Washirikina leo walitaka kunifanya dili

Washirikina leo walitaka kunifanya dili

Umeme ulikatika asubuhi. Nikaamua kwenda matembezi. Nimetoka Butiama kwenda kijiji cha jirani cha Busegwe,kilomita ngapi sijui,tano,sita,saba,I don't know. Wakati wa kurudi,natembea,nimewaona wamekaa chini katikati ya ile barabara ya vumbi.[murram]. Nadhani ni wachimba madini hawa. Walikuwa na vyombo vyao vya kuchimba madini,mitarimbo mingi,ya kunipiga nayo bila shaka.
Wale watu walikuwa wamekaa chini,na zikaja bodaboda kadhaa ,wakafika pale wakaanza kuzungumza nao,wanaonekana kama walikuwa wote conspirators.
Halafu akapita mdada mmoja,halafu likapita lorry,basi,wale watu wakaamua kuondoka. Na mimi wakati huo nilikuwa nimesimama,sitaki kwenda mbele,mpaka waondoke.
Walipoondoka,nilipokwenda mbele kidogo,nikaona gari imepakiwa machakani,pembeni ya barabara,wamo watu wamevaa kiraia,na mmoja alikuwa amevaa nguo za skauti. Wale watu nadhani walikuwa ni polisi,maybe they were keeping an eye on those folks I had just seen. Kwa sababu kama walitokea kijijini Butiama na ile mitarimbo,njia inapita kituo cha polisi.
Lakini kwa pale walipokuwa polisi,wangeweza kuwakamata wahalifu kama wangetenda tukio,lakini wasingeweza kuwazuia.
Ndio matatizo ya huku kijijini. The place is sparsely populated.





Dharma may find me in her hands at the keyboard--YOU WILL FIND ME IN THE WORD OF TRUTH--IN THE THOUGHT AS PRESENTED. And the ''physical'' signs? In the twinkling,strobing colored light beams of the viewable heavens---our army waiting twixt YOU and the very planets and stars you NAME so that you cannot miss us! To NOT recognize our presence,YOU HAVE TO DENY US!
A very good case to consult a psychiatrist
 
Wewe ndiye mshirikina.

duh! we mchizi ni noma, hizi post zako huwa zinanifurahisha sana...

hivi kweli hata wewe mwenyewe huwa unajielewa...

Jamani kuna jani la swazland acheni masihara watz wengi wanadata first time wanapojaribu hii kitu nouma .haina mfano hapa tz sijui za huko

hata mimi sijaelewa

ndondocha wa ukoo huyo.

hawa wajukuu wa nyerere hawa, sio ajabu lakini sababu ukoo wUkiwa naao unarithishana ka ukichaa, kila mtu anakake, nyerere mwenyewe ukichaa wake ulikuwa ukimpanda unakimbilia kwenye kuongea, pole waleokutana na dhahama zake kikiwa kimempanda.
Ukiwa na akili ndogo kama hizi kamwe huwezi kumuelewa Andrew Nyerere, nyinyi mmezoea ngonjera za Mkwele ndiye mnaweza kumuelewa vizuri.
 
Nyerere mi nadhani wewe una akili nyingi mpk unachoongea kinakuwa ktk frequency tofauti na wa Jf wengi.

Mf hii comment yako hapa chini dah mi nakili sielewi again(huenda my upstairs sio sawa)! Au unafananisha na viumbe wale wa sayari nyingine ambao huku Alice Springs kuna nyayo zao na sanamu walivyo?


Labda unashindwa kuelewa zile comments nilizoandika kuhusu sayari.
Wale ni Pleiadeans ambao wanasema Motherships zao wanaziweka kati ya planets na dunia . Hizi space craft zao zinatoa rangi nyingi za rainbow
Kwa hiyo unapoitazama Venus,ina maana Venus yenyewe ipo nyuma,hiyo unayoitazama ni Space craft.Wanasema hata ukitazama kwa binoculars ya kawaida utaona kwamba ile dhahiri kabisa siyo sayari. Labda UDSM wanayo telescope wanaweza kutuambia what it is all about.[/QUOTE]
 
Jamaa ni bonge la GT, humu jamvin watamwelewa wachache sana..
 
Wewe humu ni mfuata mkumbo tu, subiri Yericko Nyerere aje hapa ndio utamuelewa na akutafsirie, Mbulula.[/QUOTE Yericko Nyerere njoo huku utoe ufafanuzi wa sred ya ndugu yetu Andrew Nyerere naona watu wameshindwa kumwelewa kabisa. Wengine wanasema inawezekana alirithi akili za Mwalimu sema tu kichwa chake kimekuwa kidogo kuweza kubeba huo mzigo wa Mwalimu!
 
Last edited by a moderator:
polisi kuzuia ushirikina? hata mie sijaelewa!
Am very sorry kusema kwamba wewe huna akili kabisa, Mauwaji ya Albino wanaopaswa kuyadhibiti ni Polisi na wanaouwa Albino ni kwa matumizi ya kishirikina sawa na yanayotokea Wilayani Butiama sasa, kwahiyo unataka nani wahusike kudhibiti mauwaji hayo?

Mjifunze kusoma na kuelewa, kinachotokea Butiama siyo mauwaji ya kisasi au kuuwawa ili uporwe mali zako, bali unauwawa kwa malengo ya kishirikina na wanaouwa kivyovyote huwezi kuwatofautisha na ushirikina na ni Polisi ndio wenye jukumu la kukomesha ushirikina huu.
 
Am very sorry kusema kwamba wewe huna akili kabisa, Mauwaji ya Albino wanaopaswa kuyadhibiti ni Polisi na wanaouwa Albino ni kwa matumizi ya kishirikina sawa na yanayotokea Wilayani Butiama sasa, kwahiyo unataka nani wahusike kudhibiti mauwaji hayo?

Mjifunze kusoma na kuelewa, kinachotokea Butiama siyo mauwaji ya kisasi au kuuwawa ili uporwe mali zako, bali unauwawa kwa malengo ya kishirikina na wanaouwa kivyovyote huwezi kuwatofautisha na ushirikina na ni Polisi ndio wenye jukumu la kukomesha ushirikina huu.


asante; sijui wewe unazo ngapi ili uwagawie na wengine ili wote wawe nazo kama za kwako. hongera sana kwa akili zako hizo!
 
Hawa jamaa wanatumia jina la mwalimu vibaya,jamaa haeleweki kabisaa,sijaona logic
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom