Washirikina leo walitaka kunifanya dili

Washirikina leo walitaka kunifanya dili

mkuu Snipper huyo jamaa Matola mbulula sana jamaa huwa yupo kule Tabata Bima hata kimkono jamaa haniwezi namkalisha...

kwa sasa jamaa hayupo Dar lakini alipo huko anajiona mjanja sana kumbe ni mbulula tu...
Hivi kukaa Dar ndio ujanja?

Mbona Dar ndio mkoa unaoongoza Tanzania kwa kuwa na wakazi wapumbavu kupindukia? mijitu mijinga yote inapatikana Dar and you're among those.
 
Hivi kukaa Dar ndio ujanja?

Mbona Dar ndio mkoa unaoongoza Tanzania kwa kuwa na wakazi wapumbavu kupindukia? mijitu mijinga yote inapatikana Dar and you're among those.

kama bangi inakupeleka hivyo ni bora uachane nayo hata wehu huona wenye akili na wenyewe ni wehu...

Kwa akili ya hivyo nashindwa kuelewa sijui yule mwanamke mnaishi nae vipi au umekwisha mfundisha kuvuta bangi...

Dah! Eti na wewe mvuta bangi mpaka zinakupeleka vibaya una mke! Interesting!
 
Hawa jamaa wanatumia jina la mwalimu vibaya,jamaa haeleweki kabisaa,sijaona logic

I agree huenda huyu bwana ni extra mile(which sometimes is useless) kiasi kuwa haeleweki kwa wengi
 
sasa wana wa Nyerere babu/baba yenu anaitwa MWENYE HERI nyie mnashadadia ushirikina hivi kweli amuwezi kumukwaza kwenye kupata utakatifu?
 
Kwa kweli ninachoweza kusema: POLE SANA BWANA ANDREW.

Una tatizo kubwa sana.
 
Daahh...

Sio Lazima Uanzishe 'uzi' Wako... Kama Hauna Cha Kuandika Ni Bora Uwe Unasoma Post Za Wenzako Tu.

Kah!!
 
Wachache sana wa kumuelewa Andrew.....in the category of Thinking and Logic Perspectives huyu jamaa yupo extra miles ahead...na aina hii ya akili huwafanya wale wanaomsikiliza au kusoma mabandiko yake wahisi kama jamaa ni chizi....anapoandika anakuwa na meditation za mbali sana....na aina ya vichwa hivi huwa vizuri katika uandishi wa Vitabu(dhehebu la Dalai Lama linapenda sana vichwa vya aina hii,na wakikupata wanakubadili upande wao kwa ghalama yoyote)...ni bahati mbaya Chinua Achebe+ na Ngugi wa Thiong'o wengi hawajapata kuyaona maandishi yao yasiyo rasmi....katika maktaba ya Chinua Achebe kuna Gallery ya old short informal writings zake;hizo short writings nyingi alizoandika zilifanya watu wadhanie kuwa jamaa ni "chizi"...ila alipoweka maandishi yake kama kitabu,wengi wakatambua kuwa jamaa ni Genius....Akili ya Andrew kwetu ni "uchizi"....Lakn ukisoma katikati ya mistari,jamaa ana ujumbe sana
 
I think nimeshaelewa unaposema kwamba hujaelewa. Unaposema hujaelewa nadhani unamaanisha kwamba hujaelewa. Why,of course hujaelewa. Mambo ambayo yameandikwa katika volume nyingi nimejaribu kuyaandika katika sentensi chache.
Kama alivyosema huyo ndugu ambaye yupo Alice Springs. Alice springs sijui ni wapi,New Zealand labda au Australia,hawa ni Pleiadeans,the most advanced civilization of the ET's who visit Earth. Kama umesema umeona sanamu zao huko,hawa inasemekana kuwa ni nine feet tall.
Kama unataka kusoma habari zao zaidi,unaweza kusoma Pleiadean Connections katika Phoenix Journals.
Zipo katika Phoenix Archives,Pleiadean Connections in eight volumes;Return of the Phoenix,God said let there be Light.I and my Father are one,Murder by atomic suicide,Phone Home ET,Sacred Spirit Within,Human,the science of man,Science of the cosmos.
Ukisoma utaona Germain anaelezea umesikia kila siku watu wanasema,''God is Light'' yeye anataka kukueleza what it means to say,'God is Light'.
 
Sijaelewa......wewe ulijuaje ni washirikina?.....

Mshirikina ni mtu anayefanya shirk,yaani anamshirikisha Mungu na kitu kingine. Hapa Butiama yamekuwepo mauaji ya kishirikina,sometimes two times in on week,mambo ambayo yametokea in the past few months. Kwa hiyo you cannot be too careful when you are walking about here.Remember the saying,If it quacks,waddles and appears like a duck....
 
I think nimeshaelewa unaposema kwamba hujaelewa. Unaposema hujaelewa nadhani unamaanisha kwamba hujaelewa. Why,of course hujaelewa. Mambo ambayo yameandikwa katika volume nyingi nimejaribu kuyaandika katika sentensi chache.
Kama alivyosema huyo ndugu ambaye yupo Alice Springs. Alice springs sijui ni wapi,New Zealand labda au Australia,hawa ni Pleiadeans,the most advanced civilization of the ET's who visit Earth. Kama umesema umeona sanamu zao huko,hawa inasemekana kuwa ni nine feet tall.
Kama unataka kusoma habari zao zaidi,unaweza kusoma Pleiadean Connections katika Phoenix Journals.
Zipo katika Phoenix Archives,Pleiadean Connections in eight volumes;Return of the Phoenix,God said let there be Light.I and my Father are one,Murder by atomic suicide,Phone Home ET,Sacred Spirit Within,Human,the science of man,Science of the cosmos.
Ukisoma utaona Germain anaelezea umesikia kila siku watu wanasema,''God is Light'' yeye anataka kukueleza what it means to say,'God is Light'.
Kama walishindwa kukuelewa mwanzoni hapa nina uhakika ndio umewapoteza kabisaaaaaa......
 
Hivi mkuu Matola, huyu Andrew Nyerere kwa hapa bongo anafaa kwa kazi gani hasa? Naona kama yuko dunia ingine kabisa, nahisi kama tungekuwa na kitu kama NASA ingemfaa au?
 
Last edited by a moderator:
I enjoy this man...no wonder wazee wetu awliimwita Mwalimu Nyerere "haambiliki"...ni kwa sababu hawakuwa hoja za kumshawishi...mara nyingi pengine walipeleka hoja zenye ujazo wa nyoya la kuku....Andrew Nyerere ana meditate sana huyu jamaaa...wachace sana kumuelewa
 
Andrew hasomeki na wengi nakushauri kabla haujaandika post muadithie kwanza yericko then yericko afungue sredi halafu chini aweke source ni wewe nadhani itasaidia maana sredi zako kama mchuzi mix inaanza mwisho inakuja mwanzo inarudi kati mara ipo hewani hewani.
 
Hivi mkuu Matola, huyu Andrew Nyerere kwa hapa bongo anafaa kwa kazi gani hasa? Naona kama yuko dunia ingine kabisa, nahisi kama tungekuwa na kitu kama NASA ingemfaa au?

Hahahahahahaaaaaaa!
Snipper umenfnya nifurahi sana asbuhi hii! Hahahahaha!
Nina washkaji zangu wawili tena mmoja anaitwa andrew hivyohivyo aisee wako entertaining sana na kuwaelewa inabidi uache kujaribu kuawaelewa ndio utawaelewa kirahisi.
 
Last edited by a moderator:
Siuhamme huko...au ni kwa baba? Nyumba bure? N evrthing free so u r scared to mov out of ur comfort zone...
 
Huyu jamaa inaonekana ndio alikuwa mrithi wa akili za JK Nyerere ila kwa bahati mbaya alipewa mzigo mzito kuliko kichwa chake kinavyoweza kuhimili, kwahiyo akili zimepitiliza na imekuwa tabu.

Ukiwa na akili ndogo kama hizi kamwe huwezi kumuelewa Andrew Nyerere, nyinyi mmezoea ngonjera za Mkwele ndiye mnaweza kumuelewa vizuri.

mbona unajicontradict mwenyewe? Kubali tu huyu mheshimiwa chenga sana.
 
Siuhamme huko...au ni kwa baba? Nyumba bure? N evrthing free so u r scared to mov out of ur comfort zone...
Suala si usalama wa familia ya Nyerere, suala ni usalama wa wakazi ( na wageni) wa wilaya ya Butiama. Kwa nini serikali haichukui hatua kuzuia haya mauaji?
 
Back
Top Bottom