Hahaha shilawadu I happened to hear about it jana,nkacheka sana,mana was like wat the hell is this shilawadu thing...Sasa kama weww si haya mambo shilawadu umeijuaje na jinsi content zake zilivyo?
We hapa umeguswa tu. Kama ulichezea bahati yako huko nyuma pole sana. Ndo maisha yalivyo. Ila hii nilitaka iwasaidie wengine wasije kuwa sawa na wewe.Mwanaume unaejaribu kugain confidence kwa kumshusha mwanamke, SMH...kapambane na wanaume wenzio km we mwanaume wa shoka...bas tu mitandao hii watu u have the nerves za kupost vichekesho..kuna watu tukiwaona in real life sijui km mtaweza hata kuongea...hapo ulipo ukute mtu huna mbelee wa nyumaaa af Unashauri watu,
Kwa bahati mbaya huwa nina allergy na wasichana wa type yako ambao mwisho wa siku failure is "part n parcel" ya maisha ya mahusiano. And therefore usitarajie kuwa mimi nawewe tunaweza kuelewana...therefore.......take your drama else where back to whatever "Chicken head" land you are from and await for your total self destruction.......Wewe ndo wa kunishauri mimi?
Acha utani wewe....
Nina mke mwanangu ..., pole ... [emoji23]Tena mwanaume mwenyewe kama ni wewe nitajiita 'Reina The Goddess' ili usinikaribie kabisa[emoji14]
Hahahhaha hasty conclusions... Unajua mi nikoje...haha na hichi ndo huwa kinawacost unadhani kila mwanamke will comply na fikra zako,Kinadada wakikataa watu mnaanza kurusha mawe kisa hamjafikia viwango..hahahahWe hapa umeguswa tu. Kama ulichezea bahati yako huko nyuma pole sana. Ndo maisha yalivyo. Ila hii nilitaka iwasaidie wengine wasije kuwa sawa na wewe.
Penny ana miaka 26 anaudogo gani?Zari anapesa.....we hujiulizi kwanini diamond kawaacha mademu kama akina penny......ambao hawana watoto na bado wadogo akamuoe mtu aliyempiga gepu la umri plus anawatoto......jibu ni simple mwanamke anapesa na anajua kutafuta hata.mimi ningemkubali awe wangu.
Kama hauko hivyo basi unawapotosha wenzako. Hutaki wafanikiwe.Hahahhaha hasty conclusions... Unajua mi nikoje...haha na hichi ndo huwa kinawacost unadhani kila mwanamke will comply na fikra zako,Kinadada wakikataa watu mnaanza kurusha mawe kisa hamjafikia viwango..hahahah
Pleaseee etiii,unaenda nunua gazeti la udaku mwenyewe afu unasema habari ya kufumba macho??ts ur choice inatuonyesha jinsi ulivyo..so far honestly wanaume nloona wanasoma magazeti ya udaku ni wa vijiweni na saluni,..am sorry to say that...sijaona magazeti ya udaku maofisini wala kwa wanaume waliobusy na maisha yaoNdiyo hivo huwezi kufumba macho kwamba hili gazeti sitaki kuliangalia
Wewe pia sidhani km unamtakia mtu jema kwa 'generalized conclusions' kama hizi...ni aina flani ya kukariri maisha na kufosi wengine waishi km wewe hata km ur on the loosing end of life..huyo uliemtoa km case study unaweza shangaa Mungu akampa wake,Mungu si Athumani ujue...Kama hauko hivyo basi unawapotosha wenzako. Hutaki wafanikiwe.
Hata mungu akikupa kama hujui unalotaka nayo shida.Wewe pia sidhani km unamtakia mtu jema kwa 'generalized conclusions' kama hizi...ni aina flani ya kukariri maisha na kufosi wengine waishi km wewe hata km ur on the loosing end of life..huyo uliemtoa km case study unaweza shangaa Mungu akampa wake,Mungu si Athumani ujue...
Take that ushauri with u.... write it as your last will, and go hang yourself....Kwa bahati mbaya huwa nina allergy na wasichana wa type yako ambao mwisho wa siku failure is "part n parcel" ya maisha ya mahusiano. And therefore usitarajie kuwa mimi nawewe tunaweza kuelewana...therefore.......take your drama else where back to whatever "Chicken head" land you are from and await for your total self destruction.......
oooh halafu umesahau mimi sikukushauri......nilikuwa naongezea ushauri juu ya topic ambayo nahisi inakuhusu 100%.
Dont be mad at me coz you have just got served.
Una mke? Au u wouldn't dare the Goddess...[emoji14]Nina mke mwanangu ..., pole ... [emoji23]
Mtoa mada anawaonea huruma jinsi mnavyohangaika kutafuta mabwana wa kuwaoa mkishafikisha miaka 30 na kuendelea.Kuna ubaya gani leo mtu akawa hataki kuolewa na kesho akataka kuolewa? Wewe huwa hubadilishi misimamo na mitazamo katika maisha yako?
Na hao wadada unaodai 'umeshuhudia' walikufata wakakwambia walidanganyika na umri?
Halafu usiwasemee wanaume wengine, jisemee wewe.
Anatuonea huruma alituzaa?Mtoa mada anawaonea huruma jinsi mnavyohangaika kutafuta mabwana wa kuwaoa mkishafikisha miaka 30 na kuendelea.
Chief kuna tofauti ya povu na weak men ambao unadhani since mwanaume ni muoaji basi anaweza akaoa kila mwanamke thubutuuu...mwanaume ur trying to feel better kwa kumuweka mwanamke aonekane vibaya..pleasee,..wengine tukiwaambia muonyeshe wake zenu walivopaukaaa hahahah sijui km hata mmoja ataonyesha...mnaisoma kimoyomoyo,..Paradigm na Samcezar ...,
Hii topic ni ngumu sana kwa waathirika wa aina ya Snura ..., na ndio maana unaona mapovu humu ...
Hawa wakina dada wanaokasirika humu hawataweza kujifunza kitu toka kwa "waoaji" .., ambao ni wanaume ...
Sijui kwa nini watanzania walio wengi wana hii mentality.Chief kuna tofauti ya povu na weak men ambao unadhani since mwanaume ni muoaji basi anaweza akaoa kila mwanamke thubutuuu...mwanaume ur trying to feel better kwa kumuweka mwanamke aonekane vibaya..pleasee,..wengine tukiwaambia muonyeshe wake zenu walivopaukaaa hahahah sijui km hata mmoja ataonyesha...mnaisoma kimoyomoyo,..