Wasichana: Yaheshimuni maungo yenu

Wasichana: Yaheshimuni maungo yenu

Umevaa suruali imekubana na kuyachora maungo yako yote, halafu imechanwa chanwa mapajani kwa mbele, maungo yako yanaonekana na kila mtu.

Unakutana na rafiki yako anakuuliza kama umeolewa nawe bila haya unasema "niolewe na nani shost, wanaume wenyewe matapeli tu"

We unadhani kuna mwanaume mwehu mpenda laana, wa kukuoa wewe, uje kumletea laana kwenye ukoo wake, mwishowe aje azae watoto wehu.

Utabaki hivyo hivyo, ukija kushituka ushazeeka unaamua kujioa kwa kwenda kuishi na lishikaji tu (sio mume).

Hapo ndo unaishi kwa shida full vilio kwa kuwa na mume asiyeeleweka, wakati wewe mwenyewe ulishindwa kujenga misingi ya kueleweka.

Poleni wote mnaopitia vipindi hivyo hasa mkiwa ndio wasanifu na wajenzi hali hizo.
Asante kwa kusema ukweli mtupu! Japo pamoja na kuwa ujumbe huu wenye elimu utasomwa na waathirika hao, hawataufanyia kazi! Wanasikilizia sikio la kulia unapitilizia sikio la kushoto.
 
Upo sahihi mkuu,mimi nakumbuka enzi ninakua ilikua ngumu sana kuona maungo ya mwanamke sababu walikua wanajisitiri sana,na ikitokea siku kwa bahati mbaya umeona hata kirobo paja lazima abdala kichwa asimame yani,ndiyo lazima asimame mana hujazoea kuona hivyo vitu.
 
Umevaa suruali imekubana na kuyachora maungo yako yote, halafu imechanwa chanwa mapajani kwa mbele, maungo yako yanaonekana na kila mtu.

Unakutana na rafiki yako anakuuliza kama umeolewa nawe bila haya unasema "niolewe na nani shost, wanaume wenyewe matapeli tu"

We unadhani kuna mwanaume mwehu mpenda laana, wa kukuoa wewe, uje kumletea laana kwenye ukoo wake, mwishowe aje azae watoto wehu.

Utabaki hivyo hivyo, ukija kushituka ushazeeka unaamua kujioa kwa kwenda kuishi na lishikaji tu (sio mume).

Hapo ndo unaishi kwa shida full vilio kwa kuwa na mume asiyeeleweka, wakati wewe mwenyewe ulishindwa kujenga misingi ya kueleweka.

Poleni wote mnaopitia vipindi hivyo hasa mkiwa ndio wasanifu na wajenzi hali hizo.
Geuza na CD bas, wanaume na nyie ongezeni kujibana kwenye visuruali wenu wakat hamna misuli au endeleeni pia kuzichana kwenye mapaja kwenye suruali ili demu wako akinunua suruali mbano bas wote tugombanie kuvaa, tutunishe misuli, hili swala ni la jinsia mbili na c wabint tuu, kujiheshimu ni kitu cha bure
 
Ukichoongelea ni "kuyaficha", sio "kuyaheshimu"..

Badili title
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom