Sijui kwa nini watanzania walio wengi wana hii mentality.
Yani wanadhani mwanamke hana maamuzi yoyote linapokuja swala la mahusiano na ndoa.
Na tunapojaribu kuwaelewesha kuwa wamepotoka, hawatuelewi, wanasema ni povu[emoji23]
Inasikitisha....
Wanaume?
Nani anaoa...... au nini maana ya kuolewa?
mila na desturi zetu ndo tuzilaumu maana kuoa sanasana kunaanzia kwa Mume sio kwa mke. Hili haliwezi kuwa reversible.