Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,493
- 176,562
Maisha bila unafiki hayaendi.unafki unafki tu mnajifanya hampendi hzo nguo wake zenu wakivaa madera mbona mnawafata wanaovaa hizo nguo mnazosema za kudhalilisha
Maisha bila unafiki hayaendi.unafki unafki tu mnajifanya hampendi hzo nguo wake zenu wakivaa madera mbona mnawafata wanaovaa hizo nguo mnazosema za kudhalilisha
Ushasema mke tena mke wangunafki unafki tu mnajifanya hampendi hzo nguo wake zenu wakivaa madera mbona mnawafata wanaovaa hizo nguo mnazosema za kudhalilisha
Wake zenu ndio wanavaa hivyo, basi kumbe wote wehu.Umesema ukweli mtu ndg Pyepyepye , lakini sisi waTZ tulio wengi tutaishia kukutana kuwa wewe mshamba na kejeli za namna hiyo, lakini ulichokisema ni kweli na kitabaki kuwa kweli daima.
Haiwezekani mwanaume kamilifu kabisa achukue mdada mtembea uchi eti kwa lengo la kuoa, never. Ikitokea mdada mtembea uchi unajiona wanaume wanakufukuzia hata na ahadi za kukuoa, jua tu ya kwamba lengo lao ni kukutumia tu na mwisho wa siku kukuacha, kama alivyosema mjumbe mmoja kupima oil tu na si vinginevyo
Mhh!!!!bee, labeka
Na unaweza kuyaacha wazi lakini hata inzi hatui!naweza kuficha nisiyaheshimu... tuko jambo weye miss u ..
Badilika mkuu vaa nguo za heshimawanafki tu nyie...
😀 😀 😀 😀 😀 😀Bora hata mapaja ya wanawake yanavutia, sasa na wanaume wanaovaa hivyo na vile vipaja vyenu kama kuni!! Toeni kwanza boriti zenu bwana.
Na wengi (sio wote) wanaovaa manguo ya kufunika ni wachafu sana huko ndani.mwanamke akivaa manguo makubwa oohdemu lishamba... tukivaa mikato nalo tatizo .. minavaa navyotamani kuvaa hiyo siku
ipi?Mhh!!!!
Hyo ilikua fashion yako
Bdo ujaiacha tu
Msiwasingizie wa dar tu, kote ni majanga tu maana hao wa dar ndio role models wenu.😀 😀 😀 😀 😀 😀
Yan umeamua kuwapa
Makavu barobaro wa dsm
Ni kweli mkuu,life has changed a lot,huwezi kumlazimsha mtu aamini unachokiamini,mimi naweza sema kuvaa mavazi mafupi ni kawaida,mwingine akasema si kawaida na sitaweza kumlazimisha aamini.Kuna mtu alisema yeye anapenda mkewe avae hivyo na kwake haionyeshi kutokujiheshimu hata kidogo.
Culture tunayoishi ni za kutoka nje kwahiyo acha maisha yendelee, wakitembea na vyupi mtazoea tu si ndiko tulikotoka enzi hizoooooo.Ni kweli mkuu,life has changed a lot,huwezi kumlazimsha mtu aamini unachokiamini,mimi naweza sema kuvaa mavazi mafupi ni kawaida,mwingine akasema si kawaida na sitaweza kumlazimisha aamini.
Kwa nchi km Tanzania ambao tunaishi kwa kuangalia western culture,tunakoelekea wanawake wanaweza wakatembea na vyupi barabarani.
Sural kuchanwa chanwaipi?
mmmh! hahahahh, mwe!Sural kuchanwa chanwa
Mistar ya qupi kuonekana
Dhuuu!!,bhas wanaongozwa naMsiwasingizie wa dar tu, kote ni majanga tu maana hao wa dar ndio role models wenu.
Waje wapi? siujitetee.. au hayakuhusu?Ngoja waje