Wasichana: Jisafisheni miili yenu mnatia aibu

Unamkuta msichana anataka umnyonye kitovu au uingize ulimi kwenye kitovu, cha ajabu kitovu kina ukoko wa sabuni na ukurutu ambapo unaweza jaza kisado, wanawake Mungu anawaona mjue.
 
Hiyo ya wanaonuka chini mbona wengine ukipishana nao unasikia kutaka kutapika.

Hawataki kujichokonoa huko chini na vidole.

Wanakojoa vi tissue dry wanamaliza hao, hawajui kwamba vijikojo vimebaki vitazua balaaa. Bora kata wa wet tissue wajipanguse.

Also baby wipes nzuri kwa haja ndogo na kubwa.

Wanawake mbebe au wanaume muwashauri wenu, inasaidia mti aendapo pale hamna maji au niseme outing, shopping etc na kutumia vyoo huko.

Waambieni kupaka marashi kufukia uchafu ni janga.

Ukimpenda mwanamke mfunze usafi usione aibu, mapenzi ni kujuzana mazuri na mabaya.

Mpanue miguu mkiwa mnaoga mjichokonoe kujisafisha.
 
Hawa ambao wako hivyo wengi ni wale wenye muonekano mzuri wa nje,mimi harufu tu ya prawns jamani inanikera,wale wazuri papuchi ziko kama ferry soko la samaki ukiwavua pichu,sijui wenyewe wanasema ukiosha sana unapata cancer basi akivua pichu utadhani ni soksi au viatu vinanuka,swali ni,hivi wakikuvulia huwa hawajui wanatoa hyo harufu au wao wameizowea?
Ya hili kweli nitatizo tena unamkuta binti mzuri nje nenda game uone sasa najiuliza hivinikweli huwa wao wenyewe hawajijui au mana kumwambia naona aweza jisikia vibaya je hili sio ugonjwa na kamaniugonjwa tibayake inapatikana.
 
Usafi ni kwa jinsi zote... Hakuna uchafu wa nafuu au afadhali.. Uchafu siyo tu hukera mwenza na jamii bali pia hukusababishia mwenyewe magonjwa ambayo hata ukienda hospitalini doctor anakushangaa...


Cha muhimu mwanaume anapokumbuana na mwanamke wa hali hiyo... Ni vyema ukajiongeza na kuanza kumshughulikia ili nae abadailike awe vile unavyotaka aonekane...


Kumsema na kumuelezea haitosaidia kama hana huwezo wa kufanya hivyo utakavyo... Jiongezee kidogo mletee vitu, mapambo, mpe pesa ajitunze vyema...
 
Ya hili kweli nitatizo tena unamkuta binti mzuri nje nenda game uone sasa najiuliza hivinikweli huwa wao wenyewe hawajijui au mana kumwambia naona aweza jisikia vibaya je hili sio ugonjwa na kamaniugonjwa tibayake inapatikana.
Waambieni mm nimesema nimeishia kutukanwa tu mkuu
 
1. Acha uzinzi, maana inaonekana umefanya research ya kutosha. Pia una bahati na wasichana wachafu.

2. Uchafu hauna jinsia. Na sisi tukikuhadithia tunayokutana nayo kwa wanaume wenzako ni zaidi ya hayo uliyoyaandika.

3. Kama ukimpenda mtu mchafu unaweza kumbadilisha awe msafi. Mpe elimu tu.
 
Ila kuna ambao usafi na wao mbali mbali kabisa... Kauzembe flan natural
Kama mchafu si umtakatishe kuliko kashfa, tukianza kuongelea suala la nani mchafu nani msafi si tutajaza Server humu.....

Mwanamke yoyote ni mama wa mwenzio sasa sijui kama utapenda kuona mzazi wako akidhalilishwa na kukashifiwa.
 
Mmeona wanawake tu nyie wachafu km nini unakutana na mwanaume kavaa mlegezo boxer lichafu liko kaa tambara deki anavyo nuka sasa utafikiri gari LA taka limefika,,, sasa anavyoringa utafikiri mwanamke bikra, UJUMBE KWETU UMEFIKA HATA NINYI NIWACHAFU KUPINDUKIA MNAJUA KUVAA NGUO SAFI LKN KUOGA HAMUWEZI MKIVUA NGUO MNARAMANI ZA UCHAFU KM SAMAKI WA MAJI CHUMVI, LOO WOTE WACHAFU WANAWAKE NA NYIE TENA MJIREKEBISHE HUKO KWENYE BUSTANI YA EDENI KUNA NYASI NYINGI MPK ZIMEBADILIKA RANGI NAKUA BROWN KM MPUNGA ULIO TAYARI KWA KUVUNWA YANI PMK DUSHE HAIONEKANI TENA NDIYO UKUTE KIBAMIA LOO MNATIA KINYAA we ukimkuta mwenzio mchafu mwambie na siyo kutujumuisha na sisi tusio uhusika MSJ SENT,,, KM unajibu nifate pm
 
Nywele za puani zinanyolewa?! Nsaidie me mshamba...
Kutokunyoa nywele za makwapani na sehem za siri,mwanzo wa kunuka shombo!

Zinapunguzwa mamy Na za maskioni pia kama una nywele nyingi kudude ni hiki cha bro me moga lol
0d761e1917703f814c4450d8bbeb5342.jpg
 
Back
Top Bottom