu kwa Mungu ndiyo kitu pekee kinachoweza kumuingiza tajiri mbinguni.
Umeeleza vizuri mkuu, but ukija kwenye relevance, ipi unaona inamake sense zaidi kati ya ngamia mnyama na 'tundu la sindano' au ngamia kamba na 'tundu la sindano' though maana bado inabaki kuwa ileile!
 
Lakini Waliozingua ni Waswahili kutaka kulazimisha neno hilo (NGAMIA) litafsiriwe kwa maana zilezile na zifanane na zile za neno lile la Kiingereza (CAMEL)

Binafsi hata neno FAST huwa nashangaa sana eti kuwa na maana ya FUNGA kwa maana zote mbili mbili kwa kila lugha kufanana... nahisi kuna kilicholazimishwa hapo
Kiswahili kina umaskini mkubwa wa misamiati!
 
Hivi ikiwa MUNGU alitaka tu kusema kwa uwezo wake kuwa ni rahisi kwa ngamia mnyama kupenya kwenye tundu la sindano (anajaribu kuonyesha ukuu wake ) hapo napo vipi? Alafu mawazo yetu siyo mawazo yake.. Bali kila neno lafaa kwa mafundisho, iwe ngamia mnyama, iwe kamba fresh tu kubwa kushika amri zake na kuzifuata
Hakuna anayebisha katika hilo mkuu, tunawekana sawa tu katika tafsiri halisi, siyo maana nzima
 
Katika kitabu kitakatifu cha Biblia, Marko 10: 25 inasema: Ni rahisi ngamia kupenya katika tundu ya sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.

Wanachokielewa wengi, wakiwemo baadhi ya watumishi wa Mungu, ni kwamba ngamia anayezungumziwa hapa ni yule mnyama mwenye nundu kubwa mgongoni, pengine hata wewe kwa miaka mingi umekuwa ukijua hivyo.

Hata hivyo, ngamia iliyomaanishwa hapa, ni kamba! Ndiyo, kamba! Zile kamba nene zinazotumika kuvuta kwa mfano meli iliyozama na kadhalika. Makosa ya tafsiri hii yanaanzia kwenye kufasiri kifungu hiki cha Biblia kutoka kwenye Kiingereza kuja kwenye Kiswahili. Kwa Kiingereza, Mark 10:25 inasomeka hivi: It is easier for a camel to go through the eye of a needle than for a rich person to enter the kingdom of God.

Ukichukua kamusi yako, angalia maana ya neno camel, ya kwanza utaona ni ngamia mnyama lakini kuna maana ya pili ambayo ni hii: Camel: An apparatus for raising a sunken ship, consisting of one or more watertight chests to provide buoyancy. Kwa tafsiri nyepesi, ni kamba nene zinazotumika kuvuta meli iliyozama...

Kwa commoni sense ya kawaida tu, ngamia mnyama anawezaje kufananishwa na kupenya kwenye tundu la sindano? Hakuna uhusiano wowote, lakini kuna uhusiano wa kamba nene kupenya kwenye tundu la sindano kwa sababu kamba nyembamba (uzi) unapenya kirahisi!

Kwa hiyo tunahitimisha kwa kusema, ngamia/camel inayomaanishwa kwenye bible ni kamba. I stand to be corrected!

View attachment 1651630
Mbona tafsiri haielezei kuwa ni kamba? Umeandika apparatus, sasa tafsiri ya kamba umeitolea wapi?
 
Kilichoandikwa katika biblia, wala hakihitaji tafakari ya wasomi. Ngamia ni ngamia na ni mnyama. Tundu la sindano ni tundu la sindano hakuna fumbo hapo.
 
Na kuna wengine wajua ile sindano ya kuingiza dawa mwilini...

Anyway.

Ila huu msemo mbona kama unatuvunja nguvu sisi ambao tunataka tutoboe kotekote duniani na mbinguni.....au naongopa?
 
Na kuna wengine wajua ile sindano ya kuingiza dawa mwilini...

Anyway.

Ila huu msemo mbona kama unatuvunja nguvu sisi ambao tunataka tutoboe kotekote duniani na mbinguni.....au naongopa?
Mungu ni kama Kanuni(Formula), Ukiipata dunia na kuipenda (utajiri na sifa za kidunia) basi unakosa mbingu, maana wewe ni wa dunia. Lakini ukiikosa dunia hata kuichukia( Shida na maangaiko mengi) na ukamjua kidogo Mungu na Masia wake ,basi unaipata mbingu. Chagua ni lako.
 
Mungu ni kama Kanuni(Formula), Ukiipata dunia na kuipenda (utajiri na sifa za kidunia) basi unakosa mbingu, maana wewe ni wa dunia. Lakini ukiikosa dunia hata kuichukia( Shida na maangaiko mengi) na ukamjua kidogo Mungu na Masia wake ,basi unaipata mbingu. Chagua ni lako.
Vipi wale walioipata dunia na kuipenda dunia na mbingu...na kisha wakamjua Mungu na mitume wake
 
Vipi wale walioipata dunia na kuipenda dunia na mbingu...na kisha wakamjua Mungu na mitume wake
Hakuna hao watu duniani hapa, (Uwezi kutumikia mabwana wawili). Matajiri hawawezi kuiteka Mbingu, b'coz , fedha zao ukamilisha tamaa zao zote ziwajiazo. Na kila wakifanyacho duniani, kina mapungufu mengi ya Ki-Mungu, bali kimejaa heshima na tabia za Kidunia. Matajiri wanaonekana kama wacha Mungu na wafadhiri wa watu wa Mungu, lakini ukiwa na hekima ya Mungu, utajua wanaikana nguvu ya Mungu na wanakufanya wewe unaowaona au unaesaidiwa na wao kuwa mtumwa wa hao matajiri kifikra na kimaisha( Wanaiba sifa ya Mungu kuwa tegemeo na kuichukua wao Matajiri bila kukuwambia)
 
Hii inaleta sense!
Binadamu kujinyenyekeza (humbleness), kama ngamia anavyopita ktk mlango mdogo (eye of the needle) wa ukuta wa Yerusalemu. Ngamia huondolewa mzigo mgongoni mwake na kukunja miguu yake (kupigishwa magoti) ili aweze kupita katika mlango huu mdogo wakati wa usiku. Ni rahisi ngamia huyu kupita ktk mlango huu mdogo na kuingia ktk mji wa Yerusalemu au ni rahisi ngamia kupita katikati ya miti miwili inayobana ili aweze kusafishwa uchafu ulio ktk ngozi yake.
Kumbe metaphor hii ni kwa ajili yetu sisi binadamu. Kama tunaweza kujishusha na kupitia mlango mdogo/njia nyembamba baada ya kushusha mizigo yetu ( viburi, majivuno, husda, visasi, wizi, uzinzi ...), tunaweza kuingia ktk Yerusalemu mpya.
If we humble ourselves and pray on our knees, we can approach the kingdom of heaven.
Hapa hata mimi hii tafsiri inaleta maana angalau. Lakini ukisema ngamia ni kamba/nanga inakosa logic kwa sababu sio tu kwamba sio rahisi kwa hiyo kamba kupita tundu la sindano lakini pia HAIWEZEKANI.

Sasa huwezi kusema kitu kitakuwa rahisi kufanyika wakati kimsingi hakiwezekani. Unaposema kitu ni rahisi kufanyika manake kinawezekana kufanyika ila kuna ugumu fulani. Kwa swala la tundu la sindano na kamba/nanga ni kitu kisichowezekana.

Kwa hivyo tafsiri iliangalia muktadha huo na wala haikukosewa ila sisi ndo tunaleta tafsiri zetu kwa kuangalia muktadha wetu
 
Mkuu, yawezekana "tundu la sindano" ikawa ni metaphor tu ikimaanisha lango dogo katika mji wa Yerusalemu.
Kwamba malango mengine makubwa ktk mji huu yalifungwa wakati wa usiku na hili lango dogo lilifunguliwa kwa sababu za kiusalama na wale waliochekewa kuingia maskani walipia mlango huu.
Aidha wanyama kama ngamia kunako late hours walipitishwa ktk mlango mdogo lakini kwa kupunguziwa mzigo waliobeba na kuwa push kwa nguvu ili wapite pale. Iliwezekana ngamia kupita ktk mlango mdogo (tundu la sindano).
Hapa maneno 'tundu la sindano' yametumika kama hyperbole.
Mkuu uko sahihi sio yawezekana ndo maana yake hiyo uliyoandika
 
I stand to be corrected


Correction ni kwamba; Ngamia aliyetajwa na Yesu kwenye huo mfano ni ngamia mnyama wala sio kamba.

Cha msingi hapo ni kushika fundisho hilo kwa mfano na sio kwa dhahiri.

Ngamia kupita kwenye tundu la sindano ni msemo wa kale sana huko mashariki ya kati, yaani ni moja kati ya misemo iliyozoeleka katika jamii ya "Semites" katika maeneo hayo ambapo ngamia ni moja ya mnyama maarufu sana.

Lugha kama hiyo pia inapatikana katika Qur'an, angalia:-

Screenshot_20201226-110422.png
 
Back
Top Bottom