
na wanao hivyo wengi wapo kwenye ndoa hizo nguo mnazosema sio za heshimaUshasema mke tena mke wang
Mm atakua akivaa vitenge
Akashone tu garama ktu gani
Hao wanaovaa hzo tunawafwata
Kusindikiza cku maana wangekua
Wife material washawekwa ndan kitambo
Khaaaa hiv n ww avatar imenichanganyaMaisha bila unafiki hayaendi.



mbona nyie mnavaa suruali chini ya makalio na boxer zenu nyeusiiiii chafuuuuuu sina uvundo nani anawasema?? Its all about fashion buana wewe. Wangap wameolewa and yet wanavaa hivyo hivyo.??hoja yako haina mashiko na imeongozwa na hisa Kama sio hasira za kuachwahebu jisemee bhas bdo umekomaammmh! hahahahh, mwe!
Ha ha haCulture tunayoishi ni za kutoka nje kwahiyo acha maisha yendelee, wakitembea na vyupi mtazoea tu si ndiko tulikotoka enzi hizoooooo.
hahaBadilika mkuu vaa nguo za heshima
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyona wanao hivyo wengi wapo kwenye ndoa hizo nguo mnazosema sio za heshima
Hivi culture yetu ni ipi? Hii ya kiarabu ya kuvaa hijab?Ha ha ha
Najua western culture bado haijachukua 100% ,kuna asilimia flani imebaki,kama wazazi itabidi tuwalee watoto katika maadili.Tusiwe wehu mpaka tukasahau utu wetu wa kiafrika kwa kusingizia wazungu ambao wenyewe wakija huku wanatushangaa tunavowaiga mpaka wanakosa cha kuiga kwetu,katika watoto 10 wa kike ukiwapa elimu kuna wa 5 utawasaidia.
Tena sio ziko chini ya makalio tu bali nazo zimechanwa chanwa hivyo hivyo na miondoko yao kama wametahiriwa leo.mbona nyie mnavaa suruali chini ya makalio na boxer zenu nyeusiiiii chafuuuuuu sina uvundo nani anawasema?? Its all about fashion buana wewe. Wangap wameolewa and yet wanavaa hivyo hivyo.??hoja yako haina mashiko na imeongozwa na hisa Kama sio hasira za kuachwa
Bora hata mshauriane wenyeweVery true,yani wanatuaibisha wasichana wenzao wallah Kama mtu anakupenda ata ukijistiri atakupenda tubadilike jamani not right kwakweli
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀Tena sio ziko chini ya makalio tu bali nazo zimechanwa chanwa hivyo hivyo na miondoko yao kama wametahiriwa leo.
Na wao wanaona tunapendeza Sana siku hizi na wao wanavaa modo,zinawachonga Kama sisi tu tofauti yetu wao hawana makalio,siku hizi wanavaa vipensi vya mapajani wanaacha ngoko nje zimekomaa Kama kuni ya kiangazi yet wanajishaua wadada u know this and that blah blah kibao. Kama mnaona tunapendeza Sana kachongeni matako Maana vya kuchana na nyinyi pia mmeiga. Give us breakTena sio ziko chini ya makalio tu bali nazo zimechanwa chanwa hivyo hivyo na miondoko yao kama wametahiriwa leo.



