Wasichana: Yaheshimuni maungo yenu

Wasichana: Yaheshimuni maungo yenu

Umevaa suruali imekubana na kuyachora maungo yako yote, halafu imechanwa chanwa mapajani kwa mbele, maungo yako yanaonekana na kila mtu.

Unakutana na rafiki yako anakuuliza kama umeolewa nawe bila haya unasema "niolewe na nani shost, wanaume wenyewe matapeli tu"

We unadhani kuna mwanaume mwehu mpenda laana, wa kukuoa wewe, uje kumletea laana kwenye ukoo wake, mwishowe aje azae watoto wehu.

Utabaki hivyo hivyo, ukija kushituka ushazeeka unaamua kujioa kwa kwenda kuishi na lishikaji tu (sio mume).

Hapo ndo unaishi kwa shida full vilio kwa kuwa na mume asiyeeleweka, wakati wewe mwenyewe ulishindwa kujenga misingi ya kueleweka.

Poleni wote mnaopitia vipindi hivyo hasa mkiwa ndio wasanifu na wajenzi hali hizo.
Lete PIC
 
Basi hata wako ujue hatutokuelewa, tutakulaumu tu.
Maana ulimwengu unajua kujitahidi kuliko mzazi.
Ni jukumu lako kumlea mtoto katika maadili,huo utamaduni ukimkumba atajilaumu yeye kama yeye
 
Ndio hivyo mkuu, mlipoambiwa muishi nasi kwa akili hawakukosea, tatizo nyie mnabadili maandiko mnataka sisi ndio tuishi nanyi kwa akili.
Mwanamke ni sehemu ya mwili wa mwanaume na kamwe sehemu ya mwili haiwezi kua kama ule mwili wenyewe
 
Ni jukumu lako kumlea mtoto katika maadili,huo utamaduni ukimkumba atajilaumu yeye kama yeye
Maadali kwa tafsiri yako ni mavazo marefuuuu si ndio. Basi tunatofautiana ndio maana mie mwanangu namvisha vimini na suruali.
 
Maadali kwa tafsiri yako ni mavazo marefuuuu si ndio. Basi tunatofautiana ndio maana mie mwanangu namvisha vimini na suruali.
Nimekwambia maadili na siyo mavazi,neno maadili linabeba mambo mengi sanaaaaaa
 
Nataman sana mwanamke avae hivyo lkn sitak mke wng aje kuvaa hvyo

Kwahiyo unamaanisha kama hapa chini kwamba ni special kwa kumtumia tu

BEUTY FOR JF.jpg
 
Kwa dunia ya sasa bado mavazi ni ishu? Zama zinabarika wazee waacheni watuoneshe viuongo vyao ili angalau unapomtokea unakuwa unajua baja limekaa hivi, hiki kimekaa vile. Hii inasaidia kupata umbo unalotaka sio mtu kavaa sketi ndefu mara kaziba hapa, siku ukiwa nae ndio unaanza kujuta na yupo gheto tayari kwa.... Unaanza kuomba udhuru
 
Mfundishe mtoto wako utamaduni wa kabila lako ESPY.
Kama taifa sijui hasa utamaduni wetu ni upi ila tunaishi kwa utamaduni wa makabila yetu ambao kila siku unapotea tena wanao upoteza ni sisi wasomi.Kaka huwa hutumika kwa movements za nyumbani na mavazi ya kitenge haswaa hutumika.
Naomba nikuulize swali dogo espy
Umewahi kumuona Asha Rose Migiro na watumishi wakubwa wa kike wa serikalini na mavazi mafupi au even Hilary clinton na mavazi ya ajabu?

It is simple mkuu:
Ukiona mavazi uliyovaa yanakupa limitation ya kuingia baadhi ya sehemu za heshima iwe maofisini au kwenye nyumba za ibada jua kuwa ur wrong,, and the society around inakuona hujieshimu otherwise mavazi hayo yangefaa kuendea sehemu yoyote
 
Ndo ivo mkuu
Mavazi kwa kiasi flani yana reflect undani wa mtu,sema si unajua hata mvuta bangi anaitetea tena kwa hoja za nguvu
 
Hii huwa mnajifatiji nayo tu ila in reality mfanyacho ni tofaiti kabisaaaa!!
A woman with a big booty is good for a life time, si mlisema tabia na akili mnaambukizana eeh!
Wacha we!!
 
It is simple mkuu:
Ukiona mavazi uliyovaa yanakupa limitation ya kuingia baadhi ya sehemu za heshima iwe maofisini au kwenye nyumba za ibada jua kuwa ur wrong,, and the society around inakuona hujieshimu otherwise mavazi hayo yangefaa kuendea sehemu yoyote
Mbona huwa hamuogelei na suti?
Kila vazi lina mahala pake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom