Wasichana wanavyojidanganya wakiwa 20's

Wasichana wanavyojidanganya wakiwa 20's

Ni kweli madam ila target ya binadamu ni kuolewa na kuwa na familia. Mambo ya raha na karaha hayo ni matokeo ya baadae. Ila sina maana kwamba usijiridhishe na mwanaume anayetaka kukuoa. Hata hivyo huwezi justify kutoolewa kwasababu wengine wamepata shida. Kuna walio vizuri kwenye ndoa. Kwanini uanze kujifikiria kuwa kwenye kundi lililoshindwa na ufanye maamuzi kwa hicho kigezo?
Target ya binadamu ni kuolewa???

Haya njoo nikuoe...unaonekana umekata tamaa[emoji14]
 
[HASHTAG]#PARADIGM[/HASHTAG] ikiwa hivo poa tu but kuforce mambo wakati hauko willing kwa kuhofia timing it's immposible!
Na hapa hatulaImishi watu kuolewa ila tunaweka bayana real situations wanazokutana nazo. Kwahiyo wewe utajipima uko wapi na mwishowe maisha ni yako tu.
 
Ila nyinyi hujua usahihi wa maisha mapema,eti?

Hapana kesho yako, au ya yule ni Mungu ndiye anayejuwa kwa wenye kuamini- Dini

Sisi tunajadili kwa maana ya
a) uzoefu mitaani

b) matukio halisi kama huyo anayelalama

c) Ukweli wa kimaumbile na hasa udhaifu wa mila na desturi zetu.

Historia ni mwalimu mzuri kutufundisha yaliyopita ilitujisahihishe tusirejee makosa ya wenzetu.
 
Tumezoea kusikia matamko kutoka kwa mabinti kama vike
kazi ndiyo mume wangu,
mume si lazima ninaweza kuzaa nikalea mwenyewe,
kuolewa siyo lazima,
kuishi single ndo maisha niliyoamua, n.k

Mi nafikiri wasichana wengi hudanganywa na umri kwamba walivyo wataendelea kuwa on demand ya wanaume na hivyo wakihitaji mume watampata. Ya nini kuwa chini ya mtu mwingine.Kumbe hawajui umri unavyosogea waliokuwa wakikupapatikia nao wanaendelea kupungua.

Wengine wameamua kuzaa aidha kwa bahati mbaya au kwa sababu nilizoeleza hapo awali. Lakini kauli ya "mwanaume nini bwana" imekuwa ikisikika sana vinywani mwao. Sasa sijui hutoa kauli za namna hiyo kwasababu ya kukosa, kuumizwa au kiukweli kutoka rohoni. Na wakishazalishwa watoto pengine zaidi ya mmoja utasikia wanatafuta mwanaume aliye BORA wakililia upweke.

Kilichonifanya niandike huu uzi ni case ya Snura ambayo iko kwenye gazeti la jana la Risasi. Nimeimbatanisha na uzi huu. Hili tatizo ni la Snura lakini naamini kwamba mawazo yake yanawakilisha wanawake walio wengi ambao wako kweny hali aliyo nayo. Swali ni je wanawake huwa wanajua kwamba haya matamko ni ya ujana? Je wanajua consequnces ya kuwa single mother pamoja na kwamba utakuwa unajiweza kiuchumi? Nimeleta hii labda inaweza kubadili mitizamo ya mabinti wengi wanaodanganywa na wakati bila kuona mbele wanapokwenda.

Unaweza kuwa na mawazo ya kutoolewa. Swali je hutakuwa na mwanaume wa kukutimizia haja zako? Kama unamhitaji utapandwa na wangapi? Maana itafika wakati kila mwanaume anayetaka anakuja kwako kama kipozeo.

Nimeiweka humu kwa maoni yenu wana jf ili isaide kupanua mawazo jinsi mahusiano tunavyoyachukulia.karibuni.View attachment 440211
ujana maji ya moto kwel yaaaaaaaaaaaaaaaaaan
 
Hayo yote hapo juu hamna jipya zaidi ya kumrudia Mungu. Wanaadamu tunaongozwa na tamaa za miili yetu.
Hawajui mabinti wanapenda kuwa na watu ambao wanawatimizia haja zao sasa katika Hali ya kawaida. Hakuna kijana ambaye anakuwa rika moja na binti afu akaweza kumtimizia mahitaji take jinsi anavyotaka. Ndio mana wengi wao huwa nagigudwa na watu wakubwa zaidi kiumri afu wale vijana wa rika Lao wanawazingua kwa maana hawana kitu. Hili bi tatizo kuu zaidi.
Tuwaombe mabinti mtupende katk Hali hii yetu halisi ya kimaisha, tutafute pa1 then tuvune pa1 na tufaidi pa1.
Tukiwa hivi maisha yatakuwa matamu sana hapa duniani.
Hebu angalia mfano halisi tu wa klyne.
 
Hapa tunaelimishana. Wala hakuna linalo niuma maana mi siolewi. Lakni hapa inawezekana kuna ndugu yangu ambaye anaweza kujifunza kutokana na makosa ya wengine na akajiweka kwenye nafasi nzuri ya kufanikisha mambo yake. Kwa ambaye ameshaharibikiawa huenda hii post isimsaidie sana ma mwingine anaweza kujihisi yuko offended.
Kujifunza kutokana na makosa? Makosa yapi?

Mtu kutafuta mwenza akiwa 35 ndo kosa?

Na ni kosa kwa mujibu wa nani? Wewe?
 
Kujifunza kutokana na makosa? Makosa yapi?

Mtu kutafuta mwenza akiwa 35 ndo kosa?

Na ni kosa kwa mujibu wa nani? Wewe?
Sisemi ni kosa ila ujue itakugharimu. Kama unasubiri ufike 35 ndo utafute mwenza all the best! Hata kiafya wanashauri mwaka wa kukoma kuzaa uwe 35. Kama wewe ndo unatarajia kitafuta mwenza ndo hao tunawasikia wako hospitalini kila siku minba hazishiki. Kila la heri. Siku ikifika usine sawa mi mchawi nimekutabilia vibaya ila ni uzoefu uliopo kwenye maisha yetu ya kila siku.
 
Sisemi ni kosa ila ujue itakugharimu. Kama unasubiri ufike 35 ndo utafute mwenza all the best! Hata kiafya wanashauri mwaka wa kukoma kuzaa uwe 35. Kama wewe ndo unatarajia kitafuta mwenza ndo hao tunawasikia wako hospitalini kila siku minba hazishiki. Kila la heri. Siku ikifika usine sawa mi mchawi nimekutabilia vibaya ila ni uzoefu uliopo kwenye maisha yetu ya kila siku.
Kila mtu abebe msalaba wake mwenyewe.

Biashara ya kuhukumu na kuona wanawake wamekosea mahesabu ya maisha yao sio kazi yako.

Kila mtu na msimamo na mtazamo wake.

Makosa pia yapo.... So what?????
 
Snura anasema anatafuta mume hana muda wa kuongeza mtt tena watt wawili alionao wanatosha....upweke unamsumbua
Hahahaha anataka mme uku ataki watoto na cc tunataka watoto hatutaki mke
 
Kila mtu abebe msalaba wake mwenyewe.

Biashara ya kuhukumu na kuona wanawake wamekosea mahesabu ya maisha yao sio kazi yako.

Kila mtu na msimamo na mtazamo wake.

Makosa pia yapo.... So what?????
Sijahukumu ila ni angalizo kwa aliye na interest. Inawezekana we ushaonja ninachokisema ila nia tuwasaidie ambao hawajafika hapo ulipo.
 
Kuna ubaya gani leo mtu akawa hataki kuolewa na kesho akataka kuolewa? Wewe huwa hubadilishi misimamo na mitazamo katika maisha yako?

Na hao wadada unaodai 'umeshuhudia' walikufata wakakwambia walidanganyika na umri?

Halafu usiwasemee wanaume wengine, jisemee wewe.
Mbona povu hapa jaman tunajadili tu
 
Sijahukumu ila ni angalizo kwa aliye na interest. Inawezekana we ushaonja ninachokisema ila nia tuwasaidie ambao hawajafika hapo ulipo.
Nilipo wewe unapajua?

Wewe njoo nikuoe tu maana hakuna namna[emoji23]
 
Back
Top Bottom