Wasichana wanavyojidanganya wakiwa 20's

Wasichana wanavyojidanganya wakiwa 20's

Uyo ni snura acheni habar zakuunganisha matukio,ndoa nimipango ya Mungu hakuna mwanamke anaeweza lazimisha aolewe na vilevile wapo wasio kuwa na watoto/mtoto nampaka leo hawajaolewa na umri wao umekwenda......sasa nao mtawaweka upande upi!!!!.
unaonekana kama unatetea ujinga hivi halafu unajitoa ufahamu kidesign......
 
Hii mada kwa haraka haraka nikama jamaa anawashambulia akina dada.

Huyu bwana kaongea mambo makubwa na muhimu sana katika jamii hususani kwa dada zetu, tuchukulie positively.

Kaongea ukweli 100% kila jambo nawakati wake....mdharau mwiba mguu huota tende.

1. Nikweli wadada hupendeza sana na kung'ara kwa muda flani tu....baada ya hapo hufubaa na waoawaji humkwepa

2. Nikweli waowaji hupenda rika maalum la akina dada nje ya hapo ni ubabaishaji nikukimbiwa au kudanganywa tu.

3. Haijalishi wazee kwa vijana, wanaume huvutiwa zaidi na watoto wachanga wa kike 20 - 25yrs......kidogo to 30yrs

4. Nikweli kabisa msichana akitumika vibaya kwenye muda wake wa mng'aro....imekula kwake. Ndoa ataitafuta kwa tochi.

5. Niwazi na kweli kabisa 100% anaye - determine ndoa nimwanaume
-Anachagua
-Anatongoza
-Anatoa pendekezo
.....makubaliono ya ndoa yanaafikiwa

kwa maana hiyo mwanaume ananafasi yakupata atakacho hata uzeeni mfano mzee wa numberi one kiricho bora kabisa kaoa miss......je bikizee anaweza kuchagua au kununu kijana ambaye nikuzuga pembeni anakimbizana na wenzake?

Wadada chukuweni hii changamoto, fanyeni maamuzi sahihi wakati muafaka....mkizeeka mtabaki kulialia na kuugulia machungu.
 
Ndo maana nikakuuliza kuna tatizo kwani? Snura kulia upweke na kutaka mwanaume kuna ubaya gani?
sio kitu cha kawaida ukizingatia wanawake wa sasa wanajidekeza sana wanapenda maringo yasiyo na tija na pia wanapenda kushobokea watu kwa vigezo ambavyo kiuhalisia ni aibu kuvitumia kutafutia mwenza........
 
Kama unalijua hilo basi acha kufatilia maisha ya wanawake, acha kuwahukumu, acha waishi maisha wanayoyaona yanawafaa.

Wewe tafuta bikra uoe....it's a win win
wewe unaonyesha ndio zile.sampuli pasua kichwa.......kuendekeza ushindani as if umejiumba......nonsense kabisa........kwani wewe ninikinachokuamshia hizo hisia za kupanic pale wanawake wanapochambuliwa.......simply ni kwamba unaunga mkono upumbavu.mnaofanya.......grow up......fuata misingi ya jamii ya kiafrika huo uzungu wa kina kim kardashian hukooooooo kwenye t.v....hapa utaishi kwa cultureza kiafrika period........sipendi mijanamke mijuaji halafu mibishi
 
Mbona Diamond yupo na Zari amemkuta na watoto watatu
Zari anapesa.....we hujiulizi kwanini diamond kawaacha mademu kama akina penny......ambao hawana watoto na bado wadogo akamuoe mtu aliyempiga gepu la umri plus anawatoto......jibu ni simple mwanamke anapesa na anajua kutafuta hata.mimi ningemkubali awe wangu.
 
Hii mada kwa haraka haraka nikama jamaa anawashambulia akina dada.

Huyu bwana kaongea mambo makubwa na muhimu sana katika jamii hususani kwa dada zetu, tuchukulie positively.

Kaongea ukweli 100% kila jambo nawakati wake....mdharau mwiba mguu huota tende.

1. Nikweli wadada hupendeza sana na kung'ara kwa muda flani tu....baada ya hapo hufubaa na waoawaji humkwepa

2. Nikweli waowaji hupenda rika maalum la akina dada nje ya hapo ni ubabaishaji nikukimbiwa au kudanganywa tu.

3. Haijalishi wazee kwa vijana, wanaume huvutiwa zaidi na watoto wachanga wa kike 20 - 25yrs......kidogo to 30yrs

4. Nikweli kabisa msichana akitumika vibaya kwenye muda wake wa mng'aro....imekula kwake. Ndoa ataitafuta kwa tochi.

5. Niwazi na kweli kabisa 100% anaye - determine ndoa nimwanaume
-Anachagua
-Anatongoza
-Anatoa pendekezo
.....makubaliono ya ndoa yanaafikiwa

kwa maana hiyo mwanaume ananafasi yakupata atakacho hata uzeeni mfano mzee wa numberi one kiricho bora kabisa kaoa miss......je bikizee anaweza kuchagua au kununu kijana ambaye nikuzuga pembeni anakimbizana na wenzake?

Wadada chukuweni hii changamoto, fanyeni maamuzi sahihi wakati muafaka....mkizeeka mtabaki kulialia na kuugulia machungu.
Umeongea point nzito sana wasipokuelewa ni viburi vyao tu wanaviendekeza.....
 
Asikuumize kichwa mtu wa aina hii,mwanaume mzima anasoma gazeti la udaku/risasi n anakuja post his opinion hapa abt women.. Tena a generalized opinion,.. Ye km nani..
Mtoa mada grow up with the kind of readings you expose urself to kwanza.... Ukidhani some women are dreaming, kila siku people are actually achieving what they want in life..km mtu kakukataa hujafikia level zake jipange upya tu nadhani
Naomba niweke wazi mi sitafuti mke maana ninaye na watoto.

Pili kusoma gazeti la udaku hakuna ubaya maana yaliyomo ndiyo haya maisha ya mitaani. Labda uniambie una dunia yako unayoishi. Pamoja na hata ingekuwa daily news mwisho wa siku analysis na kuamini kilichomo kwenye gazeti ni juu yako.

Hii nimeleta kama mchango wa kuwapa mwanga mabinti kuelewa dunia ilivyo maana mabinti wengi wanependa kuishi maisha ya hao wasanii wanaowaona kwenye filamu. Ndiyo maana mwenzako unayemtetea mpaka sasa haoni madhara ya kuzaa watoto wawili na baba tofauti kwanza halafu ndo aolewe.
 
Nimewaona wakihangaika kutafuta wanaume, kama Snura huoni anasema mwenyewe. Samahani kama na wewe ni mhanga wa hii hali maana inaweza isikupendeze. Wanaume wengi hawapendi wakuooe tayari una watoto wawili. Siyo mimi tu. Uliza humu ndani utapata jibu kama unafikiri ni mawazo yangu tu.
[emoji23] [emoji23]
 
kiukwel wadada wengi wanakosea sn timing mim ninayo mifano hai kama wadada wa4 hivi wanatafuta wakuwaoa kwa tochi lkn hapo awali walikuwa wananata na kukataa ndoa......wa3 kati yao wamenipa jukum lakuwatafutia waume.very sad
 
Unenusaidia kujibu baadhi ya maswali ninaorushiwa humu.
 
Zari anapesa.....we hujiulizi kwanini diamond kawaacha mademu kama akina penny......ambao hawana watoto na bado wadogo akamuoe mtu aliyempiga gepu la umri plus anawatoto......jibu ni simple mwanamke anapesa na anajua kutafuta hata.mimi ningemkubali awe wangu.
Wewe mwanamke mwenye pesa na anayejua kutafuta huna pa kumpatia[emoji23] [emoji23]
 
Waache waringe. Inakuuma kwani?
sana.....kwasababu kuna msichana alinifanyia mapozi halafu juzi juzi tu hapa ameanza kunizoea kwa kasi baada ya kuchemka huko alipokwenda maana amepigwa watoto wawili kila m'moja baba yake na wanaume wanamgonga tu wala hawana future naye tena.......

Sasa nikiona msichana kama wewe ambae unaonyesha wazi ndio unapevuka na unapitia mule mule basi unanitia hasira balaa nakuwa nakumbuka mitabia ya yule msichana na jinsi namna sasa hivi amekuwa mpole hana ujanja hata kidogo anatapatapa kama samaki kwenye ndoo
 
Kwanza, mtoto mzuri wa kike kujiita majina ya kujikweza .., kujiinua mbele ya jamii ..., ni kujizibia nafasi zako za maana ktk maisha ...
Kwa mfano, wewe unaitwa Jackline Semzaba .., halafu hujaolewa ..., eti unaanza kujipachika jina kama Jacky the Queen ...
Au unaitwa Reina Maharage ..., wewe ukajibatiza "Princess Rei"..., na kiukweli ni mzuri ..., kwa jina hili la "aka" utakua unatoa tahadhari kwa wanaume kuwa wewe ni mwanamke unayejikweza ..., unaringa na labda pia utakuwa na dharau ...

Rekebisheni hata hayo majina yenu ..., mara nyingi yanawaletea mikosi ...
 
Wakiwa na umri wa usichana wanapenda kuwa huru kwenye mapenzi.
Unajua wanatongozwa sana,na wafikiri kila anayemtongoza anampenda na kwamba mwanaume ataweka kituo cha kufumu,kumbe wengi wanapenda kula tunda.
Shida ni pale mtoto wa kike akishika pesa,anaona hana haja ya kuongelewa kwani pesa ipo na akitaka penzi anajilengesha kwa amtakaye kutokana na ile orodha ya waliomtongoza!!!
Kumbe wanaume wa ndoa ni zaidi ya mapenzi ya 'masharobaro' na 'masupastaa' !
 
Back
Top Bottom