Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,926
Hakuna aliyemuelewa hapa, labda aje atoe ufafanuzi.Huyu jamaa kuna ambaye amemwelewa kweli!
Hakuna aliyemuelewa hapa, labda aje atoe ufafanuzi.Huyu jamaa kuna ambaye amemwelewa kweli!
Yatosha, jamani yatosha, sasa tumuache, tumsamehe ngojeni jani litulie kichwani aje akane kwamba ni yeye kweli kaandika
MIDFIELD, Katavi, Mponjori, Mchaka Mchaka, Mauza uza, deadteja, Mnyamwezi wa Urambo, FaizaFoxy, Rachel Jeantel, Preta, Money stunna, Elungata, kibaa, Jerrymsigwa Siamini kama nyinyi nyote hamjui habari ya mauaji ya kishirikina yanayoendelea katika wilaya ya butiama mkoani mara. Watu wanachinjwa kama kuku, wanapigwa nondo, n.k. Bahati mbaya sana hayapati media coverage ila ni serious issue na wananchi wanaishi kwa hofu sana. Hivyo mimi nimeweza kuelewa hofu ya Andrew Nyererebaada ya kuona kundi la watu wenye nondo. Tena habari ya uwepo wa polisi karibu na eneo la tukio inadhirisha kushindwa kwa jeshi la polisi kudhibiti mauaji hayo yaliyoanza tangu 2012.
Rudia kusoma post ya Andrew, tafuta paragraph hii:Contradiction.
Walipoondoka,nilipokwenda mbele kidogo,nikaona gari imepakiwa machakani,pembeni ya barabara,wamo watu wamevaa kiraia,na mmoja alikuwa amevaa nguo za skauti. Wale watu nadhani walikuwa ni polisi,maybe they were keeping an eye on those folks I had just seen. Kwa sababu kama walitokea kijijini Butiama na ile mitarimbo,njia inapita kituo cha polisi.
Lakini kwa pale walipokuwa polisi,wangeweza kuwakamata wahalifu kama wangetenda tukio,lakini wasingeweza kuwazuia.
Ndio matatizo ya huku kijijini. The place is sparsely populated
MIDFIELD, Katavi, Mponjori, Mchaka Mchaka, Mauza uza, deadteja, Mnyamwezi wa Urambo, FaizaFoxy, Rachel Jeantel, Preta, Money stunna, Elungata, kibaa, Jerrymsigwa Siamini kama nyinyi nyote hamjui habari ya mauaji ya kishirikina yanayoendelea katika wilaya ya butiama mkoani mara. Watu wanachinjwa kama kuku, wanapigwa nondo, n.k. Bahati mbaya sana hayapati media coverage ila ni serious issue na wananchi wanaishi kwa hofu sana. Hivyo mimi nimeweza kuelewa hofu ya Andrew Nyererebaada ya kuona kundi la watu wenye nondo. Tena habari ya uwepo wa polisi karibu na eneo la tukio inadhirisha kushindwa kwa jeshi la polisi kudhibiti mauaji hayo yaliyoanza tangu 2012.
heshima yako,naamini wewe una akili nyingi mpaka inakuwa ngumu for normally intelligent people to understand what you put into writings, nitakuwa njipa muda kuelewa unachomaanisha.Hapa Butiama kuna matatizo sana ya mauaji ya ushirikina. Hasa hivi sasa mwezi mpevu,lazima nichukue tahadhari sana. Kwa sababu mwezi mpevu unareflect mawazo na kuyarudisha duniani,kwa hiyo kama mtu yupo katika dark mood,kama mtu amekasirika,mawazo anayofikiri,yanakuwa siyo mawazo yake.
Nimeandika kwamba niliona gari nyeupe imejificha machakani,mabayo nilidhani ni gari ya polisi. Sasa hivi nimeona gari nyeupe hapa katika Geti langu,pale kwa walinzi. Kwa hiyo nadhani ni whether wale walikuwa chinjachinja is the only thing in doubt. Lakini polisi walikuwa katika alert tayari.
Kuhusu yule aliyeuliza kama yule mjukuu alipatikana. Yule mjukuu alipatikana kwa msaada wa Yericho Nyerere apparently. Yericho ndie aliyesema kwamba matatizo ya yule binti ilikuwa tu kwamba alikuwa safarini na mobile phone yake iliiibiwa,that was the reason for all the confusion.
Lakini watu wanacomplain kuhusu fantasy zangu. What is wrong with fantasies?
Kwanza mtu ana=sense vitu,na macho au masikio or whatever,halafu anacomprehend,halafu anaunderstand.
Tofauti ya comprehensio na understanding ni kwamba comprehesion ni rudimentery,alkini understanding ni deteiled knowledge.
Baada ya understanding comes the fantasizing. Baada ya fantasy comes the dreaming. Baada ya dreaming comes the thinking,when you wake up. Baada ya thinking comes action.
Au unaweza kusema,kwanza sensing,halafu comprehension,halafu understanding,halafu imagination/emotion,halafu thinking.
Macho yanatazama tu.Ni akili ndio inafahamu. Masikio yanasikiliza tu. Ni akili ndio inafahamu. Kwa hiyo mimi nikiwatazama wale watu wamekaa barabarani na nondo,ni akili ndio inaiambia wale ni nani,siyo macho.
Na kama ukisikia ulikuwepo mkutano Ubungo na mabomu yalipigwa,ni akili ndio inatakiwa kuamua umesikia nini,na umeona nini,siyo macho au masikio.
Sijaelewa......wewe ulijuaje ni washirikina?.....
Umeme ulikatika asubuhi. Nikaamua kwenda matembezi. Nimetoka Butiama kwenda kijiji cha jirani cha Busegwe,kilomita ngapi sijui,tano,sita,saba,I don't know. Wakati wa kurudi,natembea,nimewaona wamekaa chini katikati ya ile barabara ya vumbi.[murram]. Nadhani ni wachimba madini hawa. Walikuwa na vyombo vyao vya kuchimba madini,mitarimbo mingi,ya kunipiga nayo bila shaka.
Wale watu walikuwa wamekaa chini,na zikaja bodaboda kadhaa ,wakafika pale wakaanza kuzungumza nao,wanaonekana kama walikuwa wote conspirators.
Halafu akapita mdada mmoja,halafu likapita lorry,basi,wale watu wakaamua kuondoka. Na mimi wakati huo nilikuwa nimesimama,sitaki kwenda mbele,mpaka waondoke.
Walipoondoka,nilipokwenda mbele kidogo,nikaona gari imepakiwa machakani,pembeni ya barabara,wamo watu wamevaa kiraia,na mmoja alikuwa amevaa nguo za skauti. Wale watu nadhani walikuwa ni polisi,maybe they were keeping an eye on those folks I had just seen. Kwa sababu kama walitokea kijijini Butiama na ile mitarimbo,njia inapita kituo cha polisi.
Lakini kwa pale walipokuwa polisi,wangeweza kuwakamata wahalifu kama wangetenda tukio,lakini wasingeweza kuwazuia.
Ndio matatizo ya huku kijijini. The place is sparsely populated.
Dharma may find me in her hands at the keyboard--YOU WILL FIND ME IN THE WORD OF TRUTH--IN THE THOUGHT AS PRESENTED. And the ''physical'' signs? In the twinkling,strobing colored light beams of the viewable heavens---our army waiting twixt YOU and the very planets and stars you NAME so that you cannot miss us! To NOT recognize our presence,YOU HAVE TO DENY US!
duh! we mchizi ni noma, hizi post zako huwa zinanifurahisha sana...Labda unashindwa kuelewa zile comments nilizoandika kuhusu sayari.
Wale ni Pleiadeans ambao wanasema Motherships zao wanaziweka kati ya planets na dunia . Hizi space craft zao zinatoa rangi nyingi za rainbow
Kwa hiyo unapoitazama Venus,ina maana Venus yenyewe ipo nyuma,hiyo unayoitazama ni Space craft.Wanasema hata ukitazama kwa binoculars ya kawaida utaona kwamba ile dhahiri kabisa siyo sayari. Labda UDSM wanayo telescope wanaweza kutuambia what it is all about.
Sijaelewa......wewe ulijuaje ni washirikina?.....
#Andrew Nyererer