Bado nina mashaka kuhusu kitabu hiki cha Biblia

PharaohMtakatifu

JF-Expert Member
Jul 3, 2023
659
1,074
Amani ya Bwana iwe Nanyi!

Nimezaliwa katika familia ya kikatoriki nikitimiza yote mafundisho ya Imani &dhehebu langu kama ubatizo komnyo,kipaimara na Ndoa.

Pamoja na hayo yote nilitaka kujifunza zaidi kwann Kuna madhehebu mengi namna hii hasa haya ya kikristo?

Nimekutaka na viongozi wa madhehebu karibia yote ya kilokole na Kila mmoja ana lake na tafisir yake. Moja ya vitu nilivyo hitaji zaidi kujifunza ni pamoja unywaji wa pombe Kwa maana Imani yangu ya au dhehebu langu halina pingamizi kuhusu unywaji pombe "KUNYWA KIDOGO LAKINI USILEWE" ukienda Kwa walokole Wana sema dhambi kubwa mno kunywa pombe

Lakin ukiangalia badhi ya maandiko kwenye bible yana halalisha unywaji wa pombe. Naanza na
Mithali 31:6-7 (KJV) Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.
Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.

Aya nyingine
1 Timotheo 5:23 (KJV) Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara.

Na inasemekana hata yesu alipo hudhuria harusi ya kana alibadiri maji kuwa divai(pombe) watu wakanywa waka lewa na wakashuhudia Kwa kusema hii ni nzuri kuliko zote.

Yohana 2:9-10 (KJV) Naye mkuu wa meza alipoyaonja yale maji yaliyopata kuwa divai, (wala asijue ilikotoka, lakini watumishi walijua, wale walioyateka yale maji), yule mkuu wa meza alimwita bwana arusi,
akamwambia, Kila mtu kwanza huandaa divai iliyo njema; hata watu wakiisha kunywa sana ndipo huleta iliyo dhaifu; wewe umeiweka divai iliyo njema hata sasa.

Pamoja na ushahidi huu maandiko lkn Kwa walokole ni tofauti kabisa Bado wanasema ni dhambi Na Bado biblia yenyewe inajipinga yaani mara ikubali hapohapo ikatae mfano

Mithali 20:1 (KJV) Mvinyo hudhihaki, kileo huleta ugomvi; Na akosaye kwa vitu hivyo hana hekima.

Soma tena
Mithali 23:29-32 (KJV) Ni nani apigaye, Yowe? Ni nani aliaye, Ole? Ni nani mwenye ugomvi? Ni nani mwenye mguno? Ni nani aliye na jeraha zisizo na sababu? Ni nani aliye na macho mekundu?

Ni wale wakaao sana kwenye mvinyo; Waendao kutafuta divai iliyochanganyika.

Usiitazame mvinyo iwapo ni nyekundu; Iitiapo bilauri rangi yake, ishukapo taratibu;
Mwisho wake huuma kama nyoka; Huchoma kama fira.

Hizi ni baadhi tu ya Aya zinazo ruhusu na kupinga kunywa pombe.

Baada ya hapo nimejifumza na wasabato Kwa muda mrefu sana Hawa watu nikihoji Kwa undani sana kwann wao waabidi jmos

Walinieleza Kwa uzuri kabisa Kila swali nililo uliza walijibu ama Kwa hakika waliniweza. Mambo niliyojifunza kwao ni siku ya kuabudu ni ipi (siwezi elezea sana hapa)

Kwanini wao hawali nguruwe,Bata, nk. Majibu nilipewa yamikini Kwa mjibu wa bible niliridhika nayo! Nikarudi Kwa walokole na dhehebu langu kuwauliza viongozi wangu wa Imani kuhusu vyakula hasa nguruwe. Ukweli usiopingika nikuwa majibu niliyopewa na ndg zangu walokole na viongozi wangu wa dini hayakutoka kwenye biblia mara nyingi ilikuwa kupondea tu nikaona isiwe tabu sana Kwa maana hata Mimi ni muumini mzuriiii tu kitimoto Alimarufu mbuzi katoriki nikaendelea kula.

Issue nyingine nikuhusu dawa za miti shamba au tiba Asili walokole Kwa madhehebu Yao wanasema ni dhambi kubwa sana na ni uchawi na ushirikina kutumia hizo dawa ukiumwa nenda hospital

Wasabato nao (waliniuzia Hadi vitabu na nilivipenda na vinanisaidia sana )wao wanasema Mungu aliumba mimea Ili itumike kama chakula na dawa.

BADO SIJAIELEWA BIBLIA
Kwann biblia au wanao kiamaini hiki kitabu Cha biblia wanatofautiana Ili Hali kitabu Chao kimoja na maana Moja ?
Nani yupo sawa na nani hayupo sahihi?

Huyu anasema Pombe ni sahihi mwingine anasema Pombe Siyo sahihi na ni dhambi anatoa na maandiko!

Mwingine anasema nguruwe ni dhambi harusiwi na anatoa na uthibitisho wa maandiko na mwingine hivohivo anasema nguruwe ni halali na anatoa na uthibitisho pia.

Je, Mkweli ni yupi?
Wengine wanadai zaka walikuwa wanapewa walawi enzi za agano la kale je wasabato wao na zaka! Zaka na wao je nao ni walawi ?

Hii bible Ina mkanganyiko sana mara watu waoane dada na kaka halafu Tena hiyo hiyo bible ije ikatae na kuamru atakae muoa dada yake au ndg yake afe!

Hiyo hiyo biblia yetu imesema kuua ni dhambi na atakae ua atahesabiwa hukumu!!

Baada ya kutokuilewa Sasa Nina muda wa miaka6 siendi kanisani nimegundua Kuna ubabaishaji mkubwa sana huenda waandishi Hawa Kuna mwingine alikuwa mlevi anasapoti pombe mwingine alikuwa hatumii pombe na Kwa sababu yeye hatumii Kwa sababu zake binafsi Ima ki afya au Kwa kutokupendelea anaandika pombe ni dhambi vilevile kwenye nguruwe na vingine vingi.

Marafiki zangu wengi ni wasabato na wao ktk kipindi hiko chote Cha miaka6 nimewakataza habari za biblia nimewaambia kama una habar nzuri basi niuzie kitabu Cha afya nitanunua lakini sio habar za bible ambazo hata baba yangu wa kiroho (ubatizo) hazielewi hapana Kwa kwel.
 
U

Usome mistari yote,siyo nusunusu,ila pia jaribu KUTOKA kwenye mwili kwa msaada wa roho MTAKATIFU utapata majibu ya mashaka Yako yote, biblia Iko straight,ila wanaosoma na kufafanua ndio wanakuja ku-divert maana halisi, ndio hapo imani na makanisa tofauti vilipoanza ,,,,,Unajua wewe ni mfalme!?
 
Mkuu Bible ukiisoma literally Ni full of contradiction tena sio hizo tu ulizotaja Ziko zaidi ya 500..Ila bible Quran its Code Language for opening some kind of boxes and Faciliy ambayo ndo itakufanya uwe huru ...

Kamaa yesu aliposema tu mtaijua kweli nayo kweli itawaweka huru..
Ila sio Hii kweli unayoiona kwenye dini Ambazo Hata hawajui Wanachokisoma...

Nakuapia utaona watakuja wale wa Roho mtakatifu wengi hapa..Lakini kiufupi hakuna anayefunuliwa na roho mtakatifu katika kusoma biblia its just ni intuition ya Mtu ndo humpelekea kufafanua hivyo
 
Wewe siyo mkatoliki bali wewe ni mkato!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom