Wasichana: Yaheshimuni maungo yenu

Wasichana: Yaheshimuni maungo yenu

mnajishaua tu hapa...
Kweli huku ni kujishaua. Tabia ni jumla ya maisha ya mtu. mtoa mada hana exposure anatuletea mtazamo wa huko kwao. Mwanamke sio mpaka avae madera ndo aonekane anafaa kuwa mke.
Halafu cha ajabu wanaume wanawavalisha manguo mareefu hao wake zao halafu wanawaacha ndani wanaenda kuwafuata hao wanaovaa vimini.

Nenda south africa utaona, karibu kila binti unayepishana naye mapaja yako nje. Nenda nchi za weupe uone wanawake wanavyo vyaa na sio ishu kihiivyo.

Ifike mahala tuongee kiutu uzima na sio kwa hisia na kidhaifu na matamanio yanayopelekea kuwataka wanawake wafunike miili yao full. Mie my wife wangu tangia nimuoe mpaka leo ana nguo za aina zote. na tabia ni njema tena ya kuigwa.
 
Mi saivi nguo za kushona zote hazinitoshi
Nimeongeza mpaka nakereka sasa
 
Haya bhana
Kila mtu abaki na msimamo wake,mimi wanangu nitaendelea kuwafundisha kuvaa vizuri,najua nikielimisha wasichana 10,watano watanielewa
Hata anaevaa jeans hajavaa vibaya. Na tupo katika globalization,kuvaa vizuri labda avae kaniki Maana Hata madera yana mpasuo
 
unafki unafki tu mnajifanya hampendi hzo nguo wake zenu wakivaa madera mbona mnawafata wanaovaa hizo nguo mnazosema za kudhalilisha
Wewe ni great thinker. Watu wanazuga tu hapa. Wanapenda kuwatazama hao waliovaa hizo nguo wanazo zikataa.
 
Shona zingine mate.
Mate Usawa huu Usawa lol!
Unafikiri napenda basi tabu tu
Nikifikiria gharama za mavitenge mavitambaa fundi lol
Bora niende mwanza makoroboi
Fifty narudi na mabegi yamejaa lol!
 
Sahihi kabisa. Ila na sie wanaume tumezidi unafiki maana hao wanaovaa hovyo ndio tukiwaona mate yanatutoka na kuanza kuwazengea. Ukidinya unalala mbele. Kwahiyo nashauri na sie wanaume tuwapotezee, tusiwasifie na ikibidi tuwanunie kabisa nadhani watabadilika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom