Wasichana: Jisafisheni miili yenu mnatia aibu

Umeanza uchokonoaji wa ndoa za watu, watu kama nyie hamna tofauti na waganga wa kienyeji mnataka kujulikana na kila mtu "eti unijuwi..." Sasa una nini la maana ikiwa kichwani tu yaonyesha u Mweupeee kama unga wa ngano unamung'uka kulingana na matakwa ya mkandaji

Sawa ila ujumbe si umeuelewa lakini?
 
Aaah mika 4 mmh mimi miaka 13 tena kichakani huko na wamasai ndo laha ya kukaa mjin sasa cc huku vjijini shiida sana Ufyekwa kama kuku tu likubwa unakamatwa kama mbuzi haa!!
Daah poleni aisee mm hata sikumbuki ilivyokua rangu yake
 
Mimi huwa nakereka unakuta shosti.kwa nje mzurii/mremboooo ila 'mashine' yake hovyoooo kabisa.
Unagedua huku unaombea 'wazungu' waje haraka uachane na 'mkosi'
 
Nadhani boys/men wenzangu mtakua shahidi kwa haya mambo juu ya hawa wasicha.

>> Unakuta msicha kajipamba kapambika/ Kajiremba karembeka boy unamtokea unavuta mzigo getoni, baada ya kutaka kuanza ligi ndogo sasa duuh!!! Unakuta kule in the earth crust/wizara ya mariasili na utalii bin papuchilo panatoa harufu zaidi ya choo cha stendi ya huku kwetu kolomije. Au unakuta magma/ ujiuji fulani kama mtoto katapikia.

>> msichana unamkuta ana meno meupe kuliko hata ya nyau na tu lips twa kuvutia kunywa kile kinywaji pendwa lakini mdomo unatoa harufu mbaya kama kaficha pedi ya mtoto ndani au katafuna kinyesi.

>> Msichana mrembo lakini sasa ukimkagua masikioni unakuta sikio lipo kama mzinga wa asali, uchafu uchafu ukipakua unajaza magaloni.

>> Unakuta msichana mrembo lakini sasa ana Ampit hair kama nywele zangu za kichwani. Muwe mnanyoa banaaa.

>> Msichana unakuta ana pabic hair kwenye wizara ya maliasili na utalii kama ndevu za Osama basi unakuta bajaji na Teksi (kunguni na chawa) zimejazana huko utadhani vitanda vya gesti zetu huku Ntatilyabashashi.

{> Binti unamkuta miguu imempasuka kama matuta ya viazi mbatata hata akikukanyaga anakuachia Tatooo.

>> Msichana unakuta ana nywele za mapuani kama babu kifimbo cheza na hata aibu hana.

>> msichana muda wote yy anatongo tongo kama kifaranga cha ndege na hata hazitoi sijui hua mnazila.

Daah wasichana mnaboa sana jirekebiseheni bwanaaaa.
Kama Boys mlishawahi kukutana na hivyo vitu kwa msichana yoyote Gonga like mazee.

Wasichana povu ruksa kutoa hata la gwanji poa tu.
By Mwenyeji kutoka Twitter na Fesibuku.
Van Ray van Boy mtu mbaya
Mzinga wa asali.. toba..
 
Si kweli bana hata kama kuna demu umekutana nae hajafikia hizo sifa ulizotoa dogo, hiyo sifa ni ya majalala tena kibira slum kule Kenya, besides kama umekutana na mwanamke mchafu japo hafikii hapo mrekebishe tu ndio mubashara sio kuja tenda zambi isiyo ya lazima kwa ku expose issue yake hapa wanasema bora mmbea kuliko mnafiki mkuu
 
Duu, ni kweli hua tunaumizwa kwa kukatwa/kupalazwa na hizo pubic hair zinazozunguka mashavu ya papu wakati unafanya maujanja kabla ya shoo kamili
 
Back
Top Bottom