Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,503
- 176,618
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Espy co kwa povu hili
Bora tu mm nlitairiwa nkiwa cjitambui
We huwaonagi wanatembea wametanua miguu kama wametoka jandoni?
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Espy co kwa povu hili
Bora tu mm nlitairiwa nkiwa cjitambui
Mfundishe mtoto wako utamaduni wa kabila lako ESPY.Hivi culture yetu ni ipi? Hii ya kiarabu ya kuvaa hijab?
Maana huwa nashindwa kuelewa watu wanaposema tufuate utamaduni wetu, tamaduni zetu zenyewe zinatofautiana kutoka kabila moja kwenda lingine, ndio maana hata vazi la taifa lilishindikana
I mean kanga na kitengeHivi culture yetu ni ipi? Hii ya kiarabu ya kuvaa hijab?
Maana huwa nashindwa kuelewa watu wanaposema tufuate utamaduni wetu, tamaduni zetu zenyewe zinatofautiana kutoka kabila moja kwenda lingine, ndio maana hata vazi la taifa lilishindikana
Si ndio hapo sasa, mpaka skirt na magauni wanavaa, maana hizi blauzi zao za iku hizi( sio mashati) ni kama magauni yetu tu.Na wao wanaona tunapendeza Sana siku hizi na wao wanavaa modo,zinawachonga Kama sisi tu tofauti yetu wao hawana makalio,siku hizi wanavaa vipensi vya mapajani wanaacha ngoko nje zimekomaa Kama kuni ya kiangazi yet wanajishaua wadada u know this and that blah blah kibao. Kama mnaona tunapendeza Sana kachongeni matako Maana vya kuchana na nyinyi pia mmeiga. Give us break![]()
Si ndio hapo sasa, mpaka skirt na magauni wanavaa, maana hizi blauzi zao za iku hizi( sio mashati) ni kama magauni yetu tu.











😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
We huwaonagi wanatembea wametanua miguu kama wametoka jandoni?
Mkuu anajioa mwenyewe?hahahaha!Umevaa suruali imekubana na kuyachora maungo yako yote, halafu imechanwa chanwa mapajani kwa mbele, maungo yako yanaonekana na kila mtu.
Unakutana na rafiki yako anakuuliza kama umeolewa nawe bila haya unasema "niolewe na nani shost, wanaume wenyewe matapeli tu"
We unadhani kuna mwanaume mwehu mpenda laana, wa kukuoa wewe, uje kumletea laana kwenye ukoo wake, mwishowe aje azae watoto wehu.
Utabaki hivyo hivyo, ukija kushituka ushazeeka unaamua kujioa kwa kwenda kuishi na lishikaji tu (sio mume).
Hapo ndo unaishi kwa shida full vilio kwa kuwa na mume asiyeeleweka, wakati wewe mwenyewe ulishindwa kujenga misingi ya kueleweka.
Poleni wote mnaopitia vipindi hivyo hasa mkiwa ndio wasanifu na wajenzi hali hizo.
Watumishi wakubwa wengi tu nawaona na vimini, na wao kuvaa hivyo ni maamuzi yao haimaanishi kuwa ndio culture yetu.Mfundishe mtoto wako utamaduni wa kabila lako ESPY.
Kama taifa sijui hasa utamaduni wetu ni upi ila tunaishi kwa utamaduni wa makabila yetu ambao kila siku unapotea tena wanao upoteza ni sisi wasomi.Kaka huwa hutumika kwa movements za nyumbani na mavazi ya kitenge haswaa hutumika.
Naomba nikuulize swali dogo espy
Umewahi kumuona Asha Rose Migiro na watumishi wakubwa wa kike wa serikalini na mavazi mafupi au even Hilary clinton na mavazi ya ajabu?
Nyinyi mbona hamvaagi msuli,mko busy now days na vinjuga,vile vipensi vinavyoishia mapajani..Hapo Hapo mnazishusha chini tuone mavyupi yenu boxer chafuuuu znatoa harufu mbayaI mean kanga na kitenge
Hiyo khanga na vitenge ndio utamaduni wetu? Ninavyofahamu khanga ni utamaduni wa waswahili(mie sio mswahili)I mean kanga na kitenge


Upo sahihiWatumishi wakubwa wengi tu nawaona na vimini, na wao kuvaa hivyo ni maamuzi yao haimaanishi kuwa ndio culture yetu.
Kwahiyo mwanangu afunge kaniki? Camooon!!
Culture is dynamic not static na inaathiriwa pia.
Mbona chupi tunavaa za wazungu hawasemi sio culture yetu?Nyinyi mbona hamvaagi msuli,mko busy now days na vinjuga,vile vipensi vinavyoishia mapajani..Hapo Hapo mnazishusha chini tuone mavyupi yenu boxer chafuuuu znatoa harufu mbaya