Tukikutana na wanaume huwa often tunaangalia pochi, kazi, sura ya kiume nk, tunasahau kabisa kigezo cha uzuri/Uhandsome matokeo yake ni kuzaa watoto wenye features/wasifu wenye mushkeli kidogo and as a result wanaishia kuwa bullied na kuwaondolea kujiamini.
Wasichana tuna haki ya kuchagua watu wenye wasifu kama wanaume wanavyotuchagua kwa shape/sura na kigezo cha 'uhandsome kisiwe overlooked tafadhali.
Wasichana tuna haki ya kuchagua watu wenye wasifu kama wanaume wanavyotuchagua kwa shape/sura na kigezo cha 'uhandsome kisiwe overlooked tafadhali.