Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 13,096
- 12,106
Haya endelea na kuuza, umri ukienda akili itarudi.
Anatuonea huruma alituzaaalitQUOTE?
Anatuonea huruma alituzaaalitQUOTE?
Wako wanaume wengi tu wako tayari kuoa wanakataliwa.. lakini baadhi ya wanajamii wanapenda kumulika jinsia moja tu.,Sijui kwa nini watanzania walio wengi wana hii mentality.
Yani wanadhani mwanamke hana maamuzi yoyote linapokuja swala la mahusiano na ndoa.
Na tunapojaribu kuwaelewesha kuwa wamepotoka, hawatuelewi, wanasema ni povu[emoji23]
Inasikitisha....
Nitafutie watejaHaya endelea na kuuza, umri ukienda akili itarudi.
Hapo sasa.Wako wanaume wengi tu wako tayari kuoa wanakataliwa.. lakini baadhi ya wanajamii wanapenda kumulika jinsia moja tu.,
Aaaaaah we kwenda zako kulee kafie mbele ya safari maisha yako ni yako hayanihusu.Take that ushauri with u.... write it as your last will, and go hang yourself....
Nawaonea huruma watoto wenu wa kikeSizitaku mbivu hizi!
Kuna wanafunzi wa chuo kikuu,anaahidi kuolewa na flani,akimaliza chuo anamwacha mwanaume!
Hiyo dhambi inawarudiaga wakiwa 30s'
Kama maisha yangu hayakuhusu ulikuwa unatoa ushauri wa nini?Aaaaaah we kwenda zako kulee kafie mbele ya safari maisha yako ni yako hayanihusu.
Hivi ndivyo mnavyodanganyana.Mtu kajiolea kamke ka hovyooo bas anakuja na ye anapromote watt wa watu wajiunge kwenye huo uovyoo kwa gia ya mabinti wanajidanganya haha some men mnachekesha sanaa jmn...
Goooooooood go awaaaaay witch daaaaamn.......geeeez[emoji31] [emoji35]Kama maisha yangu hayakuhusu ulikuwa unatoa ushauri wa nini?
I'm going nowhere...Goooooooood go awaaaaay witch daaaaamn.......geeeez[emoji31] [emoji35]
You either agree or disagree with the motion...Kwani kuna upande gani na upande gani?
Unfounded conclusions... Ni wazi kwny jamii kila mtu anaoa/kuolewa ktk umri tofauti, kutangulia sio kufika, na hakumaanishi anaechelewa si bora kuliko anaewahi,ni setting tu ya maisha iko hivo.. Wewe kutoa speech hapa haibadili chochote kwny destiny ya mtu...awe wa kike /wa kiumeHivi ndivyo mnavyodanganyana.
Hao wanaume za watu mnaowadandia hawawezi kuwaoweni.
Mkishafikisha miaka 30 mnaanza kutiatia huruma.
Hata mimi nimeliona hilo. ThanksParadigm na Samcezar ...,
Hii topic ni ngumu sana kwa waathirika wa aina ya Snura ..., na ndio maana unaona mapovu humu ...
Hawa wakina dada wanaokasirika humu hawataweza kujifunza kitu toka kwa "waoaji" .., ambao ni wanaume ...
Nimefurahi. Ningekuwa nakujua ungethibitisha kama unalosema ni kweli!Mtu kajiolea kamke ka hovyooo bas anakuja na ye anapromote watt wa watu wajiunge kwenye huo uovyoo kwa gia ya mabinti wanajidanganya haha some men mnachekesha sanaa jmn...
Msoma magazeti ya udaku,I can imagine the woman u married...Nimefurahi. Ningekuwa nakujua ungethibitisha kama unalosema ni kweli!