Tanzania Nchi Yetu Sote
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 526
- 903
Kuolewa hao watasubiri sana maana sababu zote za kuoa wameziharibu wenyewe.Umevaa suruali imekubana na kuyachora maungo yako yote, halafu imechanwa chanwa mapajani kwa mbele, maungo yako yanaonekana na kila mtu.
Unakutana na rafiki yako anakuuliza kama umeolewa nawe bila haya unasema "niolewe na nani shost, wanaume wenyewe matapeli tu"
We unadhani kuna mwanaume mwehu mpenda laana, wa kukuoa wewe, uje kumletea laana kwenye ukoo wake, mwishowe aje azae watoto wehu.
Utabaki hivyo hivyo, ukija kushituka ushazeeka unaamua kujioa kwa kwenda kuishi na lishikaji tu (sio mume).
Hapo ndo unaishi kwa shida full vilio kwa kuwa na mume asiyeeleweka, wakati wewe mwenyewe ulishindwa kujenga misingi ya kueleweka.
Poleni wote mnaopitia vipindi hivyo hasa mkiwa ndio wasanifu na wajenzi hali hizo.
Mapaja tulizoea kuona ya kuku kwa wauza chips siku hizi mapaja ya wadada hayana thamani tena wanayaachia tu.
Matiti tulizoea kuona ya ng'ombe au mbuzi siku hizi matiti ya wadada yasipobustiwa yakamwagika nje wanaona hawajavaa
Kibaya sasa ni hizo nguo zao transparent unaona kila kitu
