Wasichana wanavyojidanganya wakiwa 20's

Wasichana wanavyojidanganya wakiwa 20's

Asikuumize kichwa mtu wa aina hii,mwanaume mzima anasoma gazeti la udaku/risasi n anakuja post his opinion hapa abt women.. Tena a generalized opinion,.. Ye km nani..
Mtoa mada grow up with the kind of readings you expose urself to kwanza.... Ukidhani some women are dreaming, kila siku people are actually achieving what they want in life..km mtu kakukataa hujafikia level zake jipange upya tu nadhani
Sory bt hata bellionares wengi unaowajua dunia wanatumia udaku kutajirika so inategemea unafatilia udaku kwa malengo gani
 
Nilipo wewe unapajua?

Wewe njoo nikuoe tu maana hakuna namna[emoji23]
Maelezo yako yananipa majibu mawili kuhusu ulipo.

1. Unaweza kuwa binti mdogo lakini njia ninayotoa angalizo ndo ulifokiri ni sahihi. Kwa maana nyingine unaona kama vile nakuvunja moyo.

2. Umepitia haya yote au baadhi ya niliyozungumza. Kwahiyo kuyarudia hapa naibua hisia za machungu uliyonayo.
 
Kwahio unataka kwny listi waweke kigezo cha mwanaume msoma magazeti ya udaku nini..haha SMH...Jiangalie kabla hujarushia mawe wengine
Wengine naweza kuwa nimewashika pabaya au nagusa interest zenu..nazidi kuwaomba samahani kama nimewagusa. Hapa sijaongelea ni.mwanaume wa namna gani wamtafute. Kama mi nasoma hayo magazeti na mtu si kigezo chake ruksa kunitosa. Ila ukweli wa hali halisi unabaki pale pale.
 
Maelezo yako yananipa majibu mawili kuhusu ulipo.

1. Unaweza kuwa binti mdogo lakini njia ninayotoa angalizo ndo ulifokiri ni sahihi. Kwa maana nyingine unaona kama vile nakuvunja moyo.

2. Umepitia haya yote au baadhi ya niliyozungumza. Kwahiyo kuyarudia hapa naibua hisia za machungu uliyonayo.
Tatizo unachosema sio ukweli wa mambo ulivyo. Unajiaminisha kuwa eti wanawake at 35 wanakuwa wanajuta, wako desperate na blah blah nyingi. Hizo ni hisia zako tu.

Wewe leo mfate huyo snura mwambie unataka kumuoa kama hatakutoa nduki...teh teh

Halafu mimi siko popote
 
Thubutuuu...ungekuwa na huo uwezo asingekuwekea mapozi na kukuacha
Sasa hiyo ni dalili kuwa unapenda ushindani ........na ubishi haunaga dawa ila kuacha kubishana tu......sasa wewe unadhani kila aliyepo hapa jamii forum ni mtoto.......mimi na maisha yangu. Hayo niliyosema yaliniumiza ni zilipendwa......for now nina mke na nina life ya kufocus.....sasa wewe unashauriwa unahisi sisi tunaokushauri ni watoto wenzako kaa hivyo hivyo kwani hasara kwangu au kwako?!
 
Tatizo unachosema sio ukweli wa mambo ulivyo. Unajiaminisha kuwa eti wanawake at 35 wanakuwa wanajuta, wako desperate na blah blah nyingi. Hizo ni hisia zako tu.

Wewe leo mfate huyo snura mwambie unataka kumuoa kama hatakutoa nduki...teh teh

Halafu mimi siko popote
Kwani Snura anaolewa na mwanaume wa namna gani. Na kama anawapata wa kumuoa kwanini alalamikie upweke. Angekuwa yuko juu basi angeshawapata. Wengi anaowapata ni hit and run, na hao hawakosi kwa mwanamke yeyote kama anataka.
 
Unajua snura kaolewa mara ngapi wewe?

Na unajua kaachana vipi na hao wanaume?

Kama hujui nyamaza
 
Alafu single mother wanaongoza kwa kuchukia kila saa na umbea na kujifanya wacha Mungu
Wengi wanasumbuliwa na upweke. Hata kama una mtoto bado dushe unahitaji. Sasa kutokuwa na lako rasmi ni shida. Leo uko na John, Kesho Hamisi ma hujui keshokutwa ni nani! Wanajiskia vibaya wakitoka kwenye hafla amabapo wanawake wenzao wameambatana na waume zao. Wasikudanganye kwamba hawajali, huwa wanaumia sana. Wakati mwingine hugharimika kupata vijana wadogo ambao huchukua hizo pesa kuwapatia mabinti wengine.
 
Sasa hiyo ni dalili kuwa unapenda ushindani ........na ubishi haunaga dawa ila kuacha kubishana tu......sasa wewe unadhani kila aliyepo hapa jamii forum ni mtoto.......mimi na maisha yangu. Hayo niliyosema yaliniumiza ni zilipendwa......for now nina mke na nina life ya kufocus.....sasa wewe unashauriwa unahisi sisi tunaokushauri ni watoto wenzako kaa hivyo hivyo kwani hasara kwangu au kwako?!
Wewe ndo wa kunishauri mimi?

Acha utani wewe....
 
Nimewaona wakihangaika kutafuta wanaume, kama Snura huoni anasema mwenyewe. Samahani kama na wewe ni mhanga wa hii hali maana inaweza isikupendeze. Wanaume wengi hawapendi wakuooe tayari una watoto wawili. Siyo mimi tu. Uliza humu ndani utapata jibu kama unafikiri ni mawazo yangu tu.
true bhn..mi cna ht mtt mmoja afu nije nikuuoe ww unawatt wawil dah..na life lenyewe ili ..
 
Kweli utahudumia watoto ai wako na mwisho wa siku hawawezi kukuthamini kama baba yao ingawa hakuwalea.

Halafu mkipishana kauli na mama yao hawawezi kuwa upande wako. Ni hatari nakwambia.
 
Wengine naweza kuwa nimewashika pabaya au nagusa interest zenu..nazidi kuwaomba samahani kama nimewagusa. Hapa sijaongelea ni.mwanaume wa namna gani wamtafute. Kama mi nasoma hayo magazeti na mtu si kigezo chake ruksa kunitosa. Ila ukweli wa hali halisi unabaki pale pale.
Hahahha usibadili mada..ila mwanaume msoma magazeti ya udaku, aiseeee....mwanaume unafatilia habari za Snura,umekua mwenyekiti wa shilawadu wewe?no wonder una akili km hizi unazopost hapa...
 
Hata kama nina akili kama hizi haiodoi ukweli wa mambo.
 
Sasa kama weww si haya mambo shilawadu umeijuaje na jinsi content zake zilivyo?
 
Hata kama nina akili kama hizi haiodoi ukweli wa mambo.
Mwanaume unaejaribu kugain confidence kwa kumshusha mwanamke, SMH...kapambane na wanaume wenzio km we mwanaume wa shoka...bas tu mitandao hii watu u have the nerves za kupost vichekesho..kuna watu tukiwaona in real life sijui km mtaweza hata kuongea...hapo ulipo ukute mtu huna mbelee wa nyumaaa af Unashauri watu,
 
Back
Top Bottom