Ni hivi;
Moja,
Ushirikina sasa hauhusishi viungo vya albino pekee huko Butiama
Hivyo, alipoona watu wamekaa na masururu na mapanga akawa na wasi wasi labda nao ni miongoni mwa hao washirikina
Pili,
Kuna viumbe wanatoka solar systems nyengine kuzunguka sayari zinazojuulikana kama Pleiade wanaiotwa Pleiadians ambao wanadaiwa kufanya mawasiliano na baadhi ya watu duniani
Ukitaka kuelewa zaidi yawahusuyo, fungua majarida ya Phoenix Journals
Au unaweza kupata idea ya awali kwa kuangalia filamu ya Star Trek
*Imeletwa kwako kwa hisani ya mtu wa Tanzania, Andrew Nyerere
aaaaaa hapo nimekuelewa kiduchu ujue
Vizuri sana
*Tanabahi
Haipendezi hata kidogo, kwa watu ku-poke fun watu wazima
paramount, ambigous, makangabilityHivi hii pia ni aging? Mzee you are Paranoid.
paramount, ambigous, makangability
Mshirikina ni mtu anayefanya shirk,yaani anamshirikisha Mungu na kitu kingine. Hapa Butiama yamekuwepo mauaji ya kishirikina,sometimes two times in on week,mambo ambayo yametokea in the past few months. Kwa hiyo you cannot be too careful when you are walking about here.Remember the saying,If it quacks,waddles and appears like a duck....