Wasichana wanavyojidanganya wakiwa 20's

Wasichana wanavyojidanganya wakiwa 20's

Wewe mwanamke mwenye pesa na anayejua kutafuta huna pa kumpatia[emoji23] [emoji23]
Mimi sioi ili nimtegemee mwanamke kwa taarifa yako.......manzi yangu atavaa atajiremba atakula na ataendesha gari ambayo nimemnunulia na wala simnyanyasi mtoto wa watu maana nilipokutana naye first time hakunifanyia maringo wala dharau......na amenipa heshima ya utu kwa kunikubalia sasa why nimchukulie pouwa.
 
sana.....kwasababu kuna msichana alinifanyia mapozi halafu juzi juzi tu hapa ameanza kunizoea kwa kasi baada ya kuchemka huko alipokwenda maana amepigwa watoto wawili kila m'moja baba yake na wanaume wanamgonga tu wala hawana future naye tena.......

Sasa nikiona msichana kama wewe ambae unaonyesha wazi ndio unapevuka na unapitia mule mule basi unanitia hasira balaa nakuwa nakumbuka mitabia ya yule msichana na jinsi namna sasa hivi amekuwa mpole hana ujanja hata kidogo anatapatapa kama samaki kwenye ndoo
Kumbe umeshaonja joto la jiwe eh...pole.

Na utaendelea kuwekewa mapozi hivyo hivyo na kuachwa kila siku maana hujitambui
 
Mimi sioi ili nimtegemee mwanamke kwa taarifa yako.......manzi yangu atavaa atajiremba atakula na ataendesha gari ambayo nimemnunulia na wala simnyanyasi mtoto wa watu maana nilipokutana naye first time hakunifanyia maringo wala dharau......na amenipa heshima ya utu kwa kunikubalia sasa why nimchukulie pouwa.
Thubutuuu...ungekuwa na huo uwezo asingekuwekea mapozi na kukuacha
 
Kwanza, mtoto mzuri wa kike kujiita majina ya kujikweza .., kujiinua mbele ya jamii ..., ni kujizibia nafasi zako za maana ktk maisha ...
Kwa mfano, wewe unaitwa Jackline Semzaba .., halafu hujaolewa ..., eti unaanza kujipachika jina kama Jacky the Queen ...
Au unaitwa Reina Maharage ..., wewe ukajibatiza "Princess Rei"..., na kiukweli ni mzuri ..., kwa jina hili la "aka" utakua unatoa tahadhari kwa wanaume kuwa wewe ni mwanamke unayejikweza ..., unaringa na labda pia utakuwa na dharau ...

Rekebisheni hata hayo majina yenu ..., mara nyingi yanawaletea mikosi ...
Japo sijawahi na sitakuja tumia hizo nickname sijui aka as long as i used to use my real name but ulichokiongea hakina ukweli
 
Sio kujidanganya kila mtu ana plan zake alizojiwekea katika maisha yake.
Hilo hatukatai. Tunalosema plan zinashindwa kuwa realistic kwasababu ya timing. Hili ni tatizo kubwa. Halafu maisha hayarudi nyuma na ndiyo maana kuna muda ukipita unaweza kufanikisha unalolitaka lakini kwa ugumu sana au bahati.

Nikupe mfano binti amemaliza chuo na anasema hataki kuolewa mpaka apate masters na apate kazi. Sasa hili linaweza kumpelekea kupata shida ya kuolewa maana anapofanikisha hilo anakuta the right age wa kumuoa tayari wana wake zao ndani na wale ambao hawajaoa wanamuona ni mkubwa kwao. Sisemi hawezi kuolewa ila chance yake ya kuchagua inakuwa imepungua tofauti na siku za nyuma. Kwasababu kuolewa hakukuzuii kusoma masters au kupata kazi.

Kwahiyo tatizo ni kufikiri mpaka umalize kitu fulani halafu ndo uolewa wakati haya mambo yanaweza kwenda parallel na tumewaona ambao wameweza.

Wakati mwingine ni kutaka kuanza kula ujana. Siku unaposema inatosha unakuta unaowataka hawapo tena.
 
Mbona Diamond yupo na Zari amemkuta na watoto watatu
Pale Diamond anapita. Hawa watu wako kibiashara kama alivyokuwa na Wema, Jokate et al.

Na hili limekuwa tatizo la mabinti kuchukulia maisha ya wasanii na kuyaleta kwenye maisha wanayotaka. Na hapo wengi ndo wanaaza kuharibikiwa.
 
Kwanza, mtoto mzuri wa kike kujiita majina ya kujikweza .., kujiinua mbele ya jamii ..., ni kujizibia nafasi zako za maana ktk maisha ...
Kwa mfano, wewe unaitwa Jackline Semzaba .., halafu hujaolewa ..., eti unaanza kujipachika jina kama Jacky the Queen ...
Au unaitwa Reina Maharage ..., wewe ukajibatiza "Princess Rei"..., na kiukweli ni mzuri ..., kwa jina hili la "aka" utakua unatoa tahadhari kwa wanaume kuwa wewe ni mwanamke unayejikweza ..., unaringa na labda pia utakuwa na dharau ...

Rekebisheni hata hayo majina yenu ..., mara nyingi yanawaletea mikosi ...
Tena mwanaume mwenyewe kama ni wewe nitajiita 'Reina The Goddess' ili usinikaribie kabisa[emoji14]
 
Kila upande unamabaya yake.. Kuolewa sio kuishi kwa raha. And usingle mother ain't pia. Kuna waliolewa wanajuta and vise versa
 
[HASHTAG]#PARADIGM[/HASHTAG] ikiwa hivo poa tu but kuforce mambo wakati hauko willing kwa kuhofia timing it's immposible!
 
Tumezoea kusikia matamko kutoka kwa mabinti kama vike
kazi ndiyo mume wangu,
mume si lazima ninaweza kuzaa nikalea mwenyewe,
kuolewa siyo lazima,
kuishi single ndo maisha niliyoamua, n.k

Mi nafikiri wasichana wengi hudanganywa na umri kwamba walivyo wataendelea kuwa on demand ya wanaume na hivyo wakihitaji mume watampata. Ya nini kuwa chini ya mtu mwingine.Kumbe hawajui umri unavyosogea waliokuwa wakikupapatikia nao wanaendelea kupungua.

Wengine wameamua kuzaa aidha kwa bahati mbaya au kwa sababu nilizoeleza hapo awali. Lakini kauli ya "mwanaume nini bwana" imekuwa ikisikika sana vinywani mwao. Sasa sijui hutoa kauli za namna hiyo kwasababu ya kukosa, kuumizwa au kiukweli kutoka rohoni. Na wakishazalishwa watoto pengine zaidi ya mmoja utasikia wanatafuta mwanaume aliye BORA wakililia upweke.

Kilichonifanya niandike huu uzi ni case ya Snura ambayo iko kwenye gazeti la jana la Risasi. Nimeimbatanisha na uzi huu. Hili tatizo ni la Snura lakini naamini kwamba mawazo yake yanawakilisha wanawake walio wengi ambao wako kweny hali aliyo nayo. Swali ni je wanawake huwa wanajua kwamba haya matamko ni ya ujana? Je wanajua consequnces ya kuwa single mother pamoja na kwamba utakuwa unajiweza kiuchumi? Nimeleta hii labda inaweza kubadili mitizamo ya mabinti wengi wanaodanganywa na wakati bila kuona mbele wanapokwenda.

Unaweza kuwa na mawazo ya kutoolewa. Swali je hutakuwa na mwanaume wa kukutimizia haja zako? Kama unamhitaji utapandwa na wangapi? Maana itafika wakati kila mwanaume anayetaka anakuja kwako kama kipozeo.

Nimeiweka humu kwa maoni yenu wana jf ili isaide kupanua mawazo jinsi mahusiano tunavyoyachukulia.karibuni.View attachment 440211
Kiukwel hiyo industry ya ndoa inazidi kudolola kila kukicha. Tatizo kubwa ni kwamba wanaume hatutaki kuoa na wanawake kwa kuusoma upepo huo wakaanza kijinadi single mothers.

Ukitaka kwenda far zaidi, maadili tumeyaweka kando mno. Kila uozo wa kizungu tunataka kuuapply kwenye mahusiano yetu. Hapo ndo tatizo lilipoanzia, haki sawa, ladies first nk.

Me nijuavyo hii hali ni kama duara, tutazunguka wee itafikia point tutarudi tulipoanzia, and things will move on. Na vizaz vijavyo vitakoma kuiga upuuzi na vitatuchukulia sisi kama reference ya utumwa wa fikra.
 
Hilo hatukatai. Tunalosema plan zinashindwa kuwa realistic kwasababu ya timing. Hili ni tatizo kubwa. Halafu maisha hayarudi nyuma na ndiyo maana kuna muda ukipita unaweza kufanikisha unalolitaka lakini kwa ugumu sana au bahati.

Nikupe mfano binti amemaliza chuo na anasema hataki kuolewa mpaka apate masters na apate kazi. Sasa hili linaweza kumpelekea kupata shida ya kuolewa maana anapofanikisha hilo anakuta the right age wa kumuoa tayari wana wake zao ndani na wale ambao hawajaoa wanamuona ni mkubwa kwao. Sisemi hawezi kuolewa ila chance yake ya kuchagua inakuwa imepungua tofauti na siku za nyuma. Kwasababu kuolewa hakukuzuii kusoma masters au kupata kazi.

Kwahiyo tatizo ni kufikiri mpaka umalize kitu fulani halafu ndo uolewa wakati haya mambo yanaweza kwenda parallel na tumewaona ambao wameweza.

Wakati mwingine ni kutaka kuanza kula ujana. Siku unaposema inatosha unakuta unaowataka hawapo tena.
Sasa wewe hapo kinakuuma nini? Waache na matatizo yao...
 
Kila upande unamabaya yake.. Kuolewa sio kuishi kwa raha. And usingle mother ain't pia. Kuna waliolewa wanajuta and vise versa
Ni kweli madam ila target ya binadamu ni kuolewa na kuwa na familia. Mambo ya raha na karaha hayo ni matokeo ya baadae. Ila sina maana kwamba usijiridhishe na mwanaume anayetaka kukuoa. Hata hivyo huwezi justify kutoolewa kwasababu wengine wamepata shida. Kuna walio vizuri kwenye ndoa. Kwanini uanze kujifikiria kuwa kwenye kundi lililoshindwa na ufanye maamuzi kwa hicho kigezo?
 
Kila upande unamabaya yake.. Kuolewa sio kuishi kwa raha. And usingle mother ain't pia. Kuna waliolewa wanajuta and vise versa

Yes madam uko sahihi

tofauti kubwa ya mtoto wakike na wakiume

kuzaa kwa maana ya ubebaji mimba

Watoto wakike wajichunge sana nakale kakipindi ka u-crazy......uzuri na kujiona na kupapatikiwa......akipata ujauzito nitolee

Huwa naumia sana nionapo wamezalishwa nakutelekezwa.......no more marketable

Kwa wasomi wa muda mrefu akikumbuka waowaji wanamkimbia

Time is a critical factor for acurate decision otherwise no escape from crying for marriage .
 
Ni kweli madam ila target ya binadamu ni kuolewa na kuwa na familia. Mambo ya raha na karaha hayo ni matokeo ya baadae. Ila sina maana kwamba usijiridhishe na mwanaume anayetaka kukuoa. Hata hivyo huwezi justify kutoolewa kwasababu wengine wamepata shida. Kuna walio vizuri kwenye ndoa. Kwanini uanze kujifikiria kuwa kwenye kundi lililoshindwa na ufanye maamuzi kwa hicho kigezo?
kuna wenye sababu zao.. Genuine reasons! At the end kila mtu anahuru wakuchagua. Cha msingi ni kumake the right choice
 
Sasa wewe hapo kinakuuma nini? Waache na matatizo yao...
Hapa tunaelimishana. Wala hakuna linalo niuma maana mi siolewi. Lakni hapa inawezekana kuna ndugu yangu ambaye anaweza kujifunza kutokana na makosa ya wengine na akajiweka kwenye nafasi nzuri ya kufanikisha mambo yake. Kwa ambaye ameshaharibikiawa huenda hii post isimsaidie sana ma mwingine anaweza kujihisi yuko offended.
 
Japo sijawahi na sitakuja tumia hizo nickname sijui aka as long as i used to use my real name but ulichokiongea hakina ukweli
Wewe ni mwanamke au mwanaume? Alichokiongea Menyainganyi ni hisia za wanaume wengi. Nakumbuka kuna siku tulikuwa tunapiga stori mahali kuna mtu akasema huwa hakubali frendship kwenye mitandao ya jamii ya watu waliotumia aka hasa mabinti nikashangaa mbona ana wazo kama langu? Be watchful wanaume wanashea vingi.
 
Back
Top Bottom