Wasichana: Yaheshimuni maungo yenu

Wasichana: Yaheshimuni maungo yenu

Sawa kuolewa kunaleta heshima,lakn usiniambie eti kisa nmevaa suruali ya kuchana chana basi sitoolewa. Ghkaaaa,!!basi na wao wanaume wajue hawatotupata wa kutuoa kwa style hii ya kuvaa chupi za wadogo zao zinazoishia mapajani mwao na bado wanazishusha kwenye makalio,Yaani akinifuata mwanaume aliyevaa hivo nkamwambia kajioe mwenyewe
 
Hao ni wazuri sana kwa mambo yetu ya kupitisha muda au kubadili ladha.
 
Kama wao wanaiga kuvaa kanga na sisi tunaiga kuvaa vimini na kupiga kata k.
Katika akili ya kawaida nani anazingua?
Hakuna anae zingua. Kwan wao wakinunua khanga na vitenge wanashona nn!??gauni fupi,hot pants za vitenge. Ngoma draw so Ndio espy
 
Ha ha ha
Sasa kama nyie wanawake ambao mmekomaa kiakili mkivaa hivo kwa nini tusiwaulize,watoto wetu wa kike mtawafundisha nini hasa
Tunawafundisha kuwa wasiwe static, cha msingi wasivunje sheria ya nchi.
 
Baeleze baeleze huenda bakakuelewa . Imeshakuwa sheeeda.Ukikutana naye unajiuliza mara mbili mbili, hivi huyu kweli katokea nyumbani ama huyu kweli ana Akili timamu ? ama ni chizi? Jirekebisheni jamani.
 
mbona kuna wale wanavaa vikuku,matobo kibao puani,sikioni na matattoo mwili na vinguo vifupi wameolewa
 
Hata hao wanaovaa hizo suruali zilizochanwa pia wana nguo zao za vitenge na wana khanga pia.
Ukiwaona waulize watakwambia.
Ha ha ha
Haya anzeni kutembea uchi sasa
 
Sawa kuolewa kunaleta heshima,lakn usiniambie eti kisa nmevaa suruali ya kuchana chana basi sitoolewa. Ghkaaaa,!!basi na wao wanaume wajue hawatotupata wa kutuoa kwa style hii ya kuvaa chupi za wadogo zao zinazoishia mapajani mwao na bado wanazishusha kwenye makalio,Yaani akinifuata mwanaume aliyevaa hivo nkamwambia kajioe mwenyewe
Mmmmh hapo chacha patamu. Mbona ni ngoma drooo . Muoane tuu kama alivyoimba Chege kuwa "Waache waoane".
 
Yaani wakaka wa kibongo wana gubu Haoo kuliko wanawake now days. Ni wambeaaa sample za kina soud brown
Kwa gubu lao mawifi wanasubiri!!
Hili gubu wangelihamishia kwenye mambo ya msingi tungekuwa mbali.
 
Hakuna anae zingua. Kwan wao wakinunua khanga na vitenge wanashona nn!??gauni fupi,hot pants za vitenge. Ngoma draw so Ndio espy
Haya bhana
Kila mtu abaki na msimamo wake,mimi wanangu nitaendelea kuwafundisha kuvaa vizuri,najua nikielimisha wasichana 10,watano watanielewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom