Washirikina leo walitaka kunifanya dili

Washirikina leo walitaka kunifanya dili

Nasikia mjani wa musoma mkali sana kama wa olkokola!!!hukawii kuwa manjilinji haahaha!

Aisee unataka kusema mkubwa anakula mjani?.Nadhani wengi huwa tunashindwa kumuelewa maana jamaa yuko deep sana kwenye mambo ya meditation na inawezekana ameshafikia kiwango cha juu kabisa cha kufungua lotus of kundalini
 
Wakatoliki huwa hawaamini katika uchawi, sasa huyu nadhani kuna jambo alitaka kulieleza hapa, lakini ametokea kivingine kabisa! Au anaota.
 
Nlidhani niko mwenyewe sjaelewa
Hata na mimi jamani sijamuelewa tangu alipomkana Yeriko na kudai Dada yao katekwa nilichoka.
Usije kuta kuna kasli fulani ........................
 
Jamani eh,kuna kitu kimejificha/hakieleweki kuhusu mleta uzi, -washirikina-wachimba madini,masururur na mitaimbo -yeye kushambuliwa.
Mwenzetu ni mlemavu wa ngozi nini?kama ni kweli hofu yako ni sahihi -ogopa kaka! tena ogopa sana lo!toka mbio wala usifanye uchunguzi zaidi piga mbio bana! na mikelele juu
 
Hivi yule mjukuu alipatikana ama washirikina walisepa nae mazima?
Pole mpwa.
 
Wakatoliki huwa hawaamini katika uchawi, sasa huyu nadhani kuna jambo alitaka kulieleza hapa, lakini ametokea kivingine kabisa! Au anaota.
Andrew aliaachana na ukatoliki miaka mingi tu iliyopita. Huyu ni mtawa wa kibudha (Budhist monk).
 
Aaah wapi!
Olkokola na ngaramtoni ya juu ni funga kazi. Hata cha malawi hakifui dafu.
Cc Arushaone
Nilikuja nao huku huo mjani wa olkokola duuh ulimdatisha mzungu kidogo awe chizi c mchezo...kidogo na yy aanze kusimulia cjui dada yake alitekwa oooh cjui anaona maghost ....ukiupiga vizuri hukawii kuona kama vile umekutana na washirikina na mitalimbo halafu wanatembelea vichwa na watu wamepack wamevaa nguo za skauti kumbe ni polisi c mchezo....chezea mjani ww.
 
Naona labda ulidhamiria kuvuta ''attention'' ya wasomaji! Bila shaka kwa kiasi fulani utakuwa umefanikiwa! Lakini next time jitahidi kututendea haki ya kutupa taarifa inayoeleweka , vinginevyo.....
 
Ukilewa, jenga tabia ya kulala
 
Nilikuja nao huku huo mjani wa olkokola duuh ulimdatisha mzungu kidogo awe chizi c mchezo...kidogo na yy aanze kusimulia cjui dada yake alitekwa oooh cjui anaona maghost ....ukiupiga vizuri hukawii kuona kama vile umekutana na washirikina na mitalimbo halafu wanatembelea vichwa na watu wamepack wamevaa nguo za skauti kumbe ni polisi c mchezo....chezea mjani ww.

Yatosha, jamani yatosha, sasa tumuache, tumsamehe ngojeni jani litulie kichwani aje akane kwamba ni yeye kweli kaandika
 
Ulikuwa na lengo gani kutupatia taarifa hiyo isiyoeleweka
 
Huyu mtoto wa mwalimu wamchunguze, mada zake ndo hizo za kichizichizi sana, lazima atakuwa anabwia unga au anavuta sana bangi kama sio viroba! Just imagine hapo ni mtoto wa Rais ,kapata exposure kibao. Angekuwa amezaliwa ktk familia duni nina hakika angekuwa anajinyea mchana kweupe huyu! namwonea huruma na uchizi wake japo ananiboa! Wanafamilia mwenzenu mnampoteza huyu!
 
Back
Top Bottom