Wasichana: Yaheshimuni maungo yenu

Wasichana: Yaheshimuni maungo yenu

Asante kwa kusema ukweli mtupu! Japo pamoja na kuwa ujumbe huu wenye elimu utasomwa na waathirika hao, hawataufanyia kazi! Wanasikilizia sikio la kulia unapitilizia sikio la kushoto.

Mambo mengine jamani hayana budi kutokea...
Mwenye masikio na alisikie Neno hili ambalo Roho awaambia mataifa
 
kiufupi hizi nguo aina ya jeans zilizochanika kwenye magoti sijui mapajani,, SIZIPENDI hata kidogo,,awe anavaa mwanamke au mwanaume narudia SIZIPENDI MNO!!!!!
 
Yaani hii nimeiona sana tu, binti amevaa suruali imembana mpaka mchoro wa sehemu za siri unaonekana akiwa anatembea
 
Ni muda wa shetani kutawala hivyo hakuna atakae kusikia katika hilo
 
IMG_20170318_222249_280.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom