Washirikina leo walitaka kunifanya dili

Washirikina leo walitaka kunifanya dili

Andrew Nyerere hata mimi mwanzo nilishindwa kumuelewa thread zake ila sasa naona ni kwann huyu jamaa inakuwa kazi kumuelewa,

Ila kwa style hii Asilimia kubwa ya wanaJF hawatamuelewa kamwe huyu mkuu sana

Alafu pia ushirikina upo hata kama tutajilazimisha kuto amini hayo mambo
 
Umeme ulikatika asubuhi. Nikaamua kwenda matembezi. Nimetoka Butiama kwenda kijiji cha jirani cha Busegwe,kilomita ngapi sijui,tano,sita,saba,I don't know. Wakati wa kurudi,natembea,nimewaona wamekaa chini katikati ya ile barabara ya vumbi.[murram]. Nadhani ni wachimba madini hawa. Walikuwa na vyombo vyao vya kuchimba madini,mitarimbo mingi,ya kunipiga nayo bila shaka.
Wale watu walikuwa wamekaa chini,na zikaja bodaboda kadhaa ,wakafika pale wakaanza kuzungumza nao,wanaonekana kama walikuwa wote conspirators.
Halafu akapita mdada mmoja,halafu likapita lorry,basi,wale watu wakaamua kuondoka. Na mimi wakati huo nilikuwa nimesimama,sitaki kwenda mbele,mpaka waondoke.
Walipoondoka,nilipokwenda mbele kidogo,nikaona gari imepakiwa machakani,pembeni ya barabara,wamo watu wamevaa kiraia,na mmoja alikuwa amevaa nguo za skauti. Wale watu nadhani walikuwa ni polisi,maybe they were keeping an eye on those folks I had just seen. Kwa sababu kama walitokea kijijini Butiama na ile mitarimbo,njia inapita kituo cha polisi.
Lakini kwa pale walipokuwa polisi,wangeweza kuwakamata wahalifu kama wangetenda tukio,lakini wasingeweza kuwazuia.
Ndio matatizo ya huku kijijini. The place is sparsely populated.

Dharma may find me in her hands at the keyboard--YOU WILL FIND ME IN THE WORD OF TRUTH--IN THE THOUGHT AS PRESENTED. And the ''physical'' signs? In the twinkling,strobing colored light beams of the viewable heavens---our army waiting twixt YOU and the very planets and stars you NAME so that you cannot miss us! To NOT recognize our presence,YOU HAVE TO DENY US!

Umeme ukatika sioni! lol
 
Andrew Nyerere sometimes nahisi pengine wewe ni zaidi ya genious hivyo wakati mwingine inagharimu sana watu kukuelewa.Nimesoma hili bandiko lako na michango ya watu nimeona gap la kutosha kwakweli!!!
 
  • Thanks
Reactions: amu
Nimeandika kuhusu hizi Phoexix Journals. Sasa nimeiona hapa Unpublished Journal. Nimeanza kuisoma chapter ya kwanza. Inaeleza jinsi space craft zinavyoonekana duniani. Anasema UFO ukisikia imeonekana,tazama latitude na longitude ya ile sehemu,ni lazima italingana na basic harmonic ya ile space craft. Nitatuma posting ,na kama mods akikubali,utaweza kuisoma.
 
Ndugu zangu wana JF,

Nimesoma taarifa ya ndugu yetu Andrew Nyerere kwa utuvu sana,

Kwabahati mbaya wanajamvi wengi hawajamuelewa kabisa,

Katika mjadala mmoja hapa niliwahi kusema, kunahitajika uanzishwaji wa somo la ujasiri wa kupata habari ngumu na kuzitafasiri kwa mafaa ya wengi, wengi walinidharau katika andiko lile,

Naaam, Kaka yetu ameleta habari katika uzani wa juu sana lakini akieleza uhalisia wa hali ya eneo la Butiama na matukio ya Kishirikina,

Mauaji yanayotokea kwa imani za kishirikina yametamalaki Butiama, kwa namna yoyote ile, Andrew alikuwa na yupo sahihi kabisa kutupasha kile alichokiona kwakukiunganisha na ushirikina,

TBahati nzuri sana alipost akiwa eneo la tukio, hivyo ndivyo aina ya upashaji habari za mojakwamoja zilivyo!

Nimshukuru Matola na baadhi ya wachache walioweza kuelewa alichokileta ndugu yetu Andrew Nyerere kwa kichwa cha habari "Washirikina leo walitaka kunifanya dili"

Yupo sahihi 100% kwakuwa yeye ni manusura wa dili la wachimba madini kwa imani za kishirikina,
 
What f we ndo hujaelewa?
 
nashukuru umeitikia wito wangu wa kuja kufafanua alichokiandika Andrew Nyerere, kama na hapo watakuwa hawajamuelewa basi kutakuwa hakuna hata haja ya kuwa na shule za kata. Ila apunguze kuandika threads in terms of meditating maana humu jf kuna wasomaji wenye uelewa tofautitofauti.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu wana JF,

Nimesoma taarifa ya ndugu yetu Andrew Nyerere kwa utuvu sana,

Kwabahati mbaya wanajamvi wengi hawajamuelewa kabisa,

Katika mjadala mmoja hapa niliwahi kusema, kunahitajika uanzishwaji wa somo la ujasiri wa kupata habari ngumu na kuzitafasiri kwa mafaa ya wengi, wengi walinidharau katika andiko lile,

Naaam, Kaka yetu ameleta habari katika uzani wa juu sana lakini akieleza uhalisia wa hali ya eneo la Butiama na matukio ya Kishirikina,

Mauaji yanayotokea kwa imani za kishirikina yametamalaki Butiama, kwa namna yoyote ile, Andrew alikuwa na yupo sahihi kabisa kutupasha kile alichokiona kwakukiunganisha na ushirikina,

TBahati nzuri sana alipost akiwa eneo la tukio, hivyo ndivyo aina ya upashaji habari za mojakwamoja zilivyo!

Nimshukuru Matola na baadhi ya wachache walioweza kuelewa alichokileta ndugu yetu Andrew Nyerere kwa kichwa cha habari "Washirikina leo walitaka kunifanya dili"

Yupo sahihi 100% kwakuwa yeye ni manusura wa dili la wachimba madini kwa imani za kishirikina,

Wengine tuliobahatika kupitia "vyumba" vinavyotoa urejeo wa falsafa,logic n.k tulipata wazo...tukafurahia na tumeendelea kufurahia uandishi wake wa kutafakari sana....Tatizo wengi kwa uhuru wao humu JF Wameishia kukejeli...lakini frankly speaking..jamaa ni muumini wa meditation writing
 
Nauliza nani mkali wa Lugha ya Kikristu kati ya Mkapa, Andrew Nyerere, Mwinyi, Kikwete na Dr Slaa.
kama wewe ukikielewa Kikristu cha Andrew wewe ni first class katika lugha hii.
 
kwanza kwa nini anashuku watu namna hiyo kama sio yeye ndo mshirikina? au kwa kuwa anaona yeye ni mshirikina anafikiri ni wote? duh! humu jf si mchezo!
 
kwanza kwa nini anashuku watu namna hiyo kama sio yeye ndo mshirikina? au kwa kuwa anaona yeye ni mshirikina anafikiri ni wote? duh! humu jf si mchezo!

Nimetoa ufafanuzi hapo juu unaweza kuupitia na ukaelewa vizuri sana juu ya hali ya usalama Butiama
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mbavu zangu mie
Labda unashindwa kuelewa zile comments nilizoandika kuhusu sayari.
Wale ni Pleiadeans ambao wanasema Motherships zao wanaziweka kati ya planets na dunia . Hizi space craft zao zinatoa rangi nyingi za rainbow
Kwa hiyo unapoitazama Venus,ina maana Venus yenyewe ipo nyuma,hiyo unayoitazama ni Space craft.Wanasema hata ukitazama kwa binoculars ya kawaida utaona kwamba ile dhahiri kabisa siyo sayari. Labda UDSM wanayo telescope wanaweza kutuambia what it is all about.
 
Last edited by a moderator:
samahani Matola mleta mada ni albino? Gaijin mi huwa nakuaminia sana embu tutegulie huu mtego wa nyerere
Am very sorry kusema kwamba wewe huna akili kabisa, Mauwaji ya Albino wanaopaswa kuyadhibiti ni Polisi na wanaouwa Albino ni kwa matumizi ya kishirikina sawa na yanayotokea Wilayani Butiama sasa, kwahiyo unataka nani wahusike kudhibiti mauwaji hayo?

Mjifunze kusoma na kuelewa, kinachotokea Butiama siyo mauwaji ya kisasi au kuuwawa ili uporwe mali zako, bali unauwawa kwa malengo ya kishirikina na wanaouwa kivyovyote huwezi kuwatofautisha na ushirikina na ni Polisi ndio wenye jukumu la kukomesha ushirikina huu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom