Dah!Ndio akili zenu za siku hizi, alafu hamzishangai ila mnashangaa suruali za wanawake.
Mie sipo huko, nimejibu kulingana na comment ya huyo kamanda asiependa mkewe kuvaa hivyo ila ambae sio mkewe ndo anaona raha, ndo maana nikamletea hiyo quote kutokana na comment yakeHii huwa mnajifatiji nayo tu ila in reality mfanyacho ni tofaiti kabisaaaa!!
A woman with a big booty is good for a life time, si mlisema tabia na akili mnaambukizana eeh!
Si ndio maana hamuishi kuchepuka!!Dah!
For me BIG BOOTY is for the night stand
Tena nawapenda sana kwa show time.
Ila kwa wife material ni tofauti kabisa
Ooooh!! Basi sawa.Mie sipo huko, nimejibu kulingana na comment ya huyo kamanda asiependa mkewe kuvaa hivyo ila ambae sio mkewe ndo anaona raha, ndo maana nikamletea hiyo quote kutokana na comment yake
Yule mama hajakosea kabisaNdio akili zenu za siku hizi, alafu hamzishangai ila mnashangaa suruali za wanawake.
Mimi toka nimpate huyu mama wa mtoto wangu sijawahi kuchepukaSi ndio maana hamuishi kuchepuka!!
Si ndio maana hamuishi kuchepuka!!
Na sijawahi kufikiria kuchepukaMimi toka nimpate huyu mama wa mtoto wangu sijawahi kuchepuka
Aaah wapi!! Kama wapo wanaojitambua ktk hilo ni wachache sanaaaaaa. Ndio maana huwa wanasema WANAUME ni viumbe wanayoelekea kutoweka.Yule mama hajakosea kabisa
Wanaume tunapenda sana kuchezea wanawake wazuri kimaumbo ila inakuja kwenye swala la mwanamke wa life time
Mpira hua hutulizwa kabisa
haya maigizo tu mahondaw..usiendwe.. labda uniblockNikaushie bana Ivuga acha kuharibu
Sasa hao big booties unaowapenda kuwa wako good in bed huwa unawatumia wapi? Au ndotoni?Mimi toka nimpate huyu mama wa mtoto wangu sijawahi kuchepuka
B4 sijampata huyu wa life time ndo nilikua natumia big booties kwa kuoshea runguSasa hao big booties unaowapenda kuwa wako good in bed huwa unawatumia wapi? Au ndotoni?
Hongera mkuu. Na kamwe usichepuke.Na sijawahi kufikiria kuchepuka
My kaka unapuyanga!!!haya maigizo tu mahondaw..usiendwe.. labda uniblock
Wacha we!!B4 sijampata huyu wa life time ndo nilikua natumia big booties kwa kuoshea rungu
Haina shida,acha tutoweke tu aisee mbaki na hii duniaAaah wapi!! Kama wapo wanaojitambua ktk hilo ni wachache sanaaaaaa. Ndio maana huwa wanasema WANAUME ni viumbe wanayoelekea kutoweka.
AsanteHongera mkuu. Na kamwe usichepuke.
Sana tuWacha we!!
Safi sana, she is lucky.Sana tu
Acha nitulie na huyu mwanamke niliye naye nisije nikakosa vyote