Wasichana: Jisafisheni miili yenu mnatia aibu

Kama mchafu si umtakatishe kuliko kashfa, tukianza kuongelea suala la nani mchafu nani msafi si tutajaza Server humu.....

Mwanamke yoyote ni mama wa mwenzio sasa sijui kama utapenda kuona mzazi wako akidhalilishwa na kukashifiwa.
S kuna wanaojiita WCB huoni wanatukashfu.
 
Ukishaamua kutembea na visichana Uwe mvumilivu Tu! Sie wengine tushahama hilo rika kitambo....Nawapenda sana wanawake kuliko wasichana.
 
Nadhani boys/men wenzangu mtakua shahidi kwa haya mambo juu ya hawa wasicha.

>> Unakuta msicha kajipamba kapambika/ Kajiremba karembeka boy unamtokea unavuta mzigo getoni, baada ya kutaka kuanza ligi ndogo sasa duuh!!! Unakuta kule in the earth crust/wizara ya mariasili na utalii bin papuchilo panatoa harufu zaidi ya choo cha stendi ya huku kwetu kolomije. Au unakuta magma/ ujiuji fulani kama mtoto katapikia.

>> msichana unamkuta ana meno meupe kuliko hata ya nyau na tu lips twa kuvutia kunywa kile kinywaji pendwa lakini mdomo unatoa harufu mbaya kama kaficha pedi ya mtoto ndani au katafuna kinyesi.

>> Msichana mrembo lakini sasa ukimkagua masikioni unakuta sikio lipo kama mzinga wa asali, uchafu uchafu ukipakua unajaza magaloni.

>> Unakuta msichana mrembo lakini sasa ana Ampit hair kama nywele zangu za kichwani. Muwe mnanyoa banaaa.

>> Msichana unakuta ana pabic hair kwenye wizara ya maliasili na utalii kama ndevu za Osama basi unakuta bajaji na Teksi (kunguni na chawa) zimejazana huko utadhani vitanda vya gesti zetu huku Ntatilyabashashi.

{> Binti unamkuta miguu imempasuka kama matuta ya viazi mbatata hata akikukanyaga anakuachia Tatooo.

>> Msichana unakuta ana nywele za mapuani kama babu kifimbo cheza na hata aibu hana.

>> msichana muda wote yy anatongo tongo kama kifaranga cha ndege na hata hazitoi sijui hua mnazila.

Daah wasichana mnaboa sana jirekebiseheni bwanaaaa.
Kama Boys mlishawahi kukutana na hivyo vitu kwa msichana yoyote Gonga like mazee.

Wasichana povu ruksa kutoa hata la gwanji poa tu.
By Mwenyeji kutoka Twitter na Fesibuku.
Van Ray van Boy mtu mbaya

Mmh tukianza kutoa na madhaifunyenu nadhani makubwa kuliko haya
 
jamaa ana malani mabaya sijapata kukutana nayo uwe unaweka kapicha hata kadunchu kama kievidensi kama ulisahau kufoto picha kwakuwa muhusika yupo humu weka id yake utakuwa umemsaidia atabadilika.... na mimi ninayependa misitu nijue pakuenda...

kwa malani haya haukumtoa hata na buku uongo?
 
Back
Top Bottom