Boloyoung
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 682
- 652
Umevaa suruali imekubana na kuyachora maungo yako yote, halafu imechanwa chanwa mapajani kwa mbele, maungo yako yanaonekana na kila mtu.
Unakutana na rafiki yako anakuuliza kama umeolewa nawe bila haya unasema "niolewe na nani shosti, wanaume wenyewe matapeli tu"
We unadhani kuna mwanaume mwehu mpenda laana, wa kukuoa wewe, uje kumletea laana kwenye ukoo wake, mwishowe aje azae watoto wehu