Wasichana: Yaheshimuni maungo yenu

Wasichana: Yaheshimuni maungo yenu

Umevaa suruali imekubana na kuyachora maungo yako yote, halafu imechanwa chanwa mapajani kwa mbele, maungo yako yanaonekana na kila mtu.

Unakutana na rafiki yako anakuuliza kama umeolewa nawe bila haya unasema "niolewe na nani shost, wanaume wenyewe matapeli tu"

We unadhani kuna mwanaume mwehu mpenda laana, wa kukuoa wewe, uje kumletea laana kwenye ukoo wake, mwishowe aje azae watoto wehu.

Utabaki hivyo hivyo, ukija kushituka ushazeeka unaamua kujioa kwa kwenda kuishi na lishikaji tu (sio mume).

Hapo ndo unaishi kwa shida full vilio kwa kuwa na mume asiyeeleweka, wakati wewe mwenyewe ulishindwa kujenga misingi ya kueleweka.

Poleni wote mnaopitia vipindi hivyo hasa mkiwa ndio wasanifu na wajenzi hali hizo.
Ingefaa zaidi endapo ushauri ungekuwa kwenye kuvaa nguo za kujistili ila hapo kuchanganya mavazi na kupata mume sidhani kama ni sawa.
wapo watu majumbani hawazijui suruali wala nguo fupi na bado hawajaolewa hadi jua limezama.
Nadhani kila mwanaume ana kitu anachovutiwa nacho kwa mwanamke na mwanamke kupata mume ni zaidi ya kuvaa nguo za staha.
Nawasilisha.
 
Hata anaevaa jeans hajavaa vibaya. Na tupo katika globalization,kuvaa vizuri labda avae kaniki Maana Hata madera yana mpasuo
Wacha wee
kweli samaki mkunje angali mbichi
Acha nikawakunje samaki wangu ambao bado ni wabichi
 
Mate Usawa huu Usawa lol!
Unafikiri napenda basi tabu tu
Nikifikiria gharama za mavitenge mavitambaa fundi lol
Bora niende mwanza makoroboi
Fifty narudi na mabegi yamejaa lol!
Umeona eeeh!! Kitenge 35elfu, mashono 30-45(na zaidi), hapo makoroboi nina nguo za kuvaa miaka miwili, vitenge vyenyewe ukifua mara mbili tu kama umevaa miaka minne!! Chaaaah!! Watuwache.
 
Sahihi kabisa. Ila na sie wanaume tumezidi unafiki maana hao wanaovaa hovyo ndio tukiwaona mate yanatutoka na kuanza kuwazengea. Ukidinya unalala mbele. Kwahiyo nashauri na sie wanaume tuwapotezee, tusiwasifie na ikibidi tuwanunie kabisa nadhani watabadilika
Huku na nyie mkiacha kuvaa nguo zetu.
 
Ikifikia huko hamna shida tutazoea tu, mbona nyie mnatembea na vyupi maana suruali ziko chini ya chupi.
sikatai kwamba wanaume hatujaathirika na mavazi.
Ila wanawake ni kero,yani mtu anavaa nguo ambayo hata akipanda daladala kwenye vile viti vya kugeukiana anaona aibu kukaa
 
Wacha wee
kweli samaki mkunje angali mbichi
Acha nikawakunje samaki wangu ambao bado ni wabichi
Watavaa tu wakitoka kwenye himaya yako, sasa hivi watavaakukuridhisha tu.
 
Umeona eeeh!! Kitenge 35elfu, mashono 30-45(na zaidi), hapo makoroboi nina nguo za kuvaa miaka miwili, vitenge vyenyewe ukifua mara mbili tu kama umevaa miaka minne!! Chaaaah!! Watuwache.
Na watuwacheeee na suruali zetu za kuchanakitenge nitavaa nikizeeka
 
sikatai kwamba wanaume hatujaathirika na mavazi.
Ila wanawake ni kero,yani mtu anavaa nguo ambayo hata akipanda daladala kwenye vile viti vya kugeukiana anaona aibu kukaa
Kumbe unakereka!! Basi nunua gari lako
 
Umeona eeeh!! Kitenge 35elfu, mashono 30-45(na zaidi), hapo makoroboi nina nguo za kuvaa miaka miwili, vitenge vyenyewe ukifua mara mbili tu kama umevaa miaka minne!! Chaaaah!! Watuwache.
Ndoivo mate mambo si mambo kabisa
Mi siku nyingine kazini najitoa ufahamu tu
 
Kumbe unakereka!! Basi nunua gari lako
Yani mimi ndo namshangaa mtu kama huyo ambae anavaa nguo fupi mpk anaona aibu kukaa mbele ya wanaume,sasa si adhabu hiyo
 
Kule ni beach,vaa chupi katika shughuli zako za kawaida na hata ofisini ndo nitajua kweli western culture imekuingia
Kwani vichupi beach sio western culture?
 
Yani mimi ndo namshangaa mtu kama huyo ambae anavaa nguo fupi mpk anaona aibu kukaa mbele ya wanaume,sasa si adhabu hiyo
Nae anakushangaa kama unavyomshangaa!!
Ingekuwa adhabu asingevaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom