Wasichana wanavyojidanganya wakiwa 20's

Wasichana wanavyojidanganya wakiwa 20's

Anatafuta mume bora ???nani akale mabaki????si ajabu ukakuta kila mtoto ana baba yake!!!
Ila snura si bado ana miaka 24 ,atapata tu
Hata kama ni mdogo, inapendeza kama inaolewa wewe siyo na watoto wawili.
 
Uyo ni snura acheni habar zakuunganisha matukio,ndoa nimipango ya Mungu hakuna mwanamke anaeweza lazimisha aolewe na vilevile wapo wasio kuwa na watoto/mtoto nampaka leo hawajaolewa na umri wao umekwenda......sasa nao mtawaweka upande upi!!!!.
 
Nimewaona wakihangaika kutafuta wanaume, kama Snura huoni anasema mwenyewe. Samahani kama na wewe ni mhanga wa hii hali maana inaweza isikupendeze. Wanaume wengi hawapendi wakuooe tayari una watoto wawili. Siyo mimi tu. Uliza humu ndani utapata jibu kama unafikiri ni mawazo yangu tu.
Ndo maana nikakuuliza kuna tatizo kwani? Snura kulia upweke na kutaka mwanaume kuna ubaya gani?
 
Hakuna ubaya ila tunaongelea sababu kubwa iliyopelekea kuwa katika hali hiyo. Kwamba binti mna nafasi ya kujifunza toka kwa waliowatangulia
 
Uyo ni snura acheni habar zakuunganisha matukio,ndoa nimipango ya Mungu hakuna mwanamke anaeweza lazimisha aolewe na vilevile wapo wasio kuwa na watoto/mtoto nampaka leo hawajaolewa na umri wao umekwenda......sasa nao mtawaweka upande upi!!!!.
Ambao hawajaolewa mara nyingi wana vigezo vya wanaume ambao hawako duniani. Labda watakutana nao ahela. Kwa kawaida mwanamke hawezi kukosa mme ila jinsi alivyojiweka juu na wanaume kuwaacha chini.
 
Inakera sana vile watanzania tunayachukulia maisha
Asikuumize kichwa mtu wa aina hii,mwanaume mzima anasoma gazeti la udaku/risasi n anakuja post his opinion hapa abt women.. Tena a generalized opinion,.. Ye km nani..
Mtoa mada grow up with the kind of readings you expose urself to kwanza.... Ukidhani some women are dreaming, kila siku people are actually achieving what they want in life..km mtu kakukataa hujafikia level zake jipange upya tu nadhani
 
Ambao hawajaolewa mara nyingi wana vigezo vya wanaume ambao hawako duniani. Labda watakutana nao ahela. Kwa kawaida mwanamke hawezi kukosa mme ila jinsi alivyojiweka juu na wanaume kuwaacha chini.
Kwahio unataka kwny listi waweke kigezo cha mwanaume msoma magazeti ya udaku nini..haha SMH...Jiangalie kabla hujarushia mawe wengine
 
Wanawake wanafikiria Kwa asilimia kubwa kutokana na hca zao za mda ,mazingira na nyakat huchelewa kujua usahihi wa maisha mapema
Hata mi nimeona hili tatizo la timing linawasumbua sana. Kuna wakati msichana anakuwa peak na wachumba wengi ila hili hushindwa kujua ndo muda wake. Baadae huja kujilaumu. Linalonishanganza hili hata uongee namna gani wataona kama porojo mpaka siku yuko kwenye hali ya kutaka kurudi nyuma lakini anajikuta hawezi. Najiuliza kwanini huwa huwajifunzi kutoka kwa wenzao waliowatangulia mpaka usubiri yakukute?
 
Asikuumize kichwa mtu wa aina hii,mwanaume mzima anasoma gazeti la udaku/risasi n anakuja post his opinion hapa abt women.. Tena a generalized opinion,.. Ye km nani..
Mtoa mada grow up with the kind of readings you expose urself to kwanza.... Ukidhani some women are dreaming, kila siku people are actually achieving what they want in life..km mtu kakukataa hujafikia level zake jipange upya tu nadhani
Ndo wanaume wetu hawa. Kaazi kweli kweli
 
Kuna ubaya gani leo mtu akawa hataki kuolewa na kesho akataka kuolewa? Wewe huwa hubadilishi misimamo na mitazamo katika maisha yako?

Na hao wadada unaodai 'umeshuhudia' walikufata wakakwambia walidanganyika na umri?

Halafu usiwasemee wanaume wengine, jisemee wewe.
Single mother kapanic ameguswa na somo .....
 
Nimewaona wakihangaika kutafuta wanaume, kama Snura huoni anasema mwenyewe. Samahani kama na wewe ni mhanga wa hii hali maana inaweza isikupendeze. Wanaume wengi hawapendi wakuooe tayari una watoto wawili. Siyo mimi tu. Uliza humu ndani utapata jibu kama unafikiri ni mawazo yangu tu.
huyu hii mada inamuhusu ndio maana kawaka
 
Back
Top Bottom