Hao wenyewe tu makazn hawavai sembuse mieKule ni beach,vaa chupi katika shughuli zako za kawaida na hata ofisini ndo nitajua kweli western culture imekuingia
Unajua espy the way ninavopata muda wa kukaa na women and make conversions like this ndo nagundua kwa nini maandiko ya MUNGU yalisisitiza wanaume tuishi na wanawake kwa akili sana.Yani hata km ni mtu alitunga yale maandiko basi alikua anaona mbali sanaNae anakushangaa kama unavyomshangaa!!
Ingekuwa adhabu asingevaa.
KumbeeeeeeeeeeHao wenyewe tu makazn hawavai sembuse mie
Na anunue la kwake kweli asioneKumbe unakereka!! Basi nunua gari lako![]()
![]()
![]()
Ndio hivyo mkuu, mlipoambiwa muishi nasi kwa akili hawakukosea, tatizo nyie mnabadili maandiko mnataka sisi ndio tuishi nanyi kwa akili.Unajua espy the way ninavopata muda wa kukaa na women and make conversions like this ndo nagundua kwa nini maandiko ya MUNGU yalisisitiza wanaume tuishi na wanawake kwa akili sana.Yani hata km ni mtu alitunga yale maandiko basi alikua anaona mbali sana
Hapo sawa tena!! Si nao watakuwa wanawashangaa kwenye daladala hivyo hivyo!!Kumbe wakishotoka kwenye himaya yangu.
Hapo sawa
Na anunue la kwake kweli asioneKumbe unakereka!! Basi nunua gari lako![]()
![]()
![]()
Tena wakianza ukubwa hakuna atakaejua Kama baba so aliwalea vizuri. Unawajua walimwengu unawasikia weweHapo sawa tena!! Si nao watakuwa wanawashangaa kwenye daladala hivyo hivyo!!
Ha ha haHapo sawa tena!! Si nao watakuwa wanawashangaa kwenye daladala hivyo hivyo!!
Tutamlaumu huyo huyo baba kwakweliTena wakianza ukubwa hakuna atakaejua Kama baba so aliwalea vizuri. Unawajua walimwengu unawasikia wewe

Ila tutakulaumu wewe tu.Ha ha ha
Kisaikolojia malezi ya mwako 0-10 ndo msingi bora wa maisha ya mtoto
halafu 11-18 ni kuweka msisitizo na kuonyesha upendo,akiharibika huko mbeleni inakua ni yeye kama yeye
Mwaka 0-10 ni muda wa mzazi kumfundisha mtoto maadili,kujiamini,upendo....Tena wakianza ukubwa hakuna atakaejua Kama baba so aliwalea vizuri. Unawajua walimwengu unawasikia wewe
YahIla tutakulaumu wewe tu.
Walimwengu hatujui hayo,utatusikia mmh. Hajafundishwa yule angefundishwa asingekuwa vileeeMwaka 0-10 ni muda wa mzazi kumfundisha mtoto maadili,kujiamini,upendo....
11-18 ni kukazia na kumuongoza kwa yale mabadiliko ya kimwili anayoyapata.
Ukifanikiwa hapo,hata kama mbeleni akiharibika ni asilimia ndogo sana,kama unalea watoto au ni mzazi utanielewa
Basi hata wako ujue hatutokuelewa, tutakulaumu tu.Yah
ndo mana tukikuona espy unatembea na kichupi tunamlaumu mama yako na baba
Umeona eeeeWalimwengu hatujui hayo,utatusikia mmh. Hajafundishwa yule angefundishwa asingekuwa vileee
Hata neno la MUNGU linasema mlee mtoto katika njia impasayo,hataiacha kamweBasi hata wako ujue hatutokuelewa, tutakulaumu tu.
Maana ulimwengu unajua kujitahidi kuliko mzazi.